majeneza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania TAFAKARI: Maduka ya dawa marufuku kuwa karibu na hospitali lakini biashara ya majeneza ruksa kuuzwa karibu na hospitali

    Waziri wa Afya leo ametoa msisitizo kuwa ni marufuku maduka binafsi ya dawa kuwa karibu na viunga vya hospitali za umma hivyo yanapaswa kuwa umbali usiopungua mita 500 kutoka hospitali ilipo. Sababu kuu ni kuwa, huenda maduka hayo ya dawa yanahusika katika kuchochea upungufu wa dawa na vifaa...
  2. JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na biashara ya majeneza

    Habarini wakuu, huu uzi kuna member anaitwa Mbwa dume nilimuandikia kama PM ila naona bado sijampata maana alikujaga na uzi wake wa kutangaza majeneza kipindi cha nyuma. Kwa sababu bado sijampata na mimi nna shida .. ningeomba kusaidiwa baadhi ya taarifa kama ifuatavo kwa yoyote mwenye kujua...
  3. JamiiForums Tanzania Moshi: Majeneza yaadimika

    Na Mary Mosha, MOSHI HUDUMA za mazishi na uuzaji wa majeneza kwenye Mji wa Moshi zimetajwa kuongezeka katika siku za karibuni. Kutokana na ongezeko hilo, baadhi ya watoa huduma wameiomba serikali kuona namna ya kuwasaidia wasilipe kodi na tozo mbalimbali kwa kuzingatia wanatoa huduma na sio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…