maisha ya watu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Uhamisho watumishi wa Umma: Waziri Ummy Mwalimu acha usanii na siasa kwenye maisha ya watu

    Nchi hii kuna viongozi wa ajabu ajabu sana, hivi waziri anapata wapi mamlaka ya kuzuia uhamisho wa mtumishi wa umma ambaye mkataba wake unamruhusu kuhamia eneo lolote kisheria? Utakuta mtu ana miaka mpaka 8 hadi 10 anafanya kazi ndani ya eneo moja, lakini leo hii anaomba kuhama kufuata...
  2. Artificial intelligence

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha na kuhuzunisha sana jinsi 'plants' za madini zinavyohatarisha maisha ya watu

    Kiukweli nilibahatika kutembelea jumla ya plants za madini 9, tatu kahama Shinyanga na 6 wiliya ya Bukombe Geita. Nilichokiona na kukishuhudia kwenye plants hizo ni cha kuhuzunisha na kusitikisha sana haswa kuhusu afya za watu walioajiriwa kwenye hizo plants na wanaoishi kuzunguka hizo plants...
Back
Top Bottom