Dhana ya Uongo imekuwa ni maisha yetu ya kila siku japo si jambo linalojadiliwa kwa upana sana ila athari zake zipo kila sekunde!.
Katika jamii nyingi uongo si jambo linalopendwa na vyombo vya sheria humtia hatiani mtu yoyote atakaebainika kusema uongo!, Hata hivyo ukiuzungumzia uongo basi upo...
Katika historia yote ya mwanadamu, swali kuu limekuwa Kwa nini tupo hapa Ulimwenguni? Je, kuna maana yoyote ya maisha haya, au ni mwendelezo tu wa mzunguko wa kuzaliwa na kufa?
Kwa macho ya kawaida tu ni rahisi kusema kuwa maendeleo yote ya binadamu, teknolojia zote, elimu na falsafa zote, bado...
Psychological crisis
Mgogoro wa kisaikolojia ni chanzo cha stress katika maisha .
Inaanza hivi.
Katika utafutaji -wengi tumejikuta tunasafiri , kutoka eneo moja mpaka eneo lingine.
Ila wengi tukifika katika baadhi ya maeneo bado tunakuwa na ile hali ya kuendelea kutamani ulipotoka .
Yaani...
Yaliyomkuta Mfalme Daudi.
Mipango ya Mungu na Udhaifu wa Binadamu: Hadithi ya Daudi na Absalomu
Katika safari yetu ya maisha, mara nyingi tunajiuliza ni kiasi gani cha hatima yetu kimepangwa na ni kiasi gani tunatengeneza sisi wenyewe. Imani ya kwamba Mungu hupanga kila kitu ni jambo lenye...
Katika dunia ya leo, suala la haki na amani lina umuhimu mkubwa katika maisha ya binadamu. Haki na amani ni misingi miwili muhimu ambayo inapaswa kutekelezwa kwa usawa ili kuhakikisha maendeleo endelevu na furaha ya jamii. Lakini, ni ipi kati ya haki na amani inapaswa kuwekwa mbele katika mfumo...
Katia safari ya maendeleo kama binadamu tumefanya mengi ya kustaajabu, kuanzia kuvumbua vifaa vya mawasiliano vya masafa ya mbali mpaka roketi lakini hamna cha msingi tulichofanya zaidi ya maboresho ya sayansi ya matibabu na afya
Wanasema kabla ya mageuzi ya matibabu wastani wa kuishi dunia...
Habari wadau!
Naandika habari hii kwa kuona kwamba kuna Sumu hatari sana kwenye maisha au jamii ya sasa zikiuzwa peupe bila mkono wa serikali kuingilia kati.
Watu wengi wamekuwa wakijtoa uhai kwa sumu mbalimbali mitaani kwetu na wengine wamekuwa wakinunua hizi sumu na kuweka ndani kwa kujua au...
Moja ya mtihani hatari katika maisha ya binadamu ni kufaulu KUOA / KUOLEWA na mtu sahihi. Ukifeli hapa hutaichukia hata elimu yako hata kama ni PHD. Unaweza chukia hata kwanini hupo duniani.
Wengi wamejaribu kufanya masahihisho ya mtihani huu ila wanahangukia pua. Bado amani ya moyo inakuwa...
Ebana wanajamvi inakuwaje?
Maisha ya binadamu yapo kwenye msingi wa vitu vitatu.
Kula, Kunya na Kujamiana
Na vyote hivi vitatu vinawezeshwa kikamilifu na pesa.
Tutafuteni pesa asee.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.