maisha bora

Maisha Bora is a village in central Kenya. It is in the eastern province of the country and is a subset of the town Isiolo in this division.
There are 1,500 inhabitants who speak the Turkana language and, predominantly, share a Somalian heritage and the Muslim religion. The main form of employment is slaughterhouse work, with rope making and bread baking.
There is currently a single-roomed nursery hut within the community but no school. Children who do attend school are generally earning an income from a young age. Combined with the small average income of residents the poor access to education has led to the low levels of literacy and school completion rates today.
A local stream provides water for washing and drinking, though it is not piped, and electricity and formal sanitation systems are also not present in the community. The rates of HIV/AIDS have been affected by the high level of truck traffic passing through Isiolo which has fuelled a sex trade regionally.

View More On Wikipedia.org
  1. Mzazi wewe ndio unayekuza kijana shapu au goi goi

    My people, Unapomuacha mtoto wako aache sahani mezani baada ya kula sio tu kwamba unamfanya awe na tabia mbaya bali unamtengenezea mazingira ya kuwa na future mbaya huko ukubwani. Mtoto anapomaliza kula na kisha mzazi ukamuondolea sahani yake,hii inamjenga mtoto akilini kwake kwamba kuna mtu...
  2. Maisha bora kwa kila Mtanzania inawezekana

    Habari Tanzania ! Leo hii maisha bora kwa kila Mtanzania imekuwa ndoto na wakati mwingine inaonekana kama ni jambo lisilowezekana na hii ni chanzo cha aina ya watu na uwezo wao wa kufikiria. 1. Ujenzi wa Nyumba na Makazi ya kupanga yamekuwa aghali sana. Njia: Punguzeni tozo na kodi kubwa...
  3. Si sawa hata kidogo kulinganisha umaskini/utajiri wa nyumba A na B kwa mfumo wao wa maisha

    Katika hali halisi ya maisha hatuwezi watu wote kualingana namna tunavyoendesha maisha yetu. Vivyo hivyo hata mataifa hayawezi kufanana kiuchumi. Vigezo vya upimaji wa uchumi si tu namna wanavyoishi bali pia hupimwa kutegemea na rasilimali zilizopo katika nchi husika.. Hakuna asiyejua kuwa...
  4. H

    Viongozi wa Tanzania wamejisahau kabisa kuwa kuna watu wengine wanahitaji maisha bora kama yao

    Tabia ya viongozi wa nchi hii kujiona wao ndiyo bora na ndiyo wanastahili kuishi maisha bora kuliko watu wao iko siku itawagharimu. Wanaishi maisha kifahari,wanaiba ,wanajisikia,waongo,ujanjaujanja,nk kwa sasa wanakoelekra ni kubaya kwani watu wanaelekea kichoka. Raia wa kawaida wanamaisha...
  5. Sidhani kama bado kuna watu wanaamini tena eti kufanya kazi kwa bidii pekee huleta maisha bora

    Kuna wakati bidii iliheshimika, ilikuwa valued katika level ya dhahabu na almasi. Kuna wakati bidii ilikuletea tumaini la kubadirisha maisha na hakika baada ya muda fulani bidii ilikufanya ufurahie kile maisha ilicho ki-offer. Baada ya dunia kupitia recession, gharama za maisha kuwa corrupted...
  6. Je ? Kuwa mtu mwema ni kweli kunakufanya uishi maisha bora hapa duniani ?

    Habari wana jf. Nimekua nikisoma makala mbali mbali na material mbali mbali uko mtandaoni nimekua nikitaka kujua na kufatilia je maisha yanakua bora na salama pale unapo amua kuwa mtu mwema sana (nice guy) hapa duniani. Leo nimeona nililete mbele yenu wana jf nisikie mitazamo yenu Pia niweke...
  7. PreGE2025 Dkt. Nchimbi: Kipaumbele kitabaki kuwa maisha bora kwa Watanzania

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, huduma za matibabu zimeimarika kutokana na kuboreshwa kwa hospitali za rufaa za mikoa. Ameongeza kuwa ajenda kuu ya chama hicho ni kuendelea kuboresha huduma za afya kwa...
  8. Nini ukikipata maishani utaridhika na kuona kwamba ndoto zako zimetimia?

    Naamini kila mtu ana ndoto, malengo, mipango na maono ya maisha yake. Kwako, ni vitu gani ukivipata maishani vitakufanya ufurahi, uridhike na kusema kweli ndoto au malengo yako yametimia.
  9. Nataka uwe tajiri, na mtu unayejiamini. Utaishi maisha ya kipato kizuri

    Nataka uishi ukielewa haya, usiku huu kabla hujalala, asubuhi ukiamka kwenda kazini, mchana ukiwa unapambana na jioni ukiwa njiani unarudi nyumbani. Njia Halisi za Kupata Utajiri... Badala ya kutegemea dhana za kishirikina, mafanikio ya kifedha mara nyingi yanatokana na: ✅ Bidii na kufanya...
  10. Usijiue kwa sababu ya hasara ya pesa au kukimbiwa na mpenzi

    Usijiue kwa sababu ya hasara ya pesa au kukimbiwa na mpenzi Maisha ni safari yenye milima na mabonde. Kila mmoja wetu hukutana na changamoto tofauti, lakini hakuna sababu yoyote inayostahili kuchukuliwa kama mwisho wa kila kitu. Kupoteza pesa, kazi, biashara, au hata mpenzi ni mambo yanayoumiza...
  11. Kubali kuwa umri wako umesogea, wakati ukuta

    Salaam jamiiforum Hii ni ijumaa,ni weekend ndogo kwa baadhi ya wafanyakazi wavivu na hata wanafunzi,mtu anajikuta tu haendi kazini bila sababu za msingi.kwa leo hata Mimi ni mmoja wapo Leo tuliangalie suala la umri na kukumbushana mambo kadhaa,ili kutambua wapi tumetoka ,tulipo na hata...
  12. B

    Kumiliki maisha ya hadhi ya juu Tanzania ni ngumu bila kuwa sekta moja wapo kati ya hizi

    Unajikuta una fantasy za kumiliki mjengo, mikubwa, apartment kubwa kubwa, gari za bei mbaya watoto wasome shule zenye status!, uwe na pesa za kuspend 5million per day Lakini ukweli mchungu huwezi kumiliki hivo vitu kama haupo sehemu moja wapo kati ya hizi 1.Siasa ya unafiki unafiki 2. Huna...
  13. U

    Watoto wetu wanaosoma English medium wanafanya vizuri kitaaluma, wanapata lishe bora na maisha bora na wanaandaliwa vizuri tofauti na wenzao

    Wadau hamjamboni nyote? Tafakuri ya kina kwa wenye hekima Hata sisi wazazi wao tulifeli siyo kwa kukosa akili bali tulikosa wanayopata Watoto wetu. Dominika njema
  14. Wanawake na ‘Soft Girl Era’: Ni Starehe tu au Ni Uthubutu wa Kuishi Maisha Bora?

    Katika zama hizi, dhana ya “Soft Girl Era” imechukua kasi kubwa, hasa kwenye mitandao ya kijamii. Wanawake wanajitokeza wakipigia debe maisha ya utulivu, starehe, na kujitunza—mara nyingi wakitoa picha za maisha yenye mwonekano wa kifahari na uzuri wa kila aina. Lakini hii ina maana gani? Je, ni...
  15. H

    Usijitoe, usiwekeze, jipe kipaumbrle mwenyewe

    Ukweli ni kwamba mwanamke unae-date naye kuna uwezekano mkubwa kajiweka tu kwako kwa sababu anahitaji pesa. Ni masikini, hana kazi(kama anayo kipato chake akitoshelezi lifestyle anayoitamani) na kwa sasa wewe ndie jibu la tatizo lake Atakapojipata ndio utajua ujui. Atakulaumu, atahoji hayo...
  16. Natamani kuifanya familia yangu kuwa kama ya Bakhresa na ya akina Mo Dewji, nipeni muongozo

    Wakuu kwenye familia yetu tuna asset muhimu kama ardhi, mashamba na nyumba kadhaa ila usimamizi ndio hakuna. Kama mtoto niliesomeshwa na kuhitimu elimu ya juu natamani siku moja familia yangu iwe familia kubwa na yenye miradi endelevu kwa manufaa ya familia na jamii kwa ujumla. Wakuu, kwa...
  17. B

    Mtafutaji hachoki usife moyo

    Maisha ni foleni na siku zinasogea pole pole Muamini MUNGU ipo siku utafanikiwa Ata kama sio Leo "NDUGU" yangu Ila amini ipo siku utafanikiwa Mungu wetu halali wala hasinzii "anasikia maombi yetu" VUMILIA shida "Ila NB usivumilie dharau unaemmudu deal nae perpendicular" 🤣ukiendekeza unyonge...
  18. Maisha: Safari ya kujifunza, kukua na kupata maana

    "Maisha ni safari yenye vipindi tofauti, yenye furaha, huzuni, mafanikio, na changamoto. Ni safari inayotufundisha kuwa na uvumilivu na uthabiti. Kila siku tunapita katika hatua tofauti za kujifunza na kukua, tukikumbana na vipindi vya furaha vinavyotufanya tuhisi shukrani na wakati mwingine...
  19. Ndugu zetu wa mikoani mbona mnaomba sana hela, kilimo hakilipi?

    Ndugu zetu wa mikoani mnaomba Sana hela Nauliza je kilimo hakilipi? Au imekuaje tena? Njooni DSM mpambme na nyie mmiliki hela. Maana chakupewa hakishibishi.
  20. Nina ndoto za kuwa huru kiuchumi kabla ya miaka 26, lakini Sina mwanga wa kipi nianze kufanya

    "Wakuu habari. Nina umri wa miaka 20 sasa lakini pia kipato nilichonacho kwa siku hakizidi 7000 Nina ndoto za kuwa huru kiuchumi kabla ya miaka 26 lakini Sina mwanga wa kipi nianze kufanya."
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…