maigizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene acha maigizo, mpe IGP muongozo wa COVID-19 na dhana ya Mikusanyiko

    PICHA: Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, akisonga ugali wa wafungwa katika Gereza la Isupilo, Wilayani Mufindi, Mkoa wa Iringa, alipolitembelea gereza hilo katika ziara yake ya kukagua utendaji kazi wa taasisi zake mkoani humo. Mkuu wa Wizara ya mambo ya ndani aache hizi Comedy, Ni...
  2. TEK

    JamiiForums Tanzania Tusipotoka katika maigizo ya siasa hatutafika tunakokwenda

    Habari ndigu zangu! Mimi kila siku natamani sana kuona nchi yangu ikipiga hatua na kufika sehemu ambayo itakuwa ni suluhusho la maisha magumu tuliyonayo kisiasa, kihistoria na kiuchumi. Nchi hii inapitia vipindi vigumu sana hasa katika nyanja za siasa. Siasa za nchi hii zinapitia maigizo mengi...
  3. Billie

    JamiiForums Tanzania Hizi tabia za wake zetu wakiwa wajawazito ni tabia zao, maigizo, visasi ama malipizi?

    Poleni na majukumu na COVID 19 ambayo sisi kama taifa ya JMT tumeamua kukana kuwa kinachotusumbua sio COVID bali na tatizo la upumuaji almaarufu kizungu kama pneumonia.Anyway tuachane na hilo twende kwenye mada. MADA: Wifi yenu ni mjamzito wa miezi 6 ila cha kushangaza amekuwa na matabia ya...
Back
Top Bottom