Huyu Samia ni kama alizaliwa kuwa muigizaji akajikuta anapenda uhudumu
wa ndege. Isivyo bahati akadondokea kwenye uraisi.
Maigizo ya Samia:
1) ety kaanzisha wizara ya vijana hii wizara mbona ipo toka kitambo
lakini anavyo ibrend ni kama haikuwepo.
2) Uchunguzi ety ameunda tume huru, huru...
Baada ya kufanyika maandamano ya Oktoba 29, 2025, yaliyokabiliwa kwa nguvu za kijeshi na vyombo vya ulinzi na usalama, Novemba 3, 2025 Rais Samia Suluhu Hassan, alidai kuwa waliohusika kwenye maandamano hayo ni raia wa kigeni, kauli ambayo hata hivyo hakuithibitisha.
Alipozindua Bunge la...
Matukio ya utekaji, ufiraji, utesaji, kuua na mauaji ya Kimbari Oktoba 29 na kuendelea, yameshaanza kuonesha athari zake kwa wstawala ndani na nje ya nchi.
Watamzania wameendelea kuikataa serikali iliyoingia madarakani kiharamu.
Imebuniwa mikakati ya kuwaondoa Watanzania kwenye focus ya...
Kupanda bodaboda, kula kwa mama ntilie ugali dagaa na maigizo mengine ni chini hata ya matarajio ya aliyekuteua. Ishu za hivyo waachie wanasiasa wasio wabunifu waliozoea uongo. Wewe kufanya mbanga kama hizo ni kufanya tu uonekane huna jipya.
Ninadhani uwe tu realistic. Nenda onana na vijana...
Dkt Chakwera anaunga mkono uchaguzi batili uliofanyika hawezi kuongoza maridhiano ni maigizo.
Kama Samia ameshinda kwa 98% tuunde tume huru turudie uchaguzi sii anakubalika kwa asilimia 98% hatuwezi kufanya maridhiano na mtu anaye unga mkono wizi na mafisadi.
#D9
Kwa bahati mbaya sikuwa na muda wa kutengeneza documentary lakini nilishuhudia vitimbi vingi sana
Ni watu wa humo humo kanisani wanaojifanya ni wagonjwa, baada ya muda wanahamia matawi ya mbali na huko utawaona kwenye tv kwa mambo yale yale, watatoa shuhuda, watatoka hadi nje ya kanisa waki...
Kuna Mwanajeshi kataka Tanzania isifanye uchaguzi.
Je, Yupo peke yake au nyuma yake kuna wenzie. Kama katoka hadharani na kisema, huu mwezi wa kumi 2025 utakuwa ni mwezi kona.
Anaitwa Kapteni Tesha kutoka Shule ya Anga ya Jeshi. Amesema katafakari sana..
Amesema, "JESHI LICHUKUE NCHI HARAKA...
Yaani simu yangu inashindwa kupokea sms mpya kwasababu ya kujaa kwa hizo messages zenu. Hivi nyie mnafikiri sisi wagombania mwendokasi tunaweza kuiba hizo billions, sisi wahangaika na maji ya mtoni tunaweza iba na kufanya ufisadi wa namna hiyo.
Achani mara moja hii kitu, naongea tena FANYENI...
Nimesikiliza na kutazama kwa makini mahojiano kamili kati ta Rostam Aziz na Tido Mhando ambayo yamerushwa hewani kupitia Azam Tv (UTV) kuanzia mida ya saa tatu usiku mpaka mida ya saa nne na dakika kadhaa usiku huu (tarehe 5/9/2025). Na bila kumumunya maneno, mahojiano yale yalikuwa ni maigizo...
Wakati dunia inazungumza kuhusu vita vya kisasa vinavyotumia teknolojia ya hali ya juu, jeshi la Tanzania bado limebaki nyuma likifanya mazoezi yasiyo na tija.
Badala ya kuwekeza kwenye zana za kivita za kisasa na mbinu za kijeshi zinazolingana na zama hizi, mara nyingi wanajeshi huonekana...
Inayoitwa tume huru ya uchaguzi inatuona sisi ndezi!
Yaani eti kati ya vitu vyote vya kuweka uwanja sawa kwa wagombea imeona kugawa magari ndiyo njia mwafaka! Kwa nini inapata kigugumizi kuamua kwenye reforms za uchaguzi?
Sisi tunalia na DEDs kiwa wasimamizi wa uchaguzi mbona haisikii? Kama...
Unaingiaje kwenye uchaguzi Mkuu wakati huo Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ambaye ndo mpinzani wako mkuu yupo mahabusu, na kama haitoshi, chama kimefutiwa Ruzuku yake, kimezuiliwa kufanya shughuli zake za kisiasa, kimebanwa kila kona.
Katika mazingira hayo, hapo kuna uchaguzi gani...
Hatua ya Kwanza
Mgombea Mwenza anatoka hadharani tarehe 11/ 08/ 2025 na kudai kuwa chakavu wanahitaji 100B waweze kufanikisha kampeni ya kubakiza Costra Nosta sebuleni kwao. Roadmap ni harambee scheme
Hatua ya pili
Tarehe 12/ 08/ 2025 inafanyika harambee kabambe ambapo jumla ya Bilion 86+...
Wana mtandao wa CCM wamefanikiwa kuteka taifa letu
Sasa kwa gharama ya bilioni 700 za walala hoi muda ambao hakuna pesa za kuwalipa makandarasi wa barabara na reli nchi inaenda kwenye chaguzi za maigizo za chama tawala na chama sindikizi ambacho kilitengenezwa na mwana mtandao asilia
Uchaguzi...
Uchaguzi hauwezi kufanyika bila upinzani wenye nguvu na uwepo wa haki kinachoenda kufanyika ni maigizo sio uchaguzi.
Hakuna uchaguzi bila mabadiliko bali maigizo.
Bila chama cha upinzani chenye nguvu kushiriki uchaguzi hakuna uchaguzi bali maigizo na udanganyifu ambao haukubariki.
Chama cha upinzani kipo sahihi kuhamasisha mazingira ya uwazi na kidemokrasia kwenye uchaguzi ili uchaguzi wetu usiwe wa maigizo na udanganyifu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.