mahusiano

  1. JamiiForums Tanzania Ewe mwanamke, fanya haya kuimarisha mahusiano yako

    Wasalaaam waungwana, Leo nijikite moja kwa moja kwenye mada husika kuhusu mahusiano. Ni Mara nyingi sana watu hasa wapendanao kuwa na migogoro ya Mara kwa Mara na kupelekea kuchokana na kukinai mahusiano na kuachana. Nini sasa kifanyike ewe mwanamke mwenzangu. Tujitahidi kwa haya yafuatayo...
  2. JamiiForums Tanzania Je, hii ni sawa?

    Ndugu wapendwa mimi ndio mara yangu ya kwanza kuwa hapa. Nina jambo naombeni msaada. Nimeolewa hivi karibuni, baada ya kumjoin my husband aliamua kunitambulisha kwa wanawake aliyodai ambao baadhi ni marafiki tuu wa kawaida na wengine ni wafanyakazi wenzake. Ok nilikubali na kuwaona wote. Ila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…