mahusiano

  1. JamiiForums Tanzania Vijana wa kike wengi wa Tanzania kuongelea mapenzi, mahusiano na ngono zaidi inaashiria nini?

    Kuanzia kwenye mitandao ya kijamii kama Twitter, Instagram hata hapa JF hadi mtaani nimekuja kugundua vijana wa kike wengi bongo mazungumzo yanayowashughulisha na kuwaweka busy zaidi ni mahusiano, mapenzi, ndoa na ngono. Ni wanawake vijana au mabinti wachache sana utakuta wanaongelea siasa...
  2. JamiiForums Tanzania Briffault's Law inasema Mwanamke hawezi kuwa na mahusiano ya aina yoyote na mwanaume kama hafaidiki

    habari wadau. Naona threads za kuwalalamikia wanawake wanapenda pesa na mali zimekuwa nyingi sana. Ningependa vijana wote wa kiume wanaopenda kulalamika waisome na kuijua hii scientific Law ya mwanasayansi Robert Briffault ambayo ni a scientific law that describes the biological behavior of...
  3. JamiiForums Tanzania Uzoefu ni jambo muhimu katika Maisha, inakuwaje watu mnawakataa single Mamaz kwenye mahusiano ya ndoa?

    Hakuna ubishi unapoomba kazi moja ya sifa na kigezo kinachozingatiwa ni uzoefu wa kazi how long you work for the position?una yafahamu vyema majukumu yako na kuna impact gani umeifanya katika taasisi yako uliyotoka? Lakini mambo yamekuwa tofauti katika mahusiano hivi kwanini wanaume tunawakataa...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Wale ambao hamkuachana na Ma Ex wenu ila wameolewa, mahusiano yanaendelea kwa level kipi?

    Mmeachana / kupeana distance Mmeshusha mahusiano yawe urafiki Mapenzi yanaendelea imya kimya
  5. JamiiForums Tanzania Mwanamke anahitaji kuhudumiwa/ (Maslai ktk Mahusiano au Ndoa) K

    Ili mwanamke akubari kuolewa au kua ktk mahusiano na mwanaume Kuna vigezo huwa wanavingatia, kwa % Kubwa ya wanawake anachoitaji ni kuhudumiwa. Na kupata unafuu wa Maisha, kiujumla wanawake wapo kimaslai zaidi, hata mke ulie nae, hayupo hapo kwa ajiri ya Upendo ila yupo hapo kwa sababu...
  6. JamiiForums Tanzania Mahusiano yamekuwa tatizo kwangu!!

    kisa chenyewe ndø kama ifuatavyo .. Mimi nikijana mwenye miaka 20 sasa katika safari yangu ya maisha nimekuwa napitia changamoto nyingi katika masuala ya mahusiano ambapo masuala ambayo Mimi nayaona kama changamoto kwa vijana wenzangu wanaokama fursa lkn tunatofautiana .. Kiukwelii nimekuwa...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Wazazi sikiliza kwa makini: Mwanaume aliyehukumiwa kwa kosa la kulawiti watoto ahojiwa na kueleza mbinu anazotumia kurubuni watoto

    IMETAFISIRIWA Jack Rynolds alitumikia kifungo kwa miaka zaidi ya 12 gerezani kwa kosa la kulawiti wavulana wadogo hasa wenye miaka 11 hadi 14, hapa anatoa ushuhuda wake kwa vigezo vonavyotumika zaidi kuchagua aina ya wavulana na mbinu. === Tafsiri siyo ya moja kwa moja; Swali la mwandishi...
  8. JamiiForums Tanzania Teknolojia ilivyogeuka Sumu kali ya Mahusiano katika zama hizi

    Mitandao ya kijamii na mawasiliano ya kidijitali vimebadilisha jinsi watu wanavyohusiana, na hii imeleta changamoto mpya kuhusu uaminifu, muda wa pamoja, na jinsi ya kudumisha ukaribu. Katika enzi za sasa za teknolojia, mahusiano yamepata fursa mpya za kuimarika kupitia mawasiliano ya haraka na...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa na mahusiano na mfanyakazi mwenzake, kajua naona kabadilika

    Nilikua Na Mahusiano Na Mfanyakazi Mwenzake, Kajua Naona Kama Kabadilika! Mwezi wa 3 mwaka jana nilianzisha mahusiano ambayo hadi sasa ninajutia kwanini niliyaanzisha. Ni mahusiano ambayo hayakudumu, tuliachana mwezi 8 mwishoni. Mwezi wa tatu mwaka huu nikakutana na mtu mwingine. Mimi ni...
  10. JamiiForums Tanzania Mwalimu jenga mahusiano bora na mwanafunzi wako

    Image Source: Pinterest Mtu mmoja aliwahi kusema kuwa, "Walimu wanaotanguliza uhusiano sio tu kuwa na wanafunzi kwa mwaka mmoja. Wana wanafunzi wanaowaona kama mwalimu wao wa Maisha" Mateso tuliyopitia kwenye elimu yetu si lazima kizazi hiki kipitie. Mateso yaliyofanya wengi kutokujiamini...
  11. JamiiForums Tanzania Mwalimu jenga Uhusiano mzuri na wazazi ili kulinda hisia za mtoto shuleni na nyumbani

    Image source: Pinterest Kumekuwa na tatizo la wazazi kulaumiana katika kusimamia maendeleo ya mtoto shuleni. Hivyo kurudisha umoja ili kufanikiwa kumjenga mtoto Na wakati mwingine mzazi anaingia msongo wa mawazo kutokana na taarifa mbaya za mtoto kutoka kwa mwalimu. Mwandishi wa kitabu cha...
  12. JamiiForums Tanzania Njia rahisi za kuyapima mahusiano yako

    Kila mtu anataka kuwa katika upendo, lakini si kila mtu yuko tayari kujitolea kweli. Hapa kuna njia rahisi za kujaribu ikiwa ni upendo wa kweli: Mtihani wa Ukweli: Mapenzi ya kweli ni ya uaminifu. Ikiwa unaficha mambo kutoka kwa mpenzi wako, inaonyesha kuwa huna upendo wa dhati. Kuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Visa vyangu vya mapenzi: Harakati za kusaka mume

    Huyu Agel sijamuelewa yani unanifuata
  14. JamiiForums Tanzania Kuna ulazima mpenzi wa sasa ajue mahusiano yaliyopita?

    Je kuna ulazima mpenzi wako wa sasa hajue mahusiano yako yaliyopita??
  15. JamiiForums Tanzania Mtoto wa kiume ingia kwenye mahusiano kitaalamu

    Kabla mwanamke hajakukubalia tambua ya kwamba ashapiga hesabu zake na kujua atanufaika vipi kupitia wewe iwe kwa sasa au uko mbeleni. Ni wanaume wajinga ndio huwa wanaingia katika mahusiano bila malengo. Ndio maana wanaume hawa huwa wanaishia kutumika na wanawake kwa malengo binafsi, kwa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wadada ukipiga nao story, utasema wife to be huyu hapa, ingia nao kwenye mahusiano ndo utajua hujui

    Habarini, Kuna baadhi ya wadada ni majirani zangu, kimuonekano ni wazuri tu, wameajiriwa, wapo kwenye umri wa kuolewa lakini hawajaolewa, kwa nyakati tofauti nilibahatika kupata wasaha wa kukaa nao chini na kupiga story kuhusu mahusiano ya kimapenzi waliowahi kupitia. Tuliongea mengi ila...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mahusiano sio hitaji pekee mpaka usumbuke nalo kila siku, usisahau pesa pia huna

    Kuna mtu toka umfahamu yupo na heka heka za mahusiano tu kuanzia maongezi mpaka vitendo ila KI UCHUMI hali yake mbaya Yawezekana ukawa wewe pia 😊 Mawazo yanayotembea kichwani mwako kwa wingi ni mahusiano tu , unatafuta ubunifu wa mahusiano kwa kasi kubwa zaidi ya unavyotafuta ubunifu...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaume Wema na Watiifu katika Mahusiano yao ndiyo huteswa zaidi Kimapenzi na Wanawake

    Haya siyo maneno yangu bali ni maneno ya Mwanasaikolojia mmoja ambaye huwepo sana katika Kipindi huko Channel Ten ambapo huwa anazungumza na kuchambua Mambo mbalimbali ya Kisiasa, Kiuchumi, Kijamii na Kimahusiano. Ngojea GENTAMYCINE niendelee hivi hivi tu kuwa Mkorofi mbele ya Wanawake ili...
  19. JamiiForums Tanzania Ikiwa mko kwenye mahusiano au ndoa, na kati yenu moja anachepuka, na ikagundulika, je unapaswa kudeal na mwenzi wako au yule wa nje anae chepuka nae?

    miongoni mwa changamoto kubwa kwenye mahusiano na ndoa nyingi kwa sasa ni kukosekana kwa uaminifu baina ya wahusika.. kuchepuka na michepuko limekua jambo la kawaida na ni chanzo cha migogoro na kusambaratika kwa chumba nyingi, mahusiano na ndoa nyingi sana, huku wanaoathirika zaidi ni watoto...
  20. JamiiForums Tanzania Fanya hivi uwe na mahusiano imara only men

    Habarini wanajukwaa Leo nimeamka na roho ya huruma kuwahurumia wanaume wenzangu wanaoteswa na wanawake hivyo nikaona ni share vitips viwili vitatu vya kuwafanya waenjoy mapenz kama mimi maana ndoa imekua tamu kama niko peponi mwezenu naenjoy Twende kwenye mada Kwanza anzia kwako uwe smart...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…