mahusiano

  1. JamiiForums Tanzania Ila wanaume na nyie mnataka nini?

    Unakuta mtu upo serious nae ajawai kukushirikisha anapitia nn anapitia hard tym gani baadae ukiombwa ela oh huoni napitia wakati uliwai niambia?๐Ÿ˜Ž Mtu unakaa nae for like 3yrs na kuendelea kanapata mimba unakuja et Sina malengo nae asa iyo miaka mlikua mnafanya mwenzio kaona mna malengo afu...
  2. JamiiForums Tanzania All in all mahusiano ni magumu

    Tutafute ela tu #2025 #2026 #2027 Stay focused๐Ÿ’”๐Ÿ’”๐Ÿ“Œ
  3. JamiiForums Tanzania Usikatae ndoa sababu ya kufuata mkumbo

    #Kataa Ndoa sio slogan ya kimasiharamasihara usiikurupukie kama hujaielewa inahusu nini, kuna wanachama wanajiunga na chama hiki bila kujua vigezo na masharti ya chama hiki. Wapo wanaodhani ni chama kinachokataza kuwa na mwanamke kabisa. Wapo wanaodhani chama hiki ni uasi wa sheria za kidini...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo sasa na mpenzi wako, ikitokea amefungwa jela, unamsubiria au unasonga mbele na mwingine?

    Ikitokea kawekwa ndani miaka mitano na kuendelea, vipi unamsibiri au ndiyo fursa yako ya kuachana bila lawama. Kwa wanandoa, mwenza wako kufungwa ni sababu tosha kwa mujibu wa sheria ya kuomba talaka. Tuambie, unasubiri au ndiyo kwaheri ya kuonana.
  5. JamiiForums Tanzania Mitego ya Kisaikolojia: Kwanini Wanawake Wanajazana Kwa Waganga na Wachungaji? Je, Hizi sio Pande Mbili za Sarafu Moja?

    Waganga wa Kienyeji na Wachungaji wa Maombi Binafsi: Ni Tofauti au Ndugu Wanaotumia Lugha Tofauti? ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ https://www.jamiiforums.com/threads/waganga-wa-kienyeji-na-wachungaji-wa-maombi-binafsi-wajanja-wanaocheza-na-akili-za-wanawake.2314695/
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wa sasa kwenye mahusiano wako kibiashara (wana selfish motives), wanaume tuache ku-fantasize romantic cinderella stories

    Habarini Nliingia kwenye insta story ya niffer, aliuliza wadada ni kitu gani kinafanya wawaheshimu zaidi wanaume walio nao, almost 95% of them walijibu maokoto, na their replies zilikua na umimi mwingi , me, me me, me, & me ananifanyia hiki. Wadada wachache walisifu "utu wema k.v loyalty...
  7. JamiiForums Tanzania Kaniambia baada ya mfungo hatokuja kabisa nyumbani, ndio ananiacha hivi hivi?

    Hivi hata kama lugha za kuagana kimasihara sizijui hivi ndio kweli ananiacha hivi hivi au?๐Ÿ™„ Jamani kuwa na 24'yrs kwa mwanaume aliyekamilika sidhani kama ni ajabu kuwa namahusiano japo kidini haipo hivyo, siyo? Sasa mimi ni mkristo safi kabisa mwenye mawaa kwa Mungu tu๐Ÿ™Œ. Sasa haka katoto...
  8. JamiiForums Tanzania Mahusiano kuanzia miaka 25+ kijana wa kiume hakikisha una hivi vitu muhimu

    Habari Wana JamiiForums Mambo muhimu kwa kijana wakiume mwenye Umri 25+ Unapokuwa kwenye mahusiano โ€ข Kipato โ€ข Chumba uwe umepanga โ€ข Shughuli yoyote itakayokuweka ubize Vingine Wadau Ongezea kama nimesahau
  9. JamiiForums Tanzania Sio kuhukumu au kunyanyapaa: aina ya wanawake ambao mwanaume inabidi awaepuke maana katika mahusiano probability ya mambo kwenda kombo ni kubwa

    Katika mahusiano, kuna mambo unayopaswa kuyatafakari kabla ya kufanya uamuzi wa kudumu. Ingawa kila mtu ana historia yake, kuna mazingira ambayo yanaweza kuathiri mwenendo wa mahusiano kwa kiasi kikubwa. Hapa ni baadhi ya mambo ya kuzingatia: 1. Single Mothers: Changamoto za Kuwa Kwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Usije kujaribu kumuomba msamaha mwanamke hata kama umekosea!

    Eti ni udhaifu ๐Ÿคท๐Ÿพ Hivi ni kweli wanaume mnafikiri kwa namna hii au ni baadhi tu ya vijana wasiojielewa? Kama humuombi mkeo au mpenzi wako msamaha ukikosea, huwa unamalizaje migogoro kwenye mahusiano yako? Mwisho kabisa, Je, ni sahihi kwa huyo mwenza wako pia kutukukuomba msamaha akikosea, au...
  11. JamiiForums Tanzania Usiwe na mahusiano ya kudumu(malengo) na mwanamke mlevi (cha pombe) utanishukuru baadae

    Habarini za weeknd wana JF Mimi swali langu ni moja tu kuna uhusiano gani kati ya unywaji pombe na umalaya au uchepukaji wa wanawake walio kwenye mahusiano ? Yaani kama demu wako au mke wako anatumia pombe umeliwa mkuu we jua tu unagongewa vya kutosha wahuni wanamuinamisha vya kutosha niamini...
  12. JamiiForums Tanzania Wanaume wanapaswa kuelewa kwamba si wanawake wote wanatafuta mapenzi au ndoa

    Kwa kweli; Ni mara nyingi wanaume ndio wanahangaika kutafuta wake na wapenzi. Hata hivyo, kuna kundi la wanawake ambao hawavutiwi sana na mapenzi au uhusiano wa dhati, bali wanatafuta msaada wa kifedha. Wanawake hawa mara nyingi wanatafuta mtu wa kulipia gharama zao, mfadhili wa maisha yao...
  13. JamiiForums Tanzania Sababu 4 zenye kufanya mwanamke anawachukia wanaume pamoja na kuyachukia mahusiano

    Ukiona mwanamke yeyote ambaye anajiita strong and independent woman,super woman, Wakanda forever, mwanamke wa shoka n.k nyuma ya hayo majina kuna maumivu makali sana moyoni ikiwemo msongo wa mawazo, kujichukia,kukata tamaa ya maisha . hivi sasa kuna ongezeko la single mother ulimwenguni kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri: Nayateketeza mahusiano na mpenzi wangu kwasababu ya kutingwa na majukumu

    Wakubwa habari za usiku huu wa manane๐Ÿ–๏ธ Mimi ni kawaida sana kulala mida hii ya saa nane usiku, maana nina nusu saa hivi ndio nimetoka majukumuni na nina kama dakika 5 hivi nimetoka kula. Haya ndio maisha yangu ya kila siku. Nimeshika simu sasa hivi, baada ya kukagua nyaraka zangu, nikajikuta...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ndoa na mahusiano

    Zamani mahusiano au ndoa ilikuwa ni watu wawili kutengeneza kesho yao, na watoto wao lakini leo imebadilka ndoa imekuwa sehemu ya mwanamke kujitafta kiuchumi, akijipata anaondoka bila kujali anakiacha katika hali gani Yaani mwanamke sasa hivi anataka uhuru wa kiuchumi atatumia kila mbinu...
  16. JamiiForums Tanzania Usikubali kushindwa kirahisi kwenye mahusiano

    Asili ya maisha ni kuforce tangu kuingia mimba (wakati wa tendo hadi jasho) hadi kuzaliwa kiasi wengine hadi njia inaongezwa (poleni wanawake). Huo ni mfano mdogo tu wa asili ya maisha kuwa ni mwendo wa kutokukata tamaa na kukubali kushindwa kirahisi. Ukipata demu au mwanaume usikubali kukataa...
  17. JamiiForums Tanzania Utafiti wa The Kennel Club unaonyesha asilimia kubwa ya wanawake walio-single wanapendelea urafiki wao mkubwa na Mbwa kuliko kuwa na mahusiano ya kima

    Utafiti wa The Kennel Club unaonyesha asilimia kubwa ya wanawake walio-single wanapendelea urafiki wao mkubwa na Mbwa kuliko kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume. Kwa mujibu huo wa The Kennel Club inayotambulika duniani kwa jukumu la kusimamia shughuli mbalimbali za mbwa zinasema...
  18. JamiiForums Tanzania Mahusiano yanayokuja kwako huwa yana sababu maalumu.

    Wengi huwa tunashindwa kulitambua hili, hasa pale tunapokuwa wapofu wa huko tuendako. Ndipo wahenga wakaja na msemo, ukiona nyani mzee juwa amekwepa mishale mingi. Ikitokea mtu amekuja kwako kimahusiano, mpokee vizuri na umjibu vizuri kama kuna kisababishi chochote kitakacho kwamisha mahusiano...
  19. JamiiForums Tanzania Ukiona Unabadilisha Sana Bulb Jipe Muda wa Kujitathmini Wewe โ€œHolderโ€

    Naomba nianze moja kwa moja, tuchukulie mfano wa kwenye mahusiano ya kimapenzi, ukiona unabadilisha sana partners mara kwa mara ndani ya muda mfupi mfupi jipe muda wa kujitathmini wewe mhusika (Holder) Binadamu kwa hulka yetu huwa tunajiona tuko sahihi wakati wote kiasi cha kutaka wanadamu...
  20. JamiiForums Tanzania Kijana jifunze kutambua nyakati 4 muhimu katka mahusiano

    Leo nimeona valentine isiwe kinyonge sana Kwa sisi vijana nmekuja na kitu kinaitwa timing Kijana jua neno timing ambalo uhusiano wake na time Timing ya jambo Fulani ili ulifanikishe ni lazma ulifanye ndani mda sahihi hapa namaanisha (time) Kwahyo majaribu kuhusianisha maneno haya jinsi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ