Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limefanikiwa kumtia mbaroni mtu mmoja anayedaiwa kuchoma moto jengo la mahakama ya mwanzo mjini Moshi .
Kwa Mujibu wa Taarifa ya jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro mtuhumiwa huyo ametajwa kwa jina la John Daud, (42), mkazi wa mtaa wa Lengua,Manispaa ya Moshi...