magonjwa ya mlipuko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Soko la Mawenzi mjini Mororgoro ni chafu na ni hatari kwa afya ya binadamu hasa nyakati za mvua kutokana na uchafu unaotupwa holela

    Soko la Mawenzi ndiyo kiunganishi Cha wakazi wa Morogoro. Tunaomba mamlaka husika zitusaidie kwa hili kuepuka magonjwa ya mlipuko hasa kipindupindu. Licha ya viongozi kuchukua hela za ushuru kila mwezi lakini hawaangalii afya za watumiaji wa soko Hilo. Ni kero kwa sisi wateja hata watumiaji...
  2. N

    Wizara ya Afya: Kuna ongezeko la magonjwa ya mlipuko yakiwemo mafua makali ya Influenza, UVIKO-19, Dengue na Kipindupindu

    Wizara ya Afya imetoa tahadhari kwa wananchi kuhusu ongezeko la magonjwa ya mlipuko yakiwemo mafua makali ya Influenza, UVIKO-19, homa ya Dengue na Kipindupindu na kutoa wito kwa jamii kuzingatia kikamilifu hatua za kinga ili kudhibiti maambukizi. Taarifa hiyo imetolewa leo Februari 25,2026 na...
  3. W

    Tanzania yazindua mradi wa Tsh. Bilioni 95 kwa ajili ya kuimarisha mwitikio wa magonjwa ya mlipuko. Yaliyotokea pesa za Covid kujirudia?

    Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Afya Duniani (WHO), Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) na Shirika la Chakula na Kilimo (FAO), imezindua rasmi mradi wa “Pandemic Fund” wenye thamani ya dola milioni 38.7 (Tshs. Billioni 95), ukiwa na lengo la kuimarisha...
  4. Papaa Mobimba

    KERO Wakazi wa Magengeni, Kijitonyama, hatarini kuugua magonjwa ya mlipuko baada ya chemba za maji machafu kufumuliwa na kuachwa yakitiririka siku tatu

    Wakazi wa Mtaa wa Magengeni, Kijitonyama, wamejikuta katika hali ya sintofahamu baada ya ujenzi ulioanzishwa na jamaa mmoja kusitishwa kwa siku tatu huku ukiwa tayari umesababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu. Kwa mujibu wa wakazi wa eneo hilo, ujenzi huo umesababisha kuzibwa kwa njia za...
  5. Just Pray

    Kenya: Wizara ya afya imeanza kupambana na mlipuko wa ugonjwa usiojulikana na ambao umeathiri zaidi ya watu 200

    Wizara ya afya nchini Kenya imesema ipo mbioni kupambana na mlipuko wa ugonjwa usiojulikana na ambao umeathiri zaidi ya watu 200 katika vijiji vitatu vya jimbo la Kisii eneo la Nyanza Magharibi ya Kenya. Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya anayehusika na afya ya umma Mary Muthoni anasema tayari...
  6. K

    DOKEZO Responded Kuna watu wanaumwa magonjwa ya tumbo/Kipindupindu maeneo tofauti ya Tunduma, lakini sijasikia tamko la Serikali

    Huku kwetu Tunduma karibu maeneo yote kuna changamoto ya watu kuumwa magonjwa ya tumbo na wengine kipindupindu lakini hatusikii mamlaka zikiweka wazi kuhusu suala hilo hadharani. Kumekuwa na taarifa kuwa kuna watu wanapoteza maisha kwa maambukizi ya tumbo na kadhaa tunashuhudia Wataalamu wa...
  7. JanguKamaJangu

    Waziri wa Afya asema Hospitali Maalum ya Magonjwa ya Mlipuko kujengwa Kagera

    Serikali imeanza mchakato wa ujenzi wa hospitali maalum ya magonjwa ya mlipuko na kituo kikuu cha uchunguzi mkoa wa Kagera kutokana na mkoa huo kupakana na nchi ambazo zimekuwa na historia ya kushambuliwa mara kwa mara na magonjwa hayo. Akizungumza Mkoani Kagera wakati wa hafla ya uzinduzi wa...
  8. kamjabari

    DOKEZO Responded Ubungo Riverside kuna tishio la Magonjwa ya mlipuko kufuatia utiririshaji ovyo wa Majitaka kutoka kwenye Vyoo

    Kumekuwa na utiririshaji wa majitaka ovyo maeneo ya Ubungo Riverside kuanzia maeneo ya Msikitini mpaka Kituo cha Kaladala karibu na Riverside Bar kuna harufu kali inayosababishwa na maji taka yanayotokana na shughuli mbalimbali za Wakazi na Wafanyabiashara wa maeneo hayo. Ambapo inadhaniwa pia...
  9. S

    SoC04 Mazingira machafu yanavyoweza kuchangia usambaaaji wa magonjwa ya mlipuko

    Mazingira ni vitu vyote vinavyotuzunguka venye uhai na visivyo na uhai kama nyumba,mimea,watu,wanyama,hewa nakadhalika. Mazingira machafu yanaweza kuongeza usambaaji wa magonjwa ya mlipuko kwa sababu zifuatazo÷ 1. Mavi, hiki ni chanzo kikuu cha usambaaji wa magonjwa kama kipindupindu,kuhara na...
  10. R

    SoC04 Typhoid, ugonjwa unaouzwa kama nyanya na hospital binafsi

    " Daktari, Mimi Typhoid yangu naijua nikihisi tu naenda kununua dawa nakunywa na napona vizuri tu" Sentensi hii madaktari tumekua tukikutana nayo mara Kwa mara pindi tuwaonapo wagonjwa wengi huku mitaani. Cha kusikitisha zaidi Ugonjwa huu umekuwa ukitumika kujiingizia faida Kwa hospital...
  11. A

    KERO Magomeni Mtambani taka hazichukuliwi kwa wakati, wakazi hatarini kupata magonjwa ya mlipuko

    Wakazi wa Magomeni Mtambani tupo hatarini kwa magonjwa ya mlipuko, magari ya kubeba takataka yanakaa mpaka mwezi bila kuchukua takataka na takataka kuzagaa mitaani. Pia soma - DOKEZO - Magomeni, Kanisani: Dampo linahatarisha afya za watu, viongozi chukueni hatua - Taka zimejazana sana eneo la...
Back
Top Bottom