magaidi wa hamas

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Echolima1

    Magaidi wa Hamas huko Gaza wanapata taabu sana tuwaombee tu!!!

    Magaidi wa Hamas baada ya kusimamisha mapigano walijikusanya kwenye Gorofa moja ili wajipange upya kuishambulia Israel. Matokeo yake yalikuwa mabaya sana kwa waliuwawa wote waliokuwa ndani ya jengo hilo na sasa kuna uwezekano kama ni kweli wamekabidhiwq wale mabikira fake ili wawabikiri!!!!
  2. Echolima1

    Magaidi wa Hamas sasa hivi wanapata kipondo cha Mbwa mwili huko Gaza!!!

    Wakati Iran anatandikwa na Marekani wakati huohuo Magaidi wa Hamas nao wanapata kipigo cha mbwa-mwili huko Gaza!!!! Safari hii Magaidi wa Hamas,Hezbollah, Houth na Bwana wao Iran wanapata kipigo kwa pamoja!!! Yajayo 6anafurahisha!!! https://x.com/vividprowess/status/2017590868220280929?s=61
  3. Echolima1

    Mwamba Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu aonya kamati ya Amani ya Gaza!!

    🇮🇱 “Hilo halitatokea.” Waziri Mkuu Netanyahu alieleza waziwazi: 🔹 Hakuna ujenzi mpya kabla ya kuondolewa kijeshi Magaidi wa Hamas huko Gaza 🔹 Hakuna wanajeshi wa kigeni huko Gaza-Israel haitaruhusu nchi zilizokuwa zinaunga mkono magaidi wa Hamas kushiriki kwenye ujenzi wa Gaza npya. 🔹 Hakuna...
  4. Echolima1

    Hatimaye Magaidi wa Hamas wakiri Makamanda wao Mahiri waliangamizwa bila huruma huko Gaza!!!!

    Hamas inatangaza rasmi safu ya maafisa wakuu ambao waliangamizwa katika miezi ya hivi karibuni (kwa mpangilio kutoka kushoto kwenda kulia): Abu Ubaida - Msemaji wa Hamas Ra'ad Saad - Mkuu wa wafanyakazi wa uzalishaji Hakim Alais (Abu Omar Al-Suri) Mohammad Shabana - Amiri wa Rafah Mohammad...
  5. Echolima1

    Jeshi la IDF linaendelea kuwashambulia Hamas

    Baada ya Hamas kushindwa vita waliyoianzisha wao wenyewe Oct 07,2023 sasa hivi wanafuatwa popote walipo na kuuwawa na wengine waliokuwa wamebaki kwenye mahandaki Njaa imeanza kuwatoa huko na wanaojisalimisha wanatiwa mbaroni na wanaokaidi wanaangamizwa papa kwa papo. Sasa hivi hakuna...
  6. Mlaleo

    Hatimae Mwili wa Marehemu Joshua Mollel warejeshwa na Magaidi wa Hamas wenye vina saba na Chama Cha Mauwaji

    Joshua Loitu Mollel (Picha Kwa Hisani ya Maktaba) Mabaki yaliyorejeshwa kutoka Gaza hadi Israel usiku kucha yalitambuliwa kuwa ya raia wa Tanzania Joshua Loitu Mollel, mamlaka ya Israel ilisema Alhamisi. Wawakilishi wa Jeshi na Wizara ya Mambo ya Nje waliifahamisha familia ya Mollel kwamba...
  7. Echolima1

    Israel yawataka Hamas kuurudisha Mwili wa Joshua Mollel

    Joshua Mollel, mwanafunzi wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 21, alikuja Israel kusomea kilimo, sio kuchinjwa na magaidi wa Hamas. Walimuua tarehe 7 Oktoba, waka unajisi mwili wake, na kuteka nyara hadi Gaza. Hamas lazima waachilie mwili wa Joshua sasa. Familia yake inataka tu kumpa mazishi...
  8. Echolima1

    Makubaliano kati ya Hamas na Israel yaelekea kuvunjika?

    Magaidi kadhaa waliokuwa na silaha waliviona vikosi vya IDF vinavyokaribia kufanya kazi katika eneo la Beit Lahia nyuma ya mstari wa njano, na kusababisha tishio la mara moja kwa askari. Kwa mujibu wa makubaliano ya kusitisha mapigano, magaidi hao walipigwa baada ya kuvuka mstari wa njano...
  9. Echolima1

    GRAPHIC VIDEO: Baada ya Magaidi wa Hamas kushindwa vita huko Gaza waanza kuua raia kisingizio walikuwa wanasaidia Israel!!

    Onyo la picha! Mara tu baada ya kutangazwa kusitishwa kwa mapigano huko Gaza, Hamas walichukua wanaume 8 ambao waliwashuku kushirikiana na Israel bila kuwa pele ka Mashaka ani wakawafunga vitambaa usoni na kuwapiga risasi mbele ya umati mkubwa wa "raia wasio na hatia" waliokuwa wakishangilia...
  10. Echolima1

    Baada ya Hamas kuvunja makubaliano Israel yasema itawanyoosha

    Magaidi wa Hamas kama ilivyo kawaida yao wamevunja makubaliano kwa kuleta Maiti za watu 3 na mzoga wa mpalestina mmoja kitu ambacho ni utovu wa nidham Kwenye makubaliano ilitakiwq waachilie Maiti za wayahudi 28 waliowateka Oct 07,203 cha ajabu jana walileta maiti 4 tu kinyume na makubaliano na...
  11. Echolima1

    Yasser Abu Shabab, kiongozi wa umoja wa wanamgambo wanaowapinga magaidi wa Hamas huko Gaza

    Yasser Abu Shabab, kiongozi wa mmoja wa wanamgambo 3 wakuu wa waasi wanaopinga Hamas huko Gaza, na mwakilishi wake anayehusika na vikosi vya wanamgambo wanatangaza "biashara kama kawaida". Wanapatikana Rafah, kusini mwa Gaza. Jana walifanikiwa kuwaua magaidi 20 wa Hamas!!!
  12. Echolima1

    Magaidi wa Hamas walijaribu kwenda maeneo yasiyoruhusiwa walikipata cha moto!!

    Vifaru vya IDF vinawafyatulia risasi Wanajihadi wa Nazi huko Gaza ambao wanajaribu kutembea kuelekea kaskazini mwa Gaza. Hawaruhusiwi kwenda kaskazini zaidi kutoka hapo walipo.
  13. Echolima1

    Israel yagongomelea msumari wa mwisho kwenye Jeneza la Magaidi wa Hamas!!!

    Baada ya Majeshi shupavu ya Israel kushusha kipondo kikali kwa magaidi wa Hamas hatimaye usiku wa kuamkia leo wamekubali kwa hiari yao kuwaachia mateka waliowateka Oct 07,2023. Kukubali kwao kunatokana na mbinyo uliofatana na kipigo cha mbwa-koko wali ho kuwa wanapata toka walipofanya uvamizi...
  14. Echolima1

    Magaidi wa Hamas wanazidi kudoda huko Gaza!!

    Israel inakadiria kuwa watu 500,000 wameuhama mji wa Gaza wakati IDF ikisonga dhidi ya ngome za Hamas Wengi walioondoka wanaviambia vyombo vya habari vya Kiarabu kwamba Hamas ilijaribu kuzuia kuhamishwa kwao, na kuamua kuwatumia kama ngao za binadamu pamoja na mateka waliosalia wa Israel.
  15. Echolima1

    Sherehe za mwaka mmoja toka Gaidi Hassan Nasrallah aangamizwe!,,

    Nchini Lebanon, hafla ya wanachama na wafuasi wa Hezbollah ilifanyika leo kuadhimisha mwaka 1 tangu kuangamizwa kwa Gaidi Hassan Nasrallah.
  16. Echolima1

    Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu Kwa Magaidi wa Hamas!!

    Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu: Kwa bahati mbaya, hii inazungushwa zaidi na magaidi wa Hamas ambayo hawana jipya. Vita vinaweza kumalizika mara moja kwa masharti yaliyowekwa na Baraza la Mawaziri la Usalama: 1. Mateka wote waachiliwe . 2. Hamas wanyang’anywe silaha. 3. Ukanda usiwe na...
  17. Echolima1

    Baada ya Majeshi ya Israel kuanza kupiga Jaramba kwenye viunga vya Gaza Magaidi wa Hamas wapata kiwewe!!!

    Hamas imesisitiza utayari wake wa kuingia katika makubaliano ya kina ya kuwaachilia mateka wote wa Israel walioko kizuizini. Kwa upande wake, kundi hilo la kigaidi linadai kusitishwa kwa vita huko Gaza, kuondolewa kikamilifu kwa majeshi ya Israel, kufunguliwa kwa vivuko vya mpaka kwa ajili ya...
  18. Echolima1

    Israeli hawakuwa na chaguo jingine bali kuwachukulia hatua Hamas!!

    Israeli hawana chaguo ila kuchukua hatua. Uongo wa Hamas ya Palestina kusema Gaza ina njaa na huku magaidi hao kuwatesa mateka wa Israel katika mahandaki yao huko Gaza na israel ilishaapa mauaji ya Oktoba 7.hayatajirudia tena milele Israel haina chaguo ila kuwasambaratisha magaidi wa Hamas na...
  19. Echolima1

    Yule msemaji wa Hamas Abu Ubaida IDF wamepita naye

    Tathmini za Israel zinaonyesha kuwa Abu Ubaida ameangamizwa bila huruma yoyote Afisa mmoja mkuu wa Israeli alisema: "Ikiwa angekuwa huko, hakuna uwezekano wa kunusurika jaribio hili la mauaji." Taarifa za awali kuhusu mahali alipo zilipokelewa jana usiku, na saa 5:30 jioni hii fursa...
Back
Top Bottom