magaidi wa hamas

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Israel yagongomelea msumari wa mwisho kwenye Jeneza la Magaidi wa Hamas!!!

    Baada ya Majeshi shupavu ya Israel kushusha kipondo kikali kwa magaidi wa Hamas hatimaye usiku wa kuamkia leo wamekubali kwa hiari yao kuwaachia mateka waliowateka Oct 07,2023. Kukubali kwao kunatokana na mbinyo uliofatana na kipigo cha mbwa-koko wali ho kuwa wanapata toka walipofanya uvamizi...
  2. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hamas wanazidi kudoda huko Gaza!!

    Israel inakadiria kuwa watu 500,000 wameuhama mji wa Gaza wakati IDF ikisonga dhidi ya ngome za Hamas Wengi walioondoka wanaviambia vyombo vya habari vya Kiarabu kwamba Hamas ilijaribu kuzuia kuhamishwa kwao, na kuamua kuwatumia kama ngao za binadamu pamoja na mateka waliosalia wa Israel.
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Sherehe za mwaka mmoja toka Gaidi Hassan Nasrallah aangamizwe!,,

    Nchini Lebanon, hafla ya wanachama na wafuasi wa Hezbollah ilifanyika leo kuadhimisha mwaka 1 tangu kuangamizwa kwa Gaidi Hassan Nasrallah.
  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu Kwa Magaidi wa Hamas!!

    Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu: Kwa bahati mbaya, hii inazungushwa zaidi na magaidi wa Hamas ambayo hawana jipya. Vita vinaweza kumalizika mara moja kwa masharti yaliyowekwa na Baraza la Mawaziri la Usalama: 1. Mateka wote waachiliwe . 2. Hamas wanyang’anywe silaha. 3. Ukanda usiwe na...
  5. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Baada ya Majeshi ya Israel kuanza kupiga Jaramba kwenye viunga vya Gaza Magaidi wa Hamas wapata kiwewe!!!

    Hamas imesisitiza utayari wake wa kuingia katika makubaliano ya kina ya kuwaachilia mateka wote wa Israel walioko kizuizini. Kwa upande wake, kundi hilo la kigaidi linadai kusitishwa kwa vita huko Gaza, kuondolewa kikamilifu kwa majeshi ya Israel, kufunguliwa kwa vivuko vya mpaka kwa ajili ya...
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Israeli hawakuwa na chaguo jingine bali kuwachukulia hatua Hamas!!

    Israeli hawana chaguo ila kuchukua hatua. Uongo wa Hamas ya Palestina kusema Gaza ina njaa na huku magaidi hao kuwatesa mateka wa Israel katika mahandaki yao huko Gaza na israel ilishaapa mauaji ya Oktoba 7.hayatajirudia tena milele Israel haina chaguo ila kuwasambaratisha magaidi wa Hamas na...
  7. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Yule msemaji wa Hamas Abu Ubaida IDF wamepita naye

    Tathmini za Israel zinaonyesha kuwa Abu Ubaida ameangamizwa bila huruma yoyote Afisa mmoja mkuu wa Israeli alisema: "Ikiwa angekuwa huko, hakuna uwezekano wa kunusurika jaribio hili la mauaji." Taarifa za awali kuhusu mahali alipo zilipokelewa jana usiku, na saa 5:30 jioni hii fursa...
  8. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hamas wakiringishia msosi wenzao wenye njaa baada ya kuiba misaada ya vyakula

  9. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Hamas zaidi ya 10 waangamizwa kwenye jaribio la kuteka askari wa Israel

    Shambulizi lililoratibiwa na Hamas kwenye Kituo cha IDF Karibu na Khan Yunis IDF ilithibitisha kuwa Hamas walianzisha shambulio lililoratibiwa kwa kutumia bunduki na vifaru, na hivyo kufanikiwa kuruka kizuizi cha karibu na Khan Yunis. Askari mmoja kutoka Brigedi ya Kfir alijeruhiwa vibaya na...
  10. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Marwan Barghouti anayetumikia kifungo kwa Ugaidi anatarajiwa kuwa kiongozi wa Wapalestina baada Magaidi wa Hamas kufurushwa Gaza

    Waziri wa Usalama wa Taifa Itamar Ben Gvir ametembelea gereza la mfungwa mashuhuri wa ugaidi wa Kipalestina Marwan Barghouti na kutoa tishio, picha zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii, na kuibua hasira kutoka kwa Mamlaka ya Palestina. Barghouti, 66, ambaye amekuwa jela tangu 2004 baada...
  11. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hamas huko Gaza wanaendelea kuteka nyara misaada inayopelekwa huko

    Magaidi wa Hezbollah wanaendelea kuteka nyara misaada ya chakula ambayo ilipaswa kuwafikia wananchi wa Palestina badala yake misaada hiyo magaidi hao wanaipeleka kwenye Mahandaki!!!
  12. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kwa uovu wanaoufanya Magaidi wa Hamas na Islamic Jihad hawapaswi kupewa nafasi ya kuishi katika duniani hii!!!!

    VIDEO ya kuhuzunisha ya sekunde 40 inayomuonyesha mateka wa Israel Evyatar David, akionekana kuwa na mifupa na dhaifu ndani ya handaki akilazimishwa kuchimba kaburi lake mwenyewe. Video hii ilitolewa kwa idhini ya familia yake, baada ya Hamas kuchapisha kanda hiyo bila ridhaa yao. Familia...
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Uingereza yapanga Kutambua Taifa la Palestina Septemba Ikiwa Israel Haitasitisha Vita Gaza

    Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kuwa ifikapo Septemba mwaka huu, Uingereza itaitambua rasmi Palestina kama taifa huru endapo Serikali ya Israel haitachukua hatua madhubuti kukomesha vita na janga la kibinadamu katika Ukanda wa Gaza. Taarifa hiyo imetolewa Julai 29, 2025...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Wapalestina Wawataka Hamas Kusalimisha Silaha. Wasema Hawaungi Mkono Ugaidi

    Utawala wa Wapalestina, mjini Ramallah, umesema kuwa wao ndio mamlaka halali ya utawala wa eneo lote la Wapalestina, na kwamba Kundi la kigaidi la Hamas, lisalimishe silaha zake kwa utawala halali, na wasijihusishe na chochote kwenye utawala wa wapalestina. Waziri mkuu. Mohammad Mustafa ...
  15. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hamas wajaribu kumteka askari wa Israel huko Khan Younis na kushindwa!!!

    Askari wa akiba aliuawa huko Khan Yunis baada ya kuhangaika na magaidi waliojaribu kumteka nyara. Kulingana na uchunguzi wa awali, wakati wa operesheni za IDF huko Khan Yunis, magaidi waliibuka kutoka chini ya ardhi na kushambulia kitengo cha IDF. Wakati wa shambulio hilo, magaidi hao...
  16. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Ngome kongwe ya magaidi wa Hamas huko Rafar yaangamizwa

    https://x.com/vividprowess/status/1941863828561498329?s=61
  17. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Israel yadaiwa kutoa Silaha kwa Yasser Abu Shabab, Kiongozi wa Wanamgambo wa Gaza

    Kiongozi mpya wa wanamgambo huko Gaza, Abu Shabab, anapinga kundi la kigaidi la Hamas katika eneo hilo na anajitahidi kutoa makazi na chakula kwa Wagaza wanaoteseka kutokana na vita vinavyoendelea. Ingawa amekataliwa kufanya kazi na Israel, anaiambia @peacecomms katika taarifa yake ya kwanza...
  18. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Yasser Abu Shabab Na ukoo wake sasa wamewageuzia mitutu Magaidi wa Hamas!!!

    Kuna msemo wa waingereza wanasema Divide and conquer? na wengine wanasema “Divide and Rule” Kugawanya na kushinda au”Kuwagawanya na kuwatawala ”Rafah sasa iko mikononi mwa watu ambao wanawapinga Hamas katika eneo hilo huku wakiungwa mkono na Israel. Mitandao ya kijamii ya Israeli inajaa picha...
  19. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hamas waanza kumeguka!!

    Yasser Abu Shabab, ambaye anajulikana waziwazi huko Gaza kwa kuipinga Hamas, anatoa wito kwa wananchi wa Gaza kuja kuishi chini ya ulinzi wa jeshi la Israel huko Rafah. Ikiwa atafaulu, itakuwa pigo la kifo kwa magaidi wa Hamas IDF shikilieni hapo hapo na safari hii mpaka wanyooke tu!!
  20. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hamas wapata kipigo kikali

    Magaidi wa Hamas wanaendelea kupigwa kila uchao baada ya maficho yao kuangamizwa. Ni kawaida ya Magaidi kujificha kwenye maeneo ya raia.
Back
Top Bottom