Ni dhahiri kuwa taifa letu linapitia kipindi kigumu, ambapo hali ya kisiasa inaendelea kuwa tete na raia wanahitaji kupewa haki zao, si vitisho au hofu. Rais wa Mchogo anaposhindwa kuelewa kwamba wananchi wanadai haki ya msingi ya kuishi kwa amani, maendeleo, na usawa, anaendelea kuathiri zaidi...
Hawa ndio wanahujumu maendeleo, wengi wao ni bora liende. Hawana exposure, hawana confidence wala hawawezi kuchakakata data za maendeleo katika maeneo yao. Wanatumika kwenye wizi wa kura na kutetea wala rushwa.
Huyu mtendaji mwenye cheti anaweza kwenda kwa Mkuu wa shule mwenye shahada ama...
Kupinga maandamano katika mazingira tuliyopo ni kupinga mabadiliko ya kweli, haki na maendeleo ya taifa.
Huwezi kuuwa maelfu ya watu na kuiba kura na kujifanya rais alafu ukatuwa na nia njema na sisi wewe unakuwa ni adui namba moja wa taifa.
Kuelekea kwenye Zoezi la uchaguzi Mkuu wa Tanzania Jumatano ya Oktoba 29, 2025, Viongozi wa dini, kijamii pamoja na wananchi wa Mkoa wa Dodoma wameungana pamoja kuhimiza amani, wakiitaja kama rasilimali muhimu kwa maendeleo ya Kijamii, kiuchumi, Viongozi wa dini wakisema amani ndiyo Neema muhimu...
Nimemsikia mwanasiasa mmoja wa mbogamboga analeta blablaa za kuifanqnishq Tanzania na Congo sjui Malawi na wapi sjui .... yani nasema hivi Tanzania inapaswa kuwa vile #Tanzania ilipaswa kuwa vile Tanzania inapaswa kuwa pale Tanzania ilipaswa kuwa.
Tanzania sio chi zingine ki advantage na ki...
Historia ya Klabu ya Yanga SC kwenye ushiriki wake katika kuleta maendeleo ya Taifa la Tanzania, Kiuchumi, Kisiasa na Kimichezo haijaanza Leo wala jana ..
Ni Klabu hii ya Wananchi iliyobeba sehemu ya Ukombozi wa Taifa hili.. Tumebeba Nembo ya Umoja, Amani, Upendo, Mshikamano na ukarimu wa Raia...
Mkuu wa mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro amewataka watumishi mkoani Kigoma kuhakikisha wanafanya kazi kwa weledi na kutimiza maelekezo na wajibu lakini pia kuwatumikia wananchi kwa maendeleo ya taifa na jamii kwa ujumla.
Mkuu wa Shule ya Polisi Tanzania – Moshi (TPS), SACP Ramadhani A. Mungi akizungumza alipokuwa Shule ya Polisi Tanzania - Moshi (TPS) wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo ya Mwedani za Kivita kwa Wanafunzi wa mafunzo ya Awali Kambi ya Kamba Pori, Mei 6, 2025.
Nimesikitika sana Kuona baadhi ya media (waandishi Wa habari) wametega maiki wakifanya mahojiano na Hajji Manara akimsifu Mwijaku ana makalio makubwa (astaghafullah) mpaka nilijiuliza waandishi wamekosa vitu vya Msingi katika Taifa hili?!!
Huku Wana Mbeya wanamtafuta Mdude Nyangali kwenye...
Kujenga Taifa kwa Ushirikiano: Umuhimu wa Mfumo Shirikishi kati ya Wasomi na Viongozi wa Serikali
Utangulizi
Katika karne ya 21, maendeleo ya taifa hayategemei nguvu kazi pekee, bali yanahitaji mwelekeo wa kitaalamu, sera thabiti, na matumizi ya maarifa ya kisasa. Taifa x linakumbwa na...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Mwenge wa Uhuru ni moja ya Tunu kubwa iliyopo kwenye Taifa kwani umekua kichocheo kikubwa cha maendeleo kwenye Taifa ikiwemo kuchochea mapambano dhidi ya ujinga, maradhi na umaskini kila...
==
Huu ni mwaka ambao Dira ya Maendeleo ya Taifa ya awamu ya tatu chini ya Rais Dkt Benjamin Mkapa (2000-2025) imekamilika kwa mafanikio wakati Dira ya Sasa ya 2025 - 2050 chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imeandaliwa na inasubiri tu kuzinduliwa kwa...
Tangu kuteuliwa kwake kama Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba ameendelea kuonesha uadilifu, uthabiti na umahiri wa hali ya juu katika usimamizi wa uchumi wa Tanzania. Licha ya juhudi za wapinzani wake kueneza kampeni chafu dhidi yake, ukweli unabaki palepale—hana doa la ufisadi, hana tuhuma...
Great Thinkers!
Kwa maoni yangu binafsi, Freeman Mbowe, kiongozi wa muda mrefu wa CHADEMA, ni mwanasiasa mwenye uzoefu mkubwa na mchango mkubwa katika siasa za Tanzania. Ikiwa atashindwa katika uchaguzi wa uenyekiti wa CHADEMA, ningependa kumkaribisha kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Wanajamvi salaam
Vijana kama hawana msaada kwa maendeleo ya taifa,
Huyu kijana anayezeeka vibaya aliyejitambulisha kwa jina la Joseph Yona mkazi wa Chalinze anasema Jaji Warioba alikuwa Chawa ndo maana akapewa uwaziri mkuu hivyo hana haki ya kukosoa uchaguzi wa serikali za mitaa kwa sababu...
Siasa bora ni zile zinazolenga maslahi ya wananchi na maendeleo ya taifa kwa ujumla. Zinahakikisha utawala bora, uwazi, na uwajibikaji. Baadhi ya sifa za siasa bora ni:
Utawala Bora: Serikali inayoheshimu sheria, haki za binadamu, na demokrasia. Hii inajumuisha kuhakikisha mgawanyo wa madaraka...
Mwenyekiti wa UWT Taifa, Ndg. Mary Chatanda (MCC) amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina imani kubwa sana na wanawake na kinaamini wanamchango mkubwa sana kwa maendeleo ya Taifa.
Chatanda amayasema hayo alipokuwa akizungumza na wananchi wa Mtaa wa Riverside, Kata ya Mwembesongo...
Tarehe: 24 Novemba 2024Mahali: Kijiji cha Mwandoya, Wilaya ya Meatu.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed Seif anayeendelea na ziara yake ya "Siku Saba za Moto" ambapo leo zimesalia siku mbili kabla ya kumalizika. Katika ziara hii, Mwenyekiti alitembelea...
MHE. ZAYTUN SWAI, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Akichangia Bungeni Kuhusu Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa wa Mwaka 2025/2026.
"Katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati mara nyingi tumeona inachelewa kukamilika kwasababu ya kutokuwa na muunganiko mzuri ndani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.