maendeleo ya afrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Dr. Andrea Kifyasi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam asema, ushirikiano kati ya China na Afrika kupita BRI unachochea maendeleo ya Afrika

    Katika miaka ya hivi karibuni ushirikiano kati ya China na nchi mbalimbali za Afrika umezidi kuwa wa kina, maeneo ya ushirikiano yamepanuliwa kutoka siasa kama ilivyokuwa kwenye miaka ya 70, na kugusa karibu sekta zote kwa sasa, hali ambayo imekuwa na msukumo wa maendeleo ya nchi za Afrika...
  2. L

    Wataalamu wa Afrika wapongeza nafasi ya China katika kuendeleza haki ya maendeleo ya Afrika

    Wataalamu wa Afrika wamepongeza nafasi ya China katika kuendeleza haki ya maendeleo katika bara zima la Afrika, wakisisitiza namna inavyoheshimu njia ya kipekee ya maendeleo ya kila nchi. Hayo yameejiri wakati Semina ya Kwanza ya Haki za Binadamu kati ya China na Afrika ilifanyika Ijumaa huko...
  3. Ojuolegbha

    Waziri Kombo ashiriki Maadhimisho ya Miaka 35 ya Uhuru wa Namibia, Atoa Wito wa Umoja kwa Maendeleo ya Afrika

    Waziri Kombo ashiriki Maadhimisho ya Miaka 35 ya Uhuru wa Namibia, Atoa Wito wa Umoja kwa Maendeleo ya Afrika Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameshiriki katika Maadhimisho ya Miaka 35 ya Uhuru wa Namibia, ambapo ametoa wito kwa...
  4. Rorscharch

    Katiba Nzuri Sana Huvunja Taifa Polepole: Hadithi ya Afrika Kusini, Onyo kwa Watanzania

    Kuna maradhi ya kimyakimya yanayoshambulia mataifa ya Kiafrika, si kwa mapanga wala risasi, bali kwa nyaraka nzuri zilizopambwa kwa wino wa kimataifa. Maradhi haya si mengine bali ni imani butu kwamba katiba nzuri, yenye maneno matamu ya haki na uhuru, ni tiba ya kila ugonjwa wa taifa. Afrika...
  5. Pfizer

    Bilioni 63.2 za Benki ya Maendeleo ya Afrika Mashariki (EADB), zasainiwa ili kuwezesha Taasisi za Fedha Tanzania

    EADB YATOA BILIONI 63.2 KUZIWEZESHA TAASISI ZA FEDHA TANZANIA Benki ya Maendeleo ya Afrika Mashariki (EADB) imesaini hati ya makubaliano ya utoaji wa mtaji wa jumla ya shilingi bilioni 63.2 kwa ajili ya kuziwezesha taasisi tatu za kifedha nchini Tanzania katika shughuli za utoaji mikopo kwa...
  6. L

    Licha ya changamoto za biashara duniani, biashara kati ya China na Afrika yaimarika na kuchochea maendeleo ya Afrika

    Kuyumba kwa biashara duniani kutokana na vita ya ushuru iliyozushwa na Rais Donald Trump wa Marekani, uhusiano wa kibiashara kati ya China na Afrika umekuwa unaendelea vizuri, na thamani ya biashara kati ya pande hizo mbili imeendelea kukua kwa miaka 16 mfululizo, na mwaka jana thamani hiyo...
  7. H

    Jinsi ukristo ulivyochangia kurudisha nyuma maendeleo ya Afrika?

    Kwa hivyo hii ina uhusiano gani na Ukristo barani Afrika? Wamishonari wa kwanza wa Kikristo barani Afrika walikuwa na silaha na vitu vitatu BUNDUKI yenye nguvu ya mabwana wa wakoloni ,muujiza wa DAWA za kisasa (wakati huo) na BIBLIA. Wamishonari wengi wa kwanza walikuja kama madaktari na...
  8. L

    Maendeleo ya kisasa ya China yatoa mfano mzuri kwa maendeleo ya Afrika

    China ni nchi kubwa zaidi inayoendelea duniani, na pia ni nchi ya pili kwa ukubwa wa uchumi ikiifuata Marekani. Maendeleo ya China yamekuwa mfano wa kuigwa kwa nchi nyingi zinazoendelea duniani, zikiwemo za Afrika. Mfumo wa kisiasa wa nchini China pia unachukua nafasi kubwa katika mchakato wa...
  9. Rorscharch

    Hitimisho la Uchunguzi: Jiografia kama Sababu Kuu ya Kudumaa kwa Maendeleo ya Afrika (tumtue kidogo mkoloni mzigo wa lawama)

    Kwa yoyote ambaye amekuwa akifuatilia makala zangu za hivi karibuni, bila shaka ameona kwamba nimekuwa na mtazamo tofauti kuhusu sababu za kudumaa kwa maendeleo ya bara letu. Ingawa ukoloni mara nyingi hupewa lawama kubwa, uchambuzi yakinifu wa kihistoria na kijamii unaonyesha kwamba hata bila...
  10. GoldDhahabu

    Waafrika kwa sasa wanazalisha vyao kwa ajili yao?

    Kama ulifanikiwa kusoma hadi Sekondari, na ulikuwa na Mwalimu mzuri wa Historia kama Mwalimu wetu, unaweza ukawa unaikumbuka hii kauli:" We produce what we do not consume and consume what we do not produce". Kwa tafsiri isiyo rasmi inaamisha hivi:"Tunazalisha tusichokitumia na kutumia...
Back
Top Bottom