madereva bodaboda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    Nanauka: Madereva Bodaboda, Bajaji wamepatiwa nafasi 300 za kazi, Dubai

    Waziri wa Maendeleo Ya Vijana Joel Nanauka amesema vijana wa kitanzania wanaofanya shughulia za udereva wa Bodaboda na Bajaj zaidi ya 300 wamepata nafasi ya kazi nchini Dubai ambapo baadhi yao wameshaanza kwenda. Lakini pia wapo vijana wengine wanaofanya kazi za ufundi wa nyumba, ufundi wa...
  2. R

    PostGE2025 Madereva bodaboda na Bajaji, Kilimanjaro: Hatuhusiki na vurugu za Oktoba 29

    Chama cha Wamiliki na Waendesha Bajaji na Bodaboda mkoani Kilimanjaro kinawataka waendesha vyombo hivyo vya usafiri kutokujihusisha kwa namna yoyote na matukio ya vurugu au uvunjifu wa amani, endapo wapo wanaojihusisha, na kimeweka wazi kuwa hakihusiki na matukio ya Oktoba 29 yaliyotokea katika...
  3. Mafyangula

    PostGE2025 Madereva Bodaboda na Bajaji Tanga yapiga Marufuku Wanachama Kushiriki Maandamano ya Desemba 9

    CHAMA cha Madereva wa Bodaboda na Bajaji Mkoa wa Tanga (UWAPIBATA)kimewapiga marufuku wanachama wake kutoshiriki au kujihusisha na maandamano yanayotajwa kufanyika Desemba 9. Akitoa tamko la makubalinao hayo kwa waandishi wa habari, Mwenyekiti wa Chama cha Bodaboda, Tanga Mohamed Chande amesema...
  4. PAYE

    GE2025 Katibu wa Madereva Bodaboda: Sisi tuna amani chini ya uongozi wa Dkt. Samia, ndiyo maana mambo yanaenda

    Katibu wa Umoja wa Madereva Bodaboda Manyoni atoa tamko la kutunza Amani na Ushiriki Uchaguzi Mkuu 2025 Katibu wa Umoja wa Madereva Bodaboda (Maafisa Usafirishaji) Wilaya ya Manyoni, Edward, amesisitiza kuwa madereva wa pikipiki wilayani humo wamejipanga kuhakikisha kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka...
  5. Waufukweni

    GE2025 Rais Samia apewa Mbuzi wa Supu na Madereva Bodaboda na Bajaji baada ya kuchukua Fomu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye ni mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi amepewa Mbuzi kwa ajili ya supu atakayotumia baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea urais. Mbuzi hiyo iliyotolewa na Madereva Pikipiki za miguu mitatu (bajaji)na miwili...
  6. B

    Madereva bodaboda wa mtandaoni walia kuzuiwa kuingia airport ya Dar es salaam

    Maafisa usafiri almaarufu madereva wa bodaboda mtandaoni walia kuwa uwanja wa Kimataifa wa Ndege jijini Dar es Salaam una eneo kubwa hivyo nao waruhusiwe kuingia. https://m.youtube.com/watch?v=3H3igt7-owI Bodaboda wasema kama teksi maalum zinaruhusiwa kuingia, kwanini wao bodaboda wabaguliwe...
  7. T

    Uzi maalum kwa madereva bodaboda (Maafisa usafirishaji)

    Karibuni madereva bodaboda kwenye uzi wenu
  8. MK254

    Video: Sheikh atoa amri wanawake waislamu wakipanda bodaboda wapigwe pamoja na madereva bodaboda

    Sheikh atoa amri wanawake waislamu wakipanda bodaboda wapigwe pamoja na madereva bodaboda Hivi kwenye waislamu kuna watetea haki za kibinadamu na haki za watoto, wao huona vipi hizi sheria za dini yao. Huwa siwaelewi wanawake waislamu humu JF namna hushupaza shingo na kutokwa mishipa wakitetea...
  9. Paspii0

    Uvunjaji wa sheria za usalama barabarani unaofanywa na madereva bodaboda

    picha kwa hisani ya Masoud Kipanya,toka mtandaoni! 👉🏾Kwani toka lini bodaboda hasa katika jiji la Dar Es Salaam ,mkapata exceptions kwenye mataa na junction mbalimbali hasa taa za barabarani zinapowaasa msimame??,Kwanini kwenu kufuata taa na alama za barabarani imekuwa nongwa?? Mnahatarisha...
  10. Samia atosha tukutane2030

    Bodaboda wanazeeka sana, ile kazi yao nahisi ni ngumu mno!

    Kuna dogo ni jirani yetu kijijini, nimempita kama miaka 12-15 Nilimwona miaka 5 imepita Kariakoo akifanya kazi kwa Wahindi na juzi nimemwona Kazini analeta bahasha akiwa na boda. Anasema aliacha kazi kwa Wahindi na kujiingiza kwenye ubodaboda. Kijana kazeeka ghafla utadhani kanizidi umri. Kuna...
  11. Suley2019

    PreGE2025 Waziri Mchengerwa, leo hii bodaboda wamekuwa “Maafisa Usafirishaji”?

    Waziri Mchengerwa akiwa katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salam, wakati akizindua sare maalum (uniform) na mfumo wa kidijitali (kanzidata) wa madereva Bodaboda na bajaji wa Jiji la Dar es Salaam. Waziri huyo ameonekana kuwatambua madereva bodaboda na bajaji kama Maafisa usafirishaji...
Back
Top Bottom