mabishoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Hivi Arsenal hawaogopi? PSG hii si ya mabishoo wanaotembea uwanjani

    Hivi kweli Arsenal F.C. hawaogopi? 😅 Hii si ile PSG ya Lionel Messi, Neymar na vibes za Paris nights, hii ya sasa ni tofauti kabisa. Hakuna show nyingi, hakuna kutembea uwanjani. Hawa wanakaba kama wamekosewa hela 😭 Arsenal wana mpira mzuri, lakini PSG ya sasa ina njaa ya ubingwa kuliko likes...
  2. bahati93

    JamiiForums Tanzania Je wajua, zamani Wanawake ndio walikuwa wanatongoza mabishoo?

    Kweli mambo yanaenda kasi sana wanabodi. Sijui Manyangema hapo kale ya 2000s walikuwa wanakwama wapi, kwani nimekuja kugundua walikuwa hawatongozi kabisa, wao ndio walikuwa wanapigwa mistari sana na manzi wa enzi hizo. Hawa Wanawake wanaotongozaa sijui wameishia wapi, yaan tokea nitongozwe...
  3. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Kwanini warembo na mabarobaro wengi ni vilaza?

    Habarini waungwana.... Huwa najiuliza kuna uhusiano gani kati ya mabinti warembo/pisi kali na vijana mabarobaro/mabishoo kuwa uwezo mdogo kichwani? Sina nia ya kuwasemea vibaya, lakini hata mashuleni au vyuoni tunaona warembo wengi kichwani hakuna kitu.... Na wanaofanya vizuri huwa ni watu...
Back
Top Bottom