mabati

  1. C

    Nauza mabati used Mbweni JKT

    Mabati yaliyotumika mwaka mmoja yanauzwa elfu 9 kila bati. Yapo 17 na yanapatikana Mbweni JKT. Yanafaa kwa banda la mifugo, nyumba za site, etc. Nauza pia nguzo 4 za chuma kwa elfu 20 kila nguzo. Unachukua barabara ya vumbi kutoka Boko Magengeni. Karibuni Mawasiliano 0625 536 529 (usitumie...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…