mabalozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tunao wajibu wa kumtangaza KRISTO waigizaji wa move za Nigeria ni mabalozi wa YESU

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Nawasalim salam Sisi sote kama wakristo tunao wajibu mkubwa sana juu ya kumuishi na kumtangaza KRISTO katika kazi na maisha na matendo yetu KRISTO YESU ni mwana wa MUNGU aliye hai mathayo 16:15-16 Baba wa mbingun ndo katufunulia hayo...
  2. Hili la ‘Wakatoliki feki’ linaliabisha Taifa. Unafikiri mabalozi na nchi Duniani zinatuona tuna akili timamu kweli?

    Hili suala lililotokea leo linaliabisha taifa unafikiri mabalozi na nchi duniani zinatuona tuna akili timamu kweli ? Hawa wapumbavu walioandamana leo niwaambie kile mtu anajua kuwa ni maigizo balozi zi ajua, watanzania wanajua, mashirika ya haki za binadamu yanajua kama tuna watu wa haina hii...
  3. PostGE2025 Kuna katabia ka mabalozi kuvizia viongozi wakubwa kupiga nao picha kisha kuaminisha wamefanya mazungumzo

    Hii tabia tulikuwa tujaishtukia ila sasa wameshtuka hawa viongozi mnaowasema kuwa wana wanonea wivu. Mnazunguka nchi zao kuomba mazungumzo wakiwagomea mnawadanganya kuomba picha ya pamoja kawasilisha kwa binti msumi. kumbe mnaenda kwenye magazeti na media uchwara kuhadaa watu sijui mumeongea...
  4. PostGE2025 Rais Samia akipokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi, Ikulu Chamwino - Disemba 12, 2025

    Rais Samia akipokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi, Ikulu Chamwino - Disemba 11, 2025
  5. PostGE2025 Tuwe Mabalozi Wa Amani Hatutaki Kuwa Wakimbizi Wa Nchi Yetu Wenyewe

    My people, Si kila anayetaka amani kwasasa hajaumizwa na yale yaliyotokea 29 Oct na yanayoendelea sasa hivi ikiwemo utekaji Natambua kwa baadhi yenu mnaweza kumuona kila mtaka amani na mpinga harakati za fujo ni adui wa Taifa hili,ukweli ni kwamba kila mpenda amani na mpingaji fujo ni mzalendo...
  6. Urusi yaingilia kati matamko ya mabalozi

    Unaandika ubalozi wa Urusi kwenye Ukursa wao wa X
  7. GE2025 Je, rais mteule Samia Hassan akishaapishwa amejipanga vipi kuongea na mabalozi wa nchi za magharibi ambao aliwakatia mawasiliano Jumatano iliyopita?

    Kama tunavyofahamu jumatano ilopita kulikuwa na patashika khasa baada ya internet kuzimwa nchi nzima kupisha kazi ya Mafwele na vikosi vya mamluki kuwasaka, kuwatambua na kuwakamata kisha kuwatesa na kuwaua vijana wadogo. Haya kama hayatakuwa mauaji ya halaiki ni lazima yawe documented kwa...
  8. CHADEMA iteni Press Conference, Alikeni Mabalozi na Watanzania ,Muelezee zaidi Hoja ya Polepole kuhusu Mifumo ,na kwanini NRNE!! Msiishie Mitandaoni

    LICHUKUENI SUALA HILI KI OFFICIAL ZAIDI ,NI SUALA ZITO, SIO SUALA LA KUISHIA MITANDAONI , CHADEMA BADILIKENI. CHADEMA kuweni Serious , na muache kufanya kazi kupitia Mitandao tu!! Suala la Polepole kuhusu Mifumo ni suala Zito na Kubwa linalogusa USALAMA WA NCHI MOJA KWA MOJA. Mh Polepole...
  9. Tetesi: Kilichompeleka Nchimbi Kwa mabalozi wa nchi za Umoja wa Ulaya

    Chawa wa CCM wamekuwa wakitoa povu Kwa nchi wahisani na kuwapa majina mabaya mara mabeberu, bila kujua ata kutailiwa kwao kulifadhiliwa na mabeberu. Sahivi Samia ana Hali mbaya kimataifa amechafuka aswaa ata yeye analijua ilo. Nchi za Umoja wa Ulaya zilitoa statement Kwa serikali juu ya...
  10. Kwanini sisi Mabalozi wa Shina hapa Dar esSalaam hatujapewa baiskeli?

    Naomba ufafanuzi kutoka Ccm kwanini Baiskeli hatujapata sisi watu wa DSM
  11. Hivi kama huwa tunapenda Watu wawe Wakuu wa Mikoa wetu kwanini sasa kabla huwa tunawateua kuwa Mabalozi?

    Je, sisi Raia wa Oman tunajua hasa maana ya Balozi (Diplomat) na Mtu kuwa Balozi? au tunapoteua huwa tunakuwa tumeshakunywa Wines zetu za Canada na Ufaransa? Hongereni Watani zangu Washamba Waha kutoka Kigoma kwa Katibu Mkuu wa UN kuwaleteeni Balozi labda mtabadilika sasa na kuwa Wastaarabu...
  12. M

    Picha: Mmoja wa mabalozi wa shina wa CCM akiwa na V 8 alilopewa kwa ajili ya uchaguzi

    Wazee wa Mavi eite 👇
  13. Neno "tutakinukisha" ndiyo tayari kimeshanuka ,media kubwa duniani mabalozi ,wawakilishi wa umoja wa mataifa! Wafadhili wote waifuatilia kesi ya lisu

    Labda neno kitanuka kwa tafsiri ya CCM ni kubeba bunduki na kuingia mitaani kupigana ,lakini ukweli ni kwamba tayari kimenuka ! Mataifa yote yaliyokuwa yanaamini Tanzania kuna demokrasia na haki ,wanashangaa wananyimwa hata haki ya kuingia mahakamani ! Mahakama inazingirwa na vikosi vya jeshi ni...
  14. Vyombo vya habari Tanzania - Bado ni BASTOLA ya Wananchi au zimegeuka kuwa SILAHA za Watawala?

    Katika jamii yoyote huru na inayothamini demokrasia, vyombo vya habari ni uti wa mgongo wa haki na uwajibikaji. Habari ni daraja kati ya wananchi na watawala. Waandishi wa habari ni walinzi wa ukweli, si mashabiki wa nguvu. Lakini leo hii, nchini Tanzania, swali kubwa linazidi kuibuka: Je...
  15. PreGE2025 Kigoma: CCM yawatembeza mabalozi mia sita wa serikali za mitaa kukagua miradi ya maendeleo

    Karibu mabalozi mia sita wa Chama cha Mapinduzi CCM katika manispaa ya kigoma Ujiji wametembelea miradi mikubwa inayotekelezwa na serikali ya awamu ya sita katika mji wa Kigoma ili kujionea maendeleo ya miradi hiyo. Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Kigoma Cde. Christopher Palangyo...
  16. Mabalozi wapya wanolewa

    Mabalozi wapya wanolewa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amefungua rasmi mafunzo kwa mabalozi wapya yenye kuwaongezea uelewa na ujuzi kabla ya kuelekea katika vituo vyao nje ya nchi. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo...
  17. Maslahi ya Wanadiplomasia wanaowakilisha Tanzania nje ya nchi

    Mbali na mishahara minono (paid in major strong currencies USD, GBP, CAD), 1. Kulipiwa nyumba, sehemu za hadhi ya juu 2. Ada za watoto kwenye shule za kimataifa 3. Tiketi za ndege daraja la Kwanza/business (biashara). 4. Kubadilishiwa fenicha za ndani kila mwaka. 5. Msamaha wa Kodi...
  18. B

    Mabalozi wa mashina karibuni kwenye mkutano maalumu jimbo la Mufindi Kusini

    Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Kihenzile anawakaribisha Mabalozi wote wa mashina na wajumbe mkutano mkuu wa jimbo la Mufindi Kusini kwenye Mkutano Maalumu wa Jimbo utakaofanyika Jumamosi hii Oktoba 05, 2024 kwenye Viwanja vya Igowole Shule ya...
  19. Ni wakati sahihi, kwa Rais Samia kuongea na mabalozi wote na jumuiya za kimataifa!

    Kwa vyovyote hawa ndugu zetu wasiotakia mema taifa letu, watakuwa wamesambaza vipeperushi vya hovyo katika jumuiya mbali mbali za kimataifa, ili mradi tu, malengo yao ovu, yatimie ikiwepo extensions za ukaazi wao wa kikimbizi huko ughaibuni, pia ikiwepo kutafuta huruma ili wamiminiwe fedha kwa...
  20. PreGE2025 Rais Samia kwa Mabalozi: Hatupo hapa kuelekezwa nini cha kufanya kwenye nchi yetu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan hivi karibuni amejibu kuhusu matamko yaliyotolewa na balozi mbalimbali hapa nchini Tanzania kufuatia kifo cha Kada wa CHADEMA, Ali Kibao. Mara baada ya Ali Kibao kupatikana akiwa amefariki huko Ununio, Dar Es Salaam balozi za nchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…