mabadiliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni lini IGP Sirro utafanya mabadiliko ya MA RPC ili kwenda na kasi ya Rais Mpya ?

    Kumekuwa na Malalamiko mengi sana huko kwenye mikoa ya Kipolisi kutokana na utendaji wa kutiliwa shaka wa Jeshi la Polisi , ninaamini hata wewe IGP unafahamu , si vema kurudia malalamiko hayo hapa ili kuokoa muda. Sasa tumeona mabadiliko ya uongozi karibu kila idara na kila mahali...
  2. JamiiForums Tanzania Huu ni wakati wa kuyatafuta mabadiliko nje ya CCM

    Watu unaweza kuwadanganya leo lakini kamwe hauwezi kuwadanganya siku zote CCM wasidhani kama wataendelea kutumia ulaghai wa zamani wa kutupaka pipi mdomoni huku utamu wa pipi nzima ukiliwa na wachache hatutakubali hata siku moja CCM wakitaka tuendelee kuwaunga mkono tunawataka wafuate mambo...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Yanga FC wagomea mabadiliko ya muda wa mechi

    Yanga naona wanajitambua, hawataki kupelekeshwa.
  4. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya mwonekano wa iPhone tangu kuzinduliwa hadi sasa

    Januari 9, 2007 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Apple, Steve Jobs alitangaza kuzinduliwa kwa simu ya iPhone, simu iliyokuwa na iPod, kamera na uwezo wa kutumia intaneti, kati ya vingine vingi. Tangu wakati huo hadi sasa, tumeshuhudia mabadiliko ya vizazi vya iPhone, kila toleo jipya likionekana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…