Kamwe, kamwe, kamwe tusikate tamaa. Ukombozi huwa haupatikani kwa njia ya mkato tu. Wakati mwingine ni process ndefu yenye milima na mabonde. Lililotokea leo kwenye kesi ya Tundu Lissu lisitukatishe tamaa, inawezekana ni hatua mojawapo ya kuelekea kwenye ukombozi kamili.
Niwaombe sana wale...