Ukisoma historia hata ya Biblia, maelfu ya miaka huko nyuma Musa alitumia Hebrew alphabet kuandika vitabu vilivyomo kwenye Biblia, pia ukifuatilia jamii zingine kama Wahindi, Wachina n.k. Walikua na maandiko yao enzi hizo na kila moja walikua na aina fulani hivi ya kuandika, na kuna kumbukumbu...
Yaani watu waone kabisa nchi yao inaibiwa na hakuna wakuitetea kabisa, watulie tu, eti kwasababu watatekwa na kupewa kesi.
Yaani nione watu wanauliwa na kutekwa na hakuna wakuwatetea, mimi nitulie kwasababu wale sio ndugu zangu??? Mnadhani kila mtu ni mjinga hivyo.
Yaani nione wamama hospitali...
Hakuna ubishi kuwa baada ya kukubali au tuseme kuingizwa mkenge na kupokea dini nyemelezi za kigeni, tulipoteza kila kitu.
Tulipoteza utambuliko wetu, majina yetu, utu wetu, upendo wetu, ushirikiano wetu, dini zetu na kuteuka vikaragosi vya kiimani. Leo watu wanajiita wakristo au waislam...
Wakuu.
Leo swali langu ni dogo sana kama nilivoandika huko juu,
Mababu na mabibi zetu wa enzi na enzi hizo miaka hiyo mingi iliyopita,
Ambao walikua hawajui kanisa wala msikiti na hawakujua kusoma wala kuandika muda huu wako motoni au wako wapi hasa,
Habari wanajukwaa,hasa wafia dini. Kabla ya kuja dini afrika mababu zetu waliishi kwa Mila na desturi zao,hawakumjua yesu Wala muhamad, na sisi tuliomjua yes na muhamad tumemjua kwa kusimuliwa na kukaririshwa ,hivyo tumekuwa umma wa yesu na umma wa muhamad??JE MABABU ZETU WALIOKUFA BILA KUWAJUA...
Rais wa Marekani, Joe Biden ameilaani sheria mpya iliyotiwa saini na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni dhidi ya vitendo vya ushoga na kusema kuwa Marekani inaweza kuiwekea Uganda vikwazo huku akitoa wito wa sheria hiyo kufutwa mara moja.
Sheria hiyo mpya itawalazimu Watu wanaoshirki kwenye...
Wakuu twende taratibu.
Wale mababu zetu wakifufuka leo watakufa haraka kwa mshituko maana hawatoamini watakayoyaona,
Kwanza watakuta mapambano dhidi ya wazungu ili kutetea ardhi yao ya asili hayapo tena na kiufupi ardhi mzungu anafanyia chochote anachotaka tena kwa kukaribishwa na kupewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.