maandamano ya vijana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Maandamano ya vijana tarehe 22 Oktoba 1966 dhidi ya 29 Oktoba 2025: Nyerere akili kubwa hakumwaga damu.

    Kwa mujibu wa rekodi za kihistoria, yalifanyika maandamano siku ya Jumamosi, 22 Oktoba 1966. Hapa chini kuna mfuatano wa matukio kwa tarehe: 4 Oktoba 1966: Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilipitisha sheria iliyofanya National Service (JKT) kuwa ya lazima kwa wahitimu wa Kidato cha...
  2. JamiiForums Tanzania Maandamano ya Vijana (Gen Z) Nchini Nepal – 2025

    Sababu za Maandamano Marufuku ya mitandao ya kijamii – Serikali ilizuia matumizi ya Facebook, Instagram, WhatsApp, YouTube n.k. kwa madai ya kiusalama. Vijana waliona hatua hiyo kama kukandamiza uhuru wa maoni. hii ni kwa mujibu wa ABP News. Ufisadi serikalini – Kulikuwa na madai ya ufisadi...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu Mstaafu David Maraga amejiunga katika maandamano ya vijana (Gen Z) nchini kenya

    Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya, David Maraga amejiunga katika maandamano ya vijana (Gen Z) jijini Nairobi akilaani ukatili wa Jeshi la Polisi dhidi ya vijana. Maelfu ya waandamanaji nchini Kenya wameingia mitaani kuadhimisha mwaka mmoja tangu vifo vya waandamanaji waliouawa wakati wa maandamano ya...
  4. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kesho huenda kukawa na Maandamano ya Vijana Kenya kupinga Utekaji, wameandaa wenyewe bila Wanasiasa.Njoo Tanzania tunamtafuta mtu wa kutuandamania

    Nitarudia hili mala trilion , Tatizo la Tanzania sio kukosa upinzani imara au watu imara au Chama imara bali ni kukosa raia walio tiyali kupigania nchi, kumejaa keybord worrior tu. Vijana wa Kenya wana set maandamano Kesho wao wenyewe kwenye socia media na wanaingia road wenyewe, bila...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Ghana Yapinga Maandamano ya Vijana

    Jaji wa Mahakama Kuu, Abena Afia Serwaa, amekubali ombi la polisi la kuzuia maandamano ya vijana yaliyopangwa kufanyika kati ya Julai 31 na Agosti 6, 2024, kutokana na uhaba wa maafisa wa polisi wa kusimamia usalama. Baadhi ya sababu za maandamano hayo ni kupinga rushwa katika taasisi za umma...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Natangaza maamdamano ya amani kwa sisi vijana ambao hatuna mwelekeo baada ya kuhitimu vyuo. Tukutane kesho Posta

    Sisi Watanzani ni waoga sana. Inafahamika kuwa ni jukumu la serikali kujua mstakabali wa vijana na kama imeshindwa suwala zima la kujua ustawi wetu na haisemi ni wajibu wetu kuingia barabarani wajiuzuru. Haiwezeknani ajira hakuna, hata za ualimu au udaktari na zikitilewa ni kujuana kwa kwenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…