Tetesi stendi ya Magufuli yafurika watu wanao ondoka dar kukimbia maandamano ya gen z #D9.
Gen z wanakuja na maandamano makubwa sana December 9 ambayo hayajawai kutokea africa
===========
Hali ya usafiri katika eneo la Shekilango jijini Dar es Salaam imekuwa changamoto huku idadi ya abiria...
Maandamano ya Gen Z ndio yameshinikiza Kanisa la Gwajima kufunguliwa bila kuwepo lisingefunguliwa.
Bila gen z kuingia barabarani Samia asingefungua Makanisa ya Gwajima ng'oo
Genz Z wapewe maua yao kwa mara ya kwanza wamesimama. Dharau za kupitiliza na watu kuwaona vijana wetu wajinga jinga sasa wamejiletea heshima na kuonyesha wana hasira.
Tukiendelea kuwa puuza hii nchi itabakia majivu. Vijana wamechoka uongo
Waandamanaji waliendelea kujitokeza mitaani nchini Madagascar Oktoba 7, 2025, siku moja baada ya Rais Andry Rajoelina kumteua waziri mkuu mpya Jenerali wa Jeshi, katika juhudi za kupunguza mzozo unaoendelea. Katika mji mkuu Antananarivo, hasira zimeenea hadi sekta ya afya, ambapo mamia ya...
Huyu naye atupishe huko! Atupe ushahidi
Tangu vijana wa Gen Z tutangaze maandamano wanakuja na propaganda zao za hovyo tu!
Tuwakumbushe kwamba ndio kwanza kumekuchaaa!
==================
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya, James Lyimo ameongeza kuwa asilimia...
Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina, siku ya Jumatatu alisema anavunja serikali kufuatia maandamano yaliyoongozwa na vijana kuhusu kukatika kwa maji na umeme, ambapo Umoja wa Mataifa unasema angalau watu 22 wameuawa na zaidi ya 100 kujeruhiwa.
Yakiwahamasisha na maandamano ya kizazi cha “Gen Z”...
Wakuu ni siku ya tatu leo Madagascar hali si shwari kabisa,kumbuka jana Waziri wa nishati alishaliwa kichwa kunusuru malalamiko ya Wandaamanaji lakini bado haijasaidia kitu.
Soma pia >> Gen Z Madagascar waandamana dhidi ya kukatika kwa umeme na ukosefu wa maji
Naona kuna muamko mkubwa kwa...
Kiongozi wa chama cha DCP na Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua amepuuzia madai kwamba aliwalipa makundi ya vijana kuharibu mali wakati wa maandamano ya Juni 25 ya GenZ akidai kuwa serikali inahusika na uharibifu wa mali hiyo. Hata hivyo viongozi wa upande wa serikali wanashinikiza kukamatwa...
Gavana wa Embu, Cecily Mbarire, amemshambulia vikali aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, akimtuhumu kufadhili makundi yenye vurugu kuingia kwenye maandamano ya vijana hivi karibuni na kusababisha uharibifu mkubwa mjini Embu na Kiritiri. Mbarire alisema kuwa hatua hiyo ilikuwa njama ya...
Hatimaye imewadia Jumatano iliyosubiriwa kwa hamu tarehe 25 Juni 2025, ambapo Gen Z wa Kenya wanatarajiwa kufanya maandamano, Swali niJe, waandamanaji watakuwa salama dhidi ya polisi?
HALI ILIVYO KABLA YA MAANDAMANO KUANZA
Polisi wametumia waya wenye miba kuzuia lango la kuingia Bungeni kabla...
Penye uzia penyeza rupia!
Kumbe mbwembwe zote zile za maandamano ya GEN Z huko Kenya nilidhani inatokana na hisia kamili za Wanaojiita Gen Z kumbe kuna mabwanyenye ambao inawezekana mirija yao ya kunyonya fedha imekatwa.
Shime vijana wetu ingieni China...ingieni shambani ingieni kwenye michezo...
Gen z wanadili na Ruto ndio anaye kusanya kodi na kuzitumia vibaya, Raila wala Kalonzo hawakusanyi Kodi, Raiala yuko enzi za Moi na hakusanyi kodi za Kenya waka hapangi bajeti ya Kenya.
Tanzania SAMIA ndio anaye kusanya kodi na tozo na kuzitumia kwa anasa huyu wajinga hawamuini. Wanaoambana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.