maandamano makubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Maandamano Makubwa Yazuka Ufaransa na Spain huku Polisi wakitukia Nguvu kubwa kuyazima. Je, huko hakuna Katiba Mpya na Demokrasia wanayodai CHADEMA?

    Miaka ya karibuni Chadomo wamekuwa wakidai kwamba CCM imeshindwa kuleta maendeleo Kwa sababu eti kisa hakuna Demokrasia na Katiba Mpya kama Ulaya. Na kwamba Katiba Mpya as per Chadomo ndio muarobaini wa matatizo na huko Ulaya na USA hakuna shida kabisa Kwa vile Wana Demokrasia na Katiba nzuri...
  2. JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa kumpokea Lissu uraiani tar 6 November 2026. Rais Samia atashikwa na butwaa na kuona aibu kubwa

    Pamoja na kuwa madarakani anachukiwa na wananchi wa rika zote. Amefiwa na mume wake wananchi wanashangilia. Rafiki yake Chivayo amekufa watu wanashangilia kwa komenti ya kifo ni kifo. Maandamano makubwa kama yaliyotokea Venezuala kumpolea hayati Chavez akitoka jela ndii yanakuja kutokea hapa...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa sababu hawataki katiba mpya, maandamano makubwa yaitishwa mpaka taifa letu lipate katiba mpya.

    Bila maamdano haki haipatikani. Maandamano yaitishwe nchi nzima mpaka waseme po. Katiba mpya ndio suluhu ya ufisadi na na wanasiasa wezi kama CCM mtandao. Bila maandamano hatupati katiba mpya.
  4. JamiiForums Tanzania Gen Z watangaza maandamano makubwa 29/10/2026

    Hii nchi sijui kama itapoa. Kufatia serikali katili ya CCM kuua watanganyika zaidi ya 3000 na kuwazika kwenye kaburi la halaiki, na kuacha mamia ya vijana wakiwa na ulemavu wa kudumu. Mambo hayajaisha Gen Z wamesema kisasi lazima kilipwe, Gen Z wametangaza maandamano makubwa nchi nzima...
  5. JamiiForums Tanzania Siku ya 9/9 kutakuwa na maandamano makubwa sana ya kushtukiza

    Wakuu, nipende kuwatangazia kuwa siku ya tarehe 9 ya mwezi wa 9 (9/9), kutakuwa na maandamano makubwa Tanzania nzima. Maandamano haya yatakuwa yakushtukiza, yaani Kila mtanzania ataweka hii tarehe akilini mwake, halafu ghafla siku hiyo ikiwadia kila mtu atakuwa road! Hii haihitaji...
  6. JamiiForums Tanzania Tunatangaza tarehe 8/8 kutakuwa na maandamano makubwa sana ambayo hayajapata kutokea

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Leo tumewaachia police Tukutane barabaran tarehe 8/8 LONDON BOY
  7. JamiiForums Tanzania Yaitishwe maandamano makubwa nchi nzima kushinikiza Tundu Lissu aachiwe

    Yawe ni maandamnao makubwa ambayo hayajawahi kutokea hapa nchini. Majiji yote maandamano yafanyike kushinikiza na kupinga mateso anayopewa Tundu Lissu wakati sio mhaini. Hakuna Jeshi lolote ambalo lilisha weza kushinda nguvu ya umma. Nguvu ya umma ndio njia pekee ya kumnasua Lissu.
  8. JamiiForums Tanzania Rais wa Iran akitembea huru na kuhudhuria maandamano makubwa huko Tehran leo 13/03/2026

    Kumekuwepo na propaganda nyingi sana Jamii forums 1. Serikali ya Iran haipendwi 2. Viongozi wamejificha kwa kuogopa USA. 3. Hakuna air defense wala chochote cha kulinda nchi dhidi ya mashambulizi. 4. Uongozi sio tu umeparaganyika bali haupo kabisa na wachache waliobaki wamekimbia nchi au...
  9. JamiiForums Tanzania Albania kuna maandamano makubwa yanaendelea muda huu. Waziri Mrembo Belinda Balluku ndio chanzo cha maandamano hayo

    Wakuu, Maandamano makubwa yanaendelea nchini Albania ambapo raia wameingia mtaani kupinga rushwa inayohusisha viongozi wa serikali, ikiwemo Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Miundombinu na Nishati, Belinda Balluku. Waandamanaji walirusha mabomu ya moto na fataki kuelekea ofisi ya Waziri Mkuu...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuitisha maandamano makubwa ya kudai miili ya wapendwa wetu

    Yanahitaji maandamano makubwa ya kudai miili ya wapendwa wetu. Ukisikiliza watu wanaofika mbele ya tume kutoa ushahidi wa jinsi wapendwa wao walivyouawa na miili yao kupotezwa kwa kweli inasikitisha sana. Rais Samia huwezi kuuwa ndugu zetu kama panya alafu pia utuzuie kuwazika kwa heshima...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa sana Iran, watu 12,000 wauawa; Ayatollah Khamenei aagiza waandamanaji wapigwe risasi za moto!

    At least 12,000 people were killed over two nights on January 8 and 9 during protests, Iran International’s editorial board concluded, based on a review of sources and medical data. Exiled Prince Reza Pahlavi said he was in direct contact with the Trump administration, calling it a potential...
  12. M

    JamiiForums Tanzania TEC naomba muitishe maandamano makubwa kuwakumbuka wote waliotekwa, kuuawa na CCM

    Yawe maandamo ya Amani na siku hiyo ifanyike ibada kubwa .Tena kubwa kabisa. Baada ya maandamano mfanye ibada kubwa . Maandamano haya yawe Tanzania nzima. Muwakumbuke wote bila kubagua dini. Mumkumbe Mzee Ali Kibao na wenzake wote ambao baada ya kutekwa na kuuliwa ilitoka kauli kuwa kifo ni...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Njia ya kumaliza maandamano, sababu kuu za maandamano lazima zitatuliwe kwanza

    Njia ya kumaliza maandamano sababu kuu za maandamano lazima zitatuliwe kwanza ikiwemo muuaji kuachia madaraka hata tutawala kamwe. Na hakuna mtu wa kutubabaisha babaisha tunachukua nchi yetu.
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gen Z watoa taarifa kuelekea maandamano makubwa Desemba 25 (D25) hadi mwaka mpya wa 2026

    Taarifa kwa Vyombo vya Habari Tunasonga Mbele! Kituo #D25 kuelekea #J1 Itolewe kwa Uharaka Dar es Salaam, 12 Disemba 2025 Na. 028 Tunatambua wazi kwamba Samia Suluhu Hassan kwa kushirikiana na vyombo katili vya ulinzi na usalama na tume batili ya uchaguzi wamefanya uhaini wa kupindua mamlaka...
  15. JamiiForums Tanzania Mambo 7 yanayotabiri uwezekano wa maandamano makubwa nchini yoyote (kwa mtazamo wa utafiti, si vitendo)Nchi za kiarabu zilivyodondoshwa

    ‎1. Legitimacy Collapse (Kupoteza Uhalali) ‎Wananchi wengi wanapoamini kuwa serikali: ‎Haitetei maslahi yao ‎Imekosa uadilifu ‎Imeshindwa kiuchumi ‎utawala hupoteza msingi wake. 2. Economic Trigger (Msukumo wa Kiuchumi) ‎Bei ya chakula, mafuta, ukosefu wa ajira — huwa chanzo kikubwa. 3. Mass...
  16. JamiiForums Tanzania Tunapaswa kuendelea kuisimimasha nchi kwa maandamano bila kikomo tuhakikishe wakina PolePole wanaachiliwa wahuni watuachie nchi yetu

    Tunapaswa kuendelea kuisimimasha nchi kwa maandamano bila kikomo tuhakikishe wakina Polepole wanaachiliwa wahuni watuachie nchi yetu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…