Wakuu,
Yaani kila mtakachofanya bado wananchi wananchi wanashinda. Ushahidi unazidi kukaa vizuri kule ICC, bwana Girisho Gerson Msigwa unazidi kuvuliwa nguo, guys ndio kabisa anaandaa skripti ya kuja kutoa kesho lakini anashindwa.
Video ni AI, Watanzania hawajaandamana, wanampenda sana Samuya...
Wakuu,
Hivi machozi ya uoga yakiwa yanatoka ndio yanakuwa yanatetema eeeeh? Eti mtaalam wa machozi Lucas Mwashambwa, Dr. Mwigulu Nchemba?🌚🌚
Rais Samia haamini kile anachokiona, yaani wananchi hawa hawa masikini, malofa, wanyonge leo ndio wanamtetemesha hivi? WHO ARE THEY? Yaani WHO ARE THEM...
Wakuu,
Hii wiki na zaidi ilikuwa muda wa vyombo vya dola kuandamana, yaani wajuba wametoka barabarani hadi na vifaru😂😂 kama wapo vitani vile kumbe ni kutisha wananchi wasitoke kesho!
Safari hii hawajafanya zile troti za kuoasha misuli, wameona hazifanyi kazi! Wakati huu wameweka hadi kambi...
Wakuu,
Rais wa TAHLISO Bw Godfrey Kiliba amesema jumuiya hiyo haitashiriki wala kuunga mkono maandamano yasiyo na ukomo yaliyopangwa kuanza Desemba 9, 2025, akitoa msimamo huo leo Desemba 7 jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari.
Jeshi la polisi halina mamlaka ya kuzuia maandamano D9 pia kwa mauwaji ya halaiki waliyo yatekeleza halina uhalali wa kuingia barabarani kulinda raia.
Sio mamlaka ya jeshi la polisi kuzuia maandamano yoyote puuzieni wanaojitikwa mamlaka hayo kinyume cha sheria.
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu, kwenye gazeti la Nipashe la leo
Kwa vile nimetumia dhana ya ukichaa, naomba anza bandiko hili kwa kuisoma kwanza dhana yangu ya ukichaa, ndipo some bandiko hili Thread 'Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo! Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?'...
Hamjambo Wakuu.
1. Ni vizuri kama kweli inania watu wasiandamane Siku ya tarehe 9 basi ni muhimu kutangaza mapema kabisa;
2. Kwamba Tarehe 9 watu wakae ndani. Kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 6 mchana.
3. Kisha waingie ndani majumbani kuanzia saa 11 jioni wasitoke kabisa
4. Viongozi wa...
Wakuu kuelekea D9 kuna angalizo muhimu hapa. Mafanikio yamejengwa kwenye msingi wa uendelevu na kushikilia bomba. Wanajeshi wala polisi hawatawazuia waandamanaji kwenda Ikulu. Wanajeshi wamejiapiza kuzuia vurugu tuu hivyo endapo waandamaji hawatosababisha vurugu basi mwendo wa Ikulu utakuwa...
Kuna nyakati ambazo nchi huingia katika aina fulani ya ukimya usio wa kawaida—ukimya wa kidijitali. Mamlaka zinapositisha au kupunguza kasi ya intaneti, ghafla maisha ya watu milioni kadhaa hukwama: biashara husimama, wanafunzi hushindwa kuendelea na mitihani ya mtandaoni, na familia hushindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.