maandamano 9december

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Burning Spear

    Kwa mara nyingine GenZ Wasimamisha Shughuli za kiuchumi Tanzania hii ni hatari

    GT Hii ni hatari kwa ustawi wa nchi Nadhani sasa hawa wawekezaji wanaohonga CCM wameisoma namba. Shughuli zote za kiuchumi zimesimama huku wakipata hasara ya billions of money maana wafanyakazi hawakuingia mzigoni 😄 🤣 😂. Annual increment ya next year sijui itakuwaje..je maandamano yote...
  2. TODAYS

    PostGE2025 09.12.2025 wasipozima intaneti itakuwa ni kwasababu hii hapa

    Ulimuswano Mwanaweswe!. Moja kwa moja kwa mada. Najua vijana na baadhi ya wananchi kwa ujumla wa Taifa hili Tanganyika kama siyo Tanzania. Walio wengi wanatakani sana mabadiriko kisiasa, kijamii na kimaendeleo. Ila kuna fungu la walio wachache wanakaza. Kufuatia hilo 29.11 ilikuwa siku yao...
  3. M

    Tarehe 9 Desemba nitaungana na wale wote wanaotaja kumng'oa mkoloni mweusi

    Mwalimu wangu wa kiswahili shule ya msingi alinifundisha neno hili linatumika mara nyingi kama unaagana pasipo majaaliwa ya kuonana Tena, mfano unaenda vitani. Tarehe 9 Desemba nitaungana na wale wote wanaotaja kumng'oa mkoloni mweusi anayejificha kwa kivuli Cha Ccm. Nitashiriki kikamilifu...
  4. N

    PostGE2025 RC Mtanda: Serikali inajitahidi kuhakikisha hakuna maandamano, hata ikitokea imejipanga kuhakikisha inayadhibiti

    "Wapo wananchi ambao bado wanahofu na wapo ambao nimeona wameenda sokoni wananunua vitu vya muda mrefu kwamba labda kutakuwa na 'lockdown' sisi kama kamati ya amani katika mkoa wetu tunaamini bado tuko salama na wananchi wasiwe na hofu" "Kwanza Serikali inajitahidi kuhakikisha kwamba hakuna...
  5. Babumawe

    Kwa kauli hizi za jeshi la polisi, basi tarehe 9 kazi tunayo

    kauli ya msemaji wa Jeshi DCP David Misime kuhusu mbinu ya waandamanaji juu ya matumizi ya silaha za moto dhidi ya jeshi hilo inaashiria dhahiri zitatembea njugu za kutosha. Na utata zaidi utakuja pale jeshi la polisi walipodai kwamba waandamanaji Wana nia ya kuharibu minara ili nchi ikose...
  6. Samia atosha tukutane2030

    Kama mashetani yako wachungaji na waganga wa kienyeaji wameshindwa kuyadhibiti ingia road kaandamane tarehe 9

    Sasa hivi hakuna kupetipeti. Tumewaonya sana. Tuliwaonya kabla ya September 29 mkaleta kiburi. Wengine sasa wako ardhini washaoza . Haiwezekani nchi iungue kwasababu ya maslahi ya watu wachache. Rais ameshaonyesha mwelekeo chanya. Ni Rais gani Tanzania aliwahi kuwa na nia ya dhati ya kuleta...
  7. S

    PostGE2025 Kuanzia tarehe 5 Disemba, hakutakuwa na shughuli ama sherehe yoyote ya kijamii ama kiserikali. TFF wamefuta utoaji wa tuzo uliokuwa ufanyike tarehe 5D

    KKKT nao wamefuta utoaji wa kipaimara uliokuwa ufanyike tarehe 8D. Serikali pia imefuta sherehe za uhuru zilizokuwa zifanyike tarehe 9D Mpo mpk hapo ? Yote haya yanafanyika ili kukwepa kishindo cha 9D.
  8. A

    Kuelekea D9 je kuna Nywi Nywi Kutoka Aliye jisimika au Polisi au wakuu wa mikoa au wakuu WA wilaya àu makada WA sisiemu

    Kuelekea D9 tungependa kujua kama kuna Nywi Nywi toka Kwa watajwa hapo juu, ili watu waweze kuchukua taadhari au sasa hivi kauli itatoka kwa Nchemba
  9. Common Folk

    Kama nilivyosema kwa yale ya mwanzo, maandamano ya D9 nayo yameshafanikiwa kwa 99%, hata kama watu hawatatoka barabarani

    Awareness ya kwamba kuna maandamano D9 ni kubwa kwa 99% mtaani. Hata kama raia hawatatoka barabarani hiyo inatosha kukuambia kwamba kuna mambo hayajakaa sawa ndani ya nchi. Sababu zilizofanya hawa Gen Z wakaandamana O29 bado haijatatuliwa hata moja, sana sana ndiyo wamezidi kumwagia petroli...
  10. Mafyangula

    PostGE2025 Wahadhiri wa Kiislamu: Waislamu msijihusishe na Maandamano ya Disemba 9

    Jumuiya ya Wahadhiri wa Kiislamu nchini Tanzania imewataka Waislamu wote nchini pamoja na Watanzania kwa ujumla kujitenga na hamasa na ushiriki wa maandamano yanayohamasishwa kupitia mitandao ya kijamii nchini ya Disemba 09, 2025 yakidaiwa kuratibiwa na Watanzania wasioishi nchini. Rai hiyo...
  11. Fascinating

    Tunatafuta sababu za kuinvoke Martial Law, serikali ikobize na Kuwepo kwa "Foreign Element"

    Ghafla tumeanza kusikia Yada Yada za maneno mapya kwenye vyombo vya habari na mitandaoni, Eti "Kuna foreign Element" zinataka kuleta machafuko," "Watu waliovuruga OKtba29 si Watanzania," "Tutafanya demokrasia yetu bila shinikizo la mtu yeyote," "Kuna waasi wa M23 wanaandaliwa kuvuka mpaka," na...
  12. Mkalukungone Mwamba

    Gen Z wa Tanzania wamuomba Papa Pope Leo XIV awakumbuke kwenye sala kabla ya maandamano Desemba 9

    Kwa unyenyekevu na heshima kuu, sisi raia wa Tanzania tulioungana kwa amani na imani, tunatoa salamu zetu za dhati kwa Kanisa Takatifu la Roma na Kanisa Katoliki kwa ujumla. Hatujihusishi na chama chochote cha siasa au harakati yoyote ya kisiasa nchini mwetu. Kusudi letu kuandika barua hii ni...
  13. GENTAMYCINE

    Hamuwezi mkatangaza Maandamano mapya Desemba 9, 2025 halafu mtake Lissu aachiwe. Jaribuni kuwa Strategical katika Mipango yenu

    Nikiwa nawachana kwa kuwaambia Ukweli badala ya Kukubali makosa yenu na Kunielewa mnakimbilia Kunitukana, Kunidhihaki na Kunishambulia. Hivi Logically tu baada ya kutangaza Maandamano mengine tarehe 9 Desemba, 2025 tena huku mkitishia na kuweka mikakati yenu wazi Mitandaoni mlitegemea kweli leo...
Back
Top Bottom