Wakuu habari? Nina imani wiki imeanza vyema kwenu.
Nimekuwa nikijizuia kuleta hii mada hapa kwa muda mrefu lakini nakosa amani sana.
Kuna tatizo linakuja huko mbeleni kwenye majengo kama hayatatuliwa mapema.
Kwenye harakati zangu za kutafuta maisha kama kibarua wa ujenzi nilikutana na hali...