maadhimisho ya uhuru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais wa Mnangagwa akabidhi Mamia ya Baiskeli kwa Maveterani wa Vita katika maadhimisho ya Uhuru Zimbabwe

    Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa leo amekabidhi mamia ya baiskeli kwa maveterani wa vita katika eneo la Maphisa, Kezi, ambako sherehe za maadhimisho ya miaka 46 ya Uhuru wa nchi hiyo zimefanyika Jumamosi hii.
  2. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, sherehe za maadhimisho ya uhuru Desemba 9, 2025 zitafanyika kweli?

    Kulingana na taarifa za maandamano ya amani zilizopangwa kufanyika 9 december , je siku hiyo sherehe hizi zitafanyika kweli? Tunajua vyombo vya usalama asilimia kubwa huwa vipo pale uwanja wa taifa kusherehekea sherehe hizi na maigizo yao ya kuvunja matofali kwa vichwa, hii inapelekea maeneo...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuingia Katika vitabu Vya historia yaDunia. Ni Baada ya Kualikwa na Mataifa mawili Tofauti kuwa Mgeni Rasmi katika maadhimisho ya uhuru wao

    Ndugu zangu Watanzania, Ukisikia kupendwa basi huku ni zaidi ya kupendwa ,ni zaidi ya kuheshimika ,ni zaidi ya kuthaminiwa,ni zaidi ya ushawishi ,ni zaidi ya kukubalika na Dunia. Kwa hakika Rais Samia anapendwa hapa Duniani sijapata kuona ,.anakubalika haijapata kutokea. Ana ushawishi...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania DC Moshi, James Kaji: Ningekuwa na mamlaka, ningetimua wote waliokosa kushiriki maadhimisho ya Uhuru

    Mkuu wa Wilaya ya Moshi, James Kaji, amesema hatawavumilia watumishi wazembe na kuagiza majina ya waliokwepa kushiriki maadhimisho ya miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika yawasilishwe kwake mara moja ili wachukuliwe hatua. Kaji ametoa onyo hilo leo Jumatatu, Desemba 9, 2024, wakati wa maadhimisho...
  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Babati: Taasisi ambazo hazijashiriki Sherehe ya Miaka 63 ya Uhuru kuandika barua ya maelezo

    Wakuu, Makubwa! ==== Mkuu wa Wilaya ya Babati, Emmanuela Kaganda ametoa maagizo kwa taasisi zote za serikali ambazo hazijahudhuria kwenye sherehe za miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania, zilizofanyika leo mkoani Manyara kuwasilisha maelezo ya maandishi yakieleza sababu za kutokushiriki. Ametoa...
  6. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Sherehe za miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara(Tanganyika): Babu Seya na Wafungwa wengine 8,157 Wasamehewa

    Ndugu Watanzania, Leo, Disemba 09, 2017 Tanzania inaadhimisha miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara (Tanganyika?). - Sherehe za kumbukumbu hizi zinafanyika katika Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. - Sherehe hizi zinaadhimishwa huku kukiwa na simanzi kitaifa kufuatia askari wetu wanaolinda amani DRC...
Back
Top Bottom