Una wachezaji watatu wa kiwango cha juu kwenye kiungo cha kati: Luka Modrić, Kevin De Bruyne na Toni Kroos.
Unatakiwa kufanya maamuzi matatu: mmoja aanze kikosi cha kwanza, mmoja akae benchi na mwingine auzwe.
Kuanzisha: ......?
Benchi: ......?
Kuuza: .......?
Kevin De Bruyne
Luka Modrić...
Uongo wa Injili ya Luka
Hapa kuna mifano muhimu inayoonyesha kwamba Injili ya Luka si historia sahihi, bali ina makosa, upotoshaji, na hadithi zilizorekebishwa:
1. Luka hakuwahi kuwa shahidi wa macho (Luka 1:1–4)
Luka 1:1–2
👉 Tatizo:
Luka anakiri wazi hakuwa shahidi wa macho
Anategemea...
“Tulikuwa tunaishi kana kwamba jua halitaacha kuchomoza… mpaka lilipoacha.”
Utangulizi:
Mwakitosi hakuwa mtu wa kawaida. Alikuwa na hulka ya kupenda mambo ya anga, si kwa upuuzi wa mitandao ya kijamii wala filamu za kisayansi — bali kwa tafakuri ya kina na uchunguzi usio na lebo. Alikuwa na...
(Yohana 19:31-33)
Kwa kuwa ilikuwa siku ya maandalizi, Wayahudi hawakutaka miili ibaki msalabani siku ya Sabato, hasa kwa sababu Sabato hiyo ilikuwa siku kuu ya ibada. Hivyo waliomba kwa Pilato miguu ya wale waliokuwa wamesulubiwa ivunjwe na miili iondolewe. Kisha askari wakavunja miguu ya wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.