Nimepokea ujumbe kutoka kwa mtu aliyejitambulisha kuwa kaka yake Lucy Simon Shayo akinieleza kukamatwa tena kwa Lucy akiwa mkoani Tanga.
"Kiongozi kwema Lucy Shayo (binti Lissu) amekamatwa jana na Polisi, muda wa saa tisa na nusu jioni Mkoani Tanga yupo Police central Tanga mjini".
Hii...
Karibu uraiani Lucy Shayo. Nimeambiwa kuwa moja ya tuhuma ulizopewa ni kutumia laini ya simu ya mtu mwingine! Tanzania ni nchi yenye maajabu mengi. Huenda ni nchi pekee ambayo watawala hutunga sheria kwa ajili ya wananchi lakini wao sheria hizo haziwahusu kwa sababu:
1. Mawaziri wengi wakitaka...
Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Kanda ya Pwani limelaani hatua ya Polisi Mkoa wa Morogoro kumshikilia mwanachama wake, Lucy Shayo, kwa zaidi ya siku tatu bila dhamana, wakidai kitendo hicho ni kinyume cha sheria na haki za binadamu.
Kwa mujibu wa taarifa ya Septemba 13, 2025...
Ni takribani Siku Tatu Polisi Morogoro Wanamshikilia Lucy SHAYO kinyume na Utaratibu wa Jeshi la Polisi.
Mpelelezi wa Lucy na R.C.O wa Morogoro Wamekuwa wakizikimbia Ofisi zao kwa siku zote ili kunyima haki ya Dhamana ya Lucy Shayo.
Ni kwa bahati mbaya sana Dhamana ya Lucy Shayo haiwezi...
Wakili Gaston Shundo Garubindi Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu:
"Baada ya kukamilisha mahojiano kuhusu kosa la Kusambaza taarifa za uongo, Jeshi la Polisi wakasema wanakamilisha utaratibu wao lakini tumesubiri mpaka sasa usiku, mteja wetu hawajampatia dhamana"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.