lisu

The Lisu people (Lisu: ꓡꓲ‐ꓢꓴ ꓫꓵꓽ; Burmese: လီဆူလူမျိုး, [lìsʰù]; Chinese: 傈僳族; pinyin: Lìsù zú; Thai: ลีสู่) are a Tibeto-Burman ethnic group who inhabit mountainous regions of Myanmar (Burma), southwest China, Thailand, and the Indian state of Arunachal Pradesh.
About 730,000 Lisu live in Lijiang, Baoshan, Nujiang, Diqing and Dehong prefectures in Yunnan Province and Sichuan Province, China. The Lisu form one of the 56 ethnic groups officially recognized by China. In Myanmar, the Lisu are recognized as one of 135 ethnic groups and an estimated population of 600,000. Lisu live in the north of the country; Kachin State (Putao, Myitkyina, Danai, Waingmaw, Bhamo), Shan State, (Momeik), (Namhsan, Lashio, Hopang, and Kokang) and southern Shan State (Namsang, Loilem, Mongton) and, Sagaing Division (Katha and Khamti), Mandalay Division (Mogok and Pyin Oo Lwin). Approximately 55,000 live in Thailand, where they are one of the six main hill tribes. They mainly inhabit remote mountainous areas.The Lisu tribe consists of more than 58 different clans. Each family clan has its own name or surname. The biggest family clans well known among the tribe clans are Laemae pha, Bya pha, Thorne pha, Ngwa Pha(Ngwazah), Naw pha, Seu pha, Khaw pha. Most of the family names came from their own work as hunters in the primitive time. However, later, they adopted many Chinese family names. Their culture has traits shared with the Yi people or Nuosu (Lolo) culture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama Ramadhani Kingai amesema anaombea na atashangilia iwapo Lisu atakutwa na hatia, basi wananchi wanashaongilia vifo vya viongozi wapo sawa

    Now this is the real war. Sina neno
  2. R

    JamiiForums Tanzania Let guess the probable examination in chief questions Lisu might pose to his witness

    1. Ieleze mahakama vigezo/ elements za uhaini kwa kadri ya sheria za Tanzania na Commonwealth jurisdiction in general Jibu: Sijui. .....( Hapo si aneshakuuza tayari)😭😭😭😭
  3. JamiiForums Tanzania Huko Mahakamani Kwa Lisu wengi walienda wakiwa na Heshima, wakati wakurudi walirudi wakiwa dhalili

    Hamjambo wote! Moja ya Mambo makubwa ambayo viongozi wakubwa, watu wenye Akili, na matajiri wanathamini sana ni pamoja na HESHIMA. Kwao heshima niya thamani sana. Walitafuta vyeo na nguvu kwa NJ yoyote hata kiharamia ili wapate Heshima na kuogopwa. Walitafuta pesa na utajiri kinamna yoyote...
  4. JamiiForums Tanzania Tundu Lisu kuwania Tuzo ya SHAKAROV(SHAKAROV PRIZE).

    Bunge la umoja wa ulaya kupitia kamati yake inayoshughurikia utoaji wa tuzo kwa watu mbalimbali duniani wanaopigania demokrasia,utawala bora na haki za binadamu,imeorodhesha jina la TUNDU LISU miongoni mwa wanao wania tuzo hiyo kwa mwaka 2026. Akitoa taarifa hiyo McCalister kupitia kurasa zake...
  5. JamiiForums Tanzania Lisu alisema watakinukisha, kwani akikinukisha kikanuka watafanywa nini? Tunauliza mahakama huyo ndie chanzo cha yote, kwani mkimfunga atafanya nini?

    Friends and Our Enemies, Lisu,Heche na genge lake wamehusika moja kwa moja kwenye kuchochea na kuhamasisha vurugu za 29 October kisha kupelekea vugu vugu la kutaka kuipindua serikali kwa kutumia mass violence ili kuishawishi dunia kuwa Tanzania is a failed state. Yuko korokoroni leo zaidi ya...
  6. R

    JamiiForums Tanzania By any stretch of imagination, hakuna cross examination ambayo mpaka sasa imefanikiwa to implicate Lisu with treason accusations facing him!

    Sana sana alichokifanya jana Katuga ni kutoa siri za Heche za mambo yake ya fedha na biashara. lakini cross examination yake haijagusia lolote kumuingiza Lisu kwenye hatia ya Uhaini. Lengo lake na CCM ni kumfanya Heche achukiwe na wana chadema kuwa anaiba hela za chadema. Ikumbuke kuwa Hche...
  7. JamiiForums Tanzania Baada ya kumshindwa Tundu Lisu, wameamua kumfuata namba 2 wa CHADEMA. Je wataweza?

    Hamjambo! Sisi tunatazama. Tunafuatilia kila kitu kwa ukaribu sana. Tunahakikisha hatutapitwa na chochote. Ingawaje kuna baadhi ya episodes hatuzielewi na kuzifanyia tathmini inachukua muda. Katika mchezo wa Chess huo ndio napenda kuutumia katika mambo ya kisiasa. Kwa sababu unaakisi hali...
  8. JamiiForums Tanzania Tumemsikia Lissu akitoa Pole kwa Rais, Lakini Mbowe na Lema walipotoa Pole CHADEMA wamewashambulia; Kwanini wasimseme Mwenyekiti?

    My Take Nadhani kuna shida mahali Kwa nyumbu wengi wa Chadomo ambao wameshikiwa akili na Heche na Mange. Maboksi wao wameonesha utu hapa 👇 👇 https://www.instagram.com/p/DdPdRE-jKuC/?stkn=MXVlaW5mdDBqcjRrNg==
  9. JamiiForums Tanzania Huenda baadhi ya viongozi wa chadema taifa wakatimuliwa chadema mara tu baada ya hukumu ya mwenyekiti wao Taifa.

    Usaliti watajwa kua chanzo kikuu cha mtifuano huo unaonukia. Mashahidi wa Lisu kulengwa zaidi pamoja na baadhi ya viongozi wa kamati kuu. Tayari migawanyiko na makundi yameanza kuibuka na kukigawa chama hata kabla ya hukumu, na yakituhumiana kuhujumu misimamo ya chadema, agenda za chadema...
  10. JamiiForums Tanzania Mashahidi wa Lisu kutoka chadema HQ hawakua wamejiandaa ipasavyo au ni kiwewe cha kizimbani tu?

    Maana kujikanyaga na kujichanganya kwao kizimbani kunaibua maswali mengi ikiwa ni pamoja na kua, je, ni mkakati wa kumtia kitanzi kiongozi huyo badala ya kumnasua au ni kiwewe, ni hofu na ugeni wa masuala ya kimahakama au mashahidi hao walikua wanamuogopa sana wakili Katuga? Baada ya hukumu...
  11. JamiiForums Tanzania Lisu kulipwa zaidi ya bilioni 50 kama itaonekana hana hatia.

    Kama hii kesi Lisu atashinda na kuonekana hana hatia yoyote Basi serikali itaenda kufilisiwa vibaya sana. Kwa makadirio sio chini ya bilioni 50 kama Lisu hatokutwa na hatia yoyote Hivyo Lisu ataenda kufilisi serikali rasmi ikionekana hana hatia yoyote. Halafu huyoooooooo anatimkia zaidi...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Unaita mashahidi ambao unajua fika watakukandamiza. amakweli Lisu kachanganyikiwa.

    Msaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa. eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye. Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni KUNYONGWA HADI KUFA. Wacha tusubiri tuone anacho kitafuta kwa mashahidi wa upande wa jamuhuri.
  13. JamiiForums Tanzania Kwakuwa Samia, Mpango na Majaliwa mahakama imeweka uzio juu yao bas Lissu awakatae pia CDF na IGP

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kwa kuwa mahakama imepiga chenga ya mwili juu ushahidi wa Samia, Mpango na Majaliwa basi na Tundu Lissu naye apige chenga ya mwili juu ushahidi wa mkunda na wambura Asante Sana Nina maana kubwa sana kusema hivyo SAYUNI BOY
  14. JamiiForums Tanzania Mbowe hakuwahi kwenda hata mara moja kumjulia hali Mwenyekiti wake Lissu ila ameenda Zanzibar kumpa pole Samia , hii imekaaje?

    Nimesikitika kuona mbowe kutokwenda kumjulia hali mwenyekiti wake licha ya kusota rumande kwa muda mrefu na pia hajawahi kwenda au kusema lolote hata kwa bahati mbaya kumtia nguvu mwenyekiti wake ila cha ajabu amesafiri mpaka zanzibari kumpa pole samia . Hii imekaaje? Je mbona samia hakutuma...
  15. JamiiForums Tanzania Huenda hali ya kizimbani siku ya hukumu ya kesi ya uhaini, ikawa kama ya huyu muungwana kwenye video.

    Inasikitisha sana na kwakweli inafedhehesha sana. Ni muhimu sana kutii sheria na katiba ya nchi bila shuruti, ili hatiame kuepuka hali za taharuku na kuchanganyikiwa kama hizi.:NoGodNo: Mungu Ibariki Tanzania.
  16. JamiiForums Tanzania Mashahidi wa Lisu ni kama vile wanamsagia kunguni zaidi tu mwenyekiti wao asichomoke alikonasa

    Huenda wanalenga kufaidi fursa walizozoona ndani ya chadema na kuzifurahia kwa uhuru zaidi , hasa mwenyekiti wao taifa akiwa hanged up. Kwasababu, hawamtetei kabisa mwenyekiti wao, ukifuatilia vizuri wanachoeleza mbele ya majaji. Inaonyesha ni kama vile walijipanga kumsagia kunguni vizuri...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu aje hapa akanushe kuwa Lissu alipopigwa risasi Magufuli hakumwambia atangaze serikali haihusiki akakataa kufanya hivyo na Magufuli akamchukia!

    Nimeshangaa sana kuona leo hii Mwigulu Nchemba anasema waliompiga risasi Lissu walifanya hivyo ili ionekane serikali ilihusika. Niwaambie ukweli wa siku ya tukio la Lissu kupigwa risasi. Wakati huo Mwigulu Nchemba alikuwa waziri wa mambo ya ndani. Mara tu baada ya Lissu kujeruhiwa kwa risasi...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lisu jinsi inavyowapa CHADEMA jukwaa la kupelela madai Yao mazito duniani

    Kupitia kesi ya Lisu CHADEMA wamepata nafasi sahihi kabisa ya kueleza mateso Yao,kudai haki za wananchi,kupelela hoja zao za msingi kabisa Kwa MAHAKAMA na Dunia nzima. Kupitia kesi hii ya kijinga CHADEMA wamepata uwanja mzuri sana wa kuifahamisha Dunia rangi Halisi ya Tanzania ya CCM. Kupitia...
  19. JamiiForums Tanzania Consistency ya Tundu Lissu kukosoa serikali za awamu zote inafanya watu wamuamini tofauti na wale Wanasiasa wa msimu

    Hamjambo! Kuna Wanasiasa wa Msimu. Akiingia kiongozi huyu wanakuwa wakali kama viwavi jeshi. Akitoka huyu na kuingia mwingine wanakuwa kimya. Hali hiyo inawafanya waonekane wanasiasa wenye maslahi fulani au ubaguzi hivi. Hata ingekuwa ni mimi ndiye nimeingia madarakani. Yaani wakati wa...
  20. JamiiForums Tanzania Kama 2017 Lissu angekufa leo ingekuwa ni miaka 9 akiwa kaburini. Hana chakupoteza zaidi ya kuwa Legend

    Hamjambo! Huyu jamaa bhana. Kiukweli wengi hata wasiompenda, au wanaomuona kama kikwazo. Na wale wanaompenda. Wote tunakubaliana jambo moja, huyu jamaa sio level zetu hasa kimsimamo. Ni watu wachache sana Duniani wenye ujasiri na msimamo kama wa Tundu Lisu. Fikiria mpaka Rais Samia aliomba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…