lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Tigo, kuhusu issue ya Lissu mnayo KESI ya kujibu: Someni hapa

    Tigo someni mifano mingi ya kesi zinazohusisha uhalifu, teknolojia, na uwajibikaji wa kampuni ambazo zilishughulikiwa kwa mafanikio. Hapa kuna baadhi ya mifano maarufu: 1. Kesi ya "Blackberry: Katika miaka ya 2010, kampuni ya Blackberry ilihusishwa na kesi kadhaa za uhalifu ambapo taarifa za...
  2. JamiiForums Tanzania Swali: Kama askari wa Tanzania hawawezi kupiga risasi 32 na kukosa shabaha. Kwa nini Tigo walitoa taarifa za Lissu kwa maafisa wa serikali?

    Simple mathematics
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mtarajie chuki dhidi ya CHADEMA na Lissu kutoka kwa vibaraka wa Mwendazake kuanzia sasa

    Washabiki, wafuasi na vibaraka wa Mwendake, akili zao ni za hovyo kupindukia na huwa wako teyari kufanya lolote kwa yeyeote ataesema jambo baya kuhusu Mwendazake hata kama kweli huo ubaya ulifanywa na Mwendazake. Niwaambie tu, hata mauji ya Mzee Kibao yangefanywa na Mwendazake, wangetetea kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Nchi inapaswa kujua aliyekuwa anapewa "Live Location" na Data za Mawasiliano za Lissu ni nani

    Shida siyo content za Lissu alizokuwa anawasiliana na hao watu, shida ni kwa nini wamfanyie "Assassination Attempt" badala ya kumfikisha kwenye vyombo vya kisheria kama kweli alikuwa anafanya uhaini kwa nchi yake. Kitendo cha kujaribu kumuua kwa njia za panya inaonesha hakukuwa na dosari yoyote...
  5. JamiiForums Tanzania Nchi inapaswa kujua Lissu alikuwa anawasiliana na nani na maudhui ya mawasiliano yalikuwa yapi

    Gazeti la the Guardian la Uingereza limeandika mwendelezo wa mgogoro wa ajira kati ya kampuni mama ya Tigo na mfanyakazi wao kutokana na kufukuzwa bila kufuata sheria kwa mfanyakazi huyo. Utetezi wa mfanyakazi umeegemea kwenye hoja kuwa hakupendezwa na kitendo cha Tigo uipa serikali mwenendo...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu mwana wa Yese amepewa kibali cha kuwaongoza Watanzania

    Embu Watanzania wenzangu tuchukue wasaa kujikumbusha mafundisho muhimu sana yaliyopo katika hadithi ya Daudi, Mwana wa Yese. Naweza kuandika volume ya vitabu kuhusu hadithi ya Daudi na mafundisho yake. Daudi alikuwa mpakwa mafuta ambaye angali bado mdogo alipewa kibali cha kuwaongoza Wana wa...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Wakili wa CHADEMA: Lissu amekamatwa nyumbani kwake Tegeta

    Dar es Salaam. Wakili wa Chadema, Hekima Mwasipu amesema Makamu Mwenyekiti wa Chadema-Bara, Tundu Lissu amekamatwa na polisi asubuhi ya leo Jumatatu, Septemba 23, 2024. "Lissu amekamatwa nyumbani kwake Tegeta na amepelekwa Kituo cha Polisi Mbweni na mimi kama wakili niko njiani nakwenda huko...
  8. JamiiForums Tanzania Maandamano sio ya CHADEMA ni ya wananchi. Tusimsubiri Mbowe wala Tundu Lissu

    Vichwa vya watanzania bado vinabidi viitiwe mkoloni maana bado akili zimelala. Eti wanamsubiri mbowe na lissu kwenye maandamano, kwahiyo wakikamatwa au wasipokuja ndohatuandamani au? Haya maandamano inabidi yaratibiwe na sisi watanzania hata kama wanasiasa yoyote yule asipokuja sisi tusonge...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Huu ujumbe aliotumiwa Lema ukionesha vitisho kwenye maisha ya Lissu ni kweli umetoka kwa Lissu mwenyewe?

    Hebu JamiiForums mjiridhishe kama kweli huu ujumbe ni wa Liissu. Pia, ikiwezekana, muwasiliane na Lema au Lissu mwenyewe. Nina mashaka na aina hii ya uandishi kama kweli ni wa Lissu.
  10. JamiiForums Tanzania SI KWELI Tundu Lissu amekiri kuunga mkono mapenzi ya jinsia moja

    Nimekutana na post inasambaa mtandaoni Tundu Lissu akisema anaunga mkono ushoga na video ina maneno yanayosema "Lissu akiri kuunga mkono mapenzi ya jinsia moja" je post hii ina ukweli wowote?
  11. JamiiForums Tanzania Naunga mkono maandamano ila Mbowe na Lissu nao wawe mbele na familia zao tarehe Septemba 23

    NAUNGA MKONO MAANDAMANO ya tarehe 23 ila Kwa Sharti Moja: Mbowe, Lissu na Familia Zao Wawe Mbele Katika maandamano yanayotarajiwa kufanyika tarehe 23, naunga mkono juhudi hizi za kidemokrasia. Hata hivyo, kuna sharti muhimu: viongozi wetu, Mbowe, Lissu, na familia zao wanapaswa kuwa mstari wa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Swali kumhusu Lissu lamkera Katibu Mkuu DP

    Clip inajieleza wazi: Kulikoni kiongozi huyu kukasirishwa mno na swali hili?
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nchimbi anazungumzia kifo cha Kibao wa CHADEMA, asema "Zikianza kelele ‘Mbowe Must Go’ zinashindikana"

    https://www.youtube.com/watch?v=dDbkWPfQv2c Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel Nchimbi , Kuzungumza Na Wahariri na Waandishi waandamizi wa Vyombo Vya Habari Leo Jijini Dar es salaam. Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema “Kuna kauli ya BAVICHA tumeisikiwa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Lissu amekubali tu "collective responsibility" ila yeye alipinga maridhiano tangu mwanzo

    Licha ya Lissu kuomba radhi kwa kile kinachoonekana ni kukubali maridhiano na serikali ya Raisi Samia, ukweli ni kwamba, Lissu amekubali akiwa ni sehemu ya uongozi wa CHADEMA uliofika hayo makubaliano ya kile kinachoitwa 4R. Lissu alithibitisha kutokuwa muumini wa 4R katika mahojiano na...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: We were too quick to give President Samia Suluhu Hassan the benefit of doubt

    Tundu Lissu has apologise to the nation and international community, for being too naive https://m.youtube.com/watch?v=9djeud3m8Ic And Tundu Lissu went further by saying he and many tanzanians have to bare that heavy burden of wrongly thinking that any leader assuming the office under the...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaoshombokea maandamano Lissu, Lema, Mbowe wanamakazi nje ya nchi; wanapakwenda; wewe je

    JK aliwahi kutuasa- akili za kuambiwa changanya na za kwako
  17. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Video ya Tundu Lissu akizomewa kwenye Mkutano Septemba 11, 2024

    Nimeona video ikisambaa toka jana ikimuonesha Tundu Lissu akiwa anazomewa na watu waliokuwepo kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jana tarehe 11/09/2024 wakimzomea na kumuita YUDA je ni cha kweli?
  18. JamiiForums Tanzania SI KWELI Catherine Ruge aula, apewa na Freeman Mbowe nafasi ya Lissu CHADEMA

    Baada ya Lissu kunyimwa funguo za Mikocheni ameamua kususa nafasi yake imezibwa rasmi na Catherine Ruge, Wasalimie sana ACT Wazalendo.
  19. C

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu inabidi aingoze Chadema kutokana na hali ya siasa iliyopo

    Hii haina ubishi kwa siasa za kinyonge zilizopo ndani ya Chadema zinazoendeshwa na Mboe,inabidi amkabizi kijiti Tundu Lissu Siyo kwamba kwa ajili ya kufanya vurugu,hapana tunaitaji mtu atakayetutia ujasiri hata tunapouwawa,siyo kulialia na kuwakaribisha wauwaji kwenye misiba yetu na kutoa...
  20. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Tundu Lissu?

    Nauliza kutaka kufahamu yupo wapi Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Ndg Tundu Antipasi Lissu, Zimepita takribani siku 15 tangu aonekane mara ya mwisho Twitter akihoji juu ya alipo kafa wa CHADEMA bwana DEUS SOKA. Baada ya hapo Tundu lisu hajaonekana wala kusikika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…