lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    LGE2024 Tundu Lissu nakushauri wewe ndio ukamzuie Mkuu wa Mkoa wa Simiyu na sio kuwatafutia matatizo wananchi

    Unawatangazia wananchi kuwa wakimuona Mkuu wa Mkoa wamzuie, ebo.Mkuu wa Mkoa ambaye ametajwa kikatiba, ametajwa kwenye sheria ya Tawala za Mikoa Na.19 ya mwaka 1997, ametajwa kwenye kanuni za kudumu za utumishi wa umma, mwenyekiti wa kamati ya usalama mkoa, wananchi wazingire gari lake...
  2. D

    Mambo makubwa mawili yanayomsumbua Tundu Lissu wiki hii!!

    1. Taarifa aliyoitoa Makonda kwa waandishi wa habari kwenye utoaji wa ripoti yake ya miezi 6. Katika kujibu tuhuma anazorushiwa na Tundu Lissu, Makonda alijikuta akitueleza ni vipi Kuna vikao vilikuwa vinaendelea baina yake na viongozi wa chadema Huku Tundu Lissu wakimuacha kwa makusudi kwa...
  3. LGE2024 CCM Yazindua Kampeni Nchi Nzima; Hoja Kuu ni Mbowe, Lissu na Chadema, Aibu Kwao

    Jana ilikuwa uzinduzi wa kampeni za CCM sehemu mbalimbali na kwa maajabu makuu hoja kuu yao ni kumzungumzia Mbowe na Lissu kama sera yao. Wameamua kumuibua hadi yule mpiga kelele wa goli la mkono toka makaburini kuja kuwatia nguvu wakati Makonda juzi kwenye mkutano wake kadhibitisha kuwa wale...
  4. SI KWELI LGE2024 CHADEMA yamsimamisha Lissu Uanachama

    Salaam Wakuu, Nimekutana na hii Taarifa ya The Chanzo inadai Chama Cha Demokrasia na Maendelea kimemsimamisha Uanachama Tundu Lissu. Kuna ukweli?
  5. Maisha ya Tundu Lissu Kisiasa ni Kuunda Chama Chake cha Siasa. Napendekeza Jina: United Front for Democracy (UFD)

    Sioni future elekezi kwa Tundu Lissu, ipo haja na ulazima wa yeye Kuunda Chama Chake aachane na Chadema. Chama Kipewe Jina UFD Kirefu Chake United Front for Democracy. PIA SOMA - Kuelekea 2025 - Kauli ya Lissu kuwa CHADEMA siyo mama yake anaweza kuhama ni kiashiria cha uwezekano wa kuhama CHADEMA
  6. LGE2024 Freeman Mbowe: Tutanyukana lakini hatutakigawa Chama, Hiki si Chama cha Mbowe, sio cha Lissu wala Mnyika, ni cha Watanzania wengi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amejibu maswali kuhusu madai ya mgawanyiko na mnyukano ndani ya chama hicho, akisisitiza kuwa migogoro ya kisiasa ni jambo la kawaida katika vyama vyenye nguvu. Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu hali ya kisiasa...
  7. PreGE2025 LGE2024 Baada ya kuwasikiliza Makonda na Kigaila kisiasa na kiusalama Tundu Lissu inatakiwa ahamie CCM au aache siasa .

    Binafsi huwa natamani sana siku moja kumuona Tundu lissu akiwa na mafanikio makubwa sana katika siasa sababu naamini ni mzalendo na msema kweli. Lakini kwa namna nilivyowasikiliza Makonda na Kigailla 1. Inawezekana Tundu lissu bado hana uhakika nani alihusika na shambulio lake 2 . sehemu salama...
  8. Makonda: Nilimuambia Lissu kama utani asimshambulie Mwigulu kwa sababu ni Waziri anayetoka "kwao" na amefuata maelekezo yangu

    Katika mahojiano yaliyofanyika mkoani Arusha ambapo Mkuu wa Mkoa huo Mheshimiwa Paul Makonda alisema alimuambia kama utani Tundu Lissu asimshambulie Mwigulu Nchemba kwa sababu ni Waziri anayetoka kwao (Singida) na Lissu alifuata hayo maelekezo yake kwa maana hakuna hata siku moja amewahi...
  9. M

    Tundu Lissu anavyojulikana na Akili Mnemba (AI)

    Tundu Antiphas Mughwai Lissu ni mwanasheria, mwanaharakati wa haki za binadamu, na mwanasiasa mashuhuri wa Tanzania. Amekuwa akihusishwa sana na harakati za kutetea demokrasia, utawala wa sheria, na haki za wananchi. Yeye pia ni mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na...
  10. H

    PreGE2025 Tundu Lissu ndiye Rais ajaye baada ya Rais Samia

    Kila ninapomtazama TAL na aliyoyapitia na anayoyapitia sasa hivi naona miaka si mingi anakuja kuwa President wa Jamhuri hii . Sina tangible reasons msije kunikaba lakini kuna vitu katika dunia hutokea tu ili kuwaonesha wanadamu kuwa yupo mpangaji wa mambo tofauti na vile tunavyojiaminisha kuwa...
  11. Bila Freeman Mbowe na Jordan Rugimbana, Tundu Lissu angepoteza uhai siku ile aliyopigwa risasi Dodoma

    Wale walenga shabaha(snipers )baada ya kushindwa kumuua Tundu Lissu ,alipelekwa hospitali ya General kwa matibabu. Mnaidhani wale sio sniper refer Donald Trump alipunyuliwa nywele badala ya kupigwa kichwa na sniper....tuendelee Lengo lilikuwa apelekwe Muhimbili. Mbowe mtoto wa mjini akahisi...
  12. M

    Je, Lissu ameamua kuwa na maadui wawili kwenye siasa?

    Ni dhahiri kuwa sasa hivi Lissu anaishambulia serikali ya CCM na Mwenyekiti wake wa CHADEMA Bw Freeman Mbowe kwa pamoja. Kama tujuavyo ni kuwa siasa ya Afrika ni uadui na sio mashindano ya amani. Swali langu ni kuwa Je Lissu ameamua kupambana na maadui wawili kwa pamoja? Je hawezi mmoja...
  13. M

    PreGE2025 Lissu ashauriwe apunguze kutuhumu wenzie bila Ushahidi, anagharimu Chama chake kwa kucheza ngoma ya CCM bila kujijua

    Kwanza nitangaze Mgongano wa Maslahi kwamba mimi pia ni Shabiki wa Lissu, naheshimu mchango wake katika kupigania mabadiliko ya nchi hii na natambua na kuheshimu gharama alizolipa kwa kwa kazi hiyo kwa ajili ya Taifa hili. Ila siku za Karibuni ameanza kufanya Siasa fulani hivi za kutuhumu...
  14. Je baada ya Nyerere ni Lissu?

    Ukija kwa sasa nje ya Nyerere ambaye aliweza kukiri makosa yake kadhaa na kukosoa chama chake! Naona mwingine anayeweza kuthubutu ni Tundu A Lissu, CHADEMA ni chama tegemeo la Ukombozi kwa Watanzania hasa wapenda mabadiliko, Walianza kumbwera au kupoteza ushawishi kwa watu wenye misimamo mikali...
  15. SI KWELI ITV wamechapisha taarifa Lissu amesema, "safari yetu imejaa mashaka, hatuaminiani ndani ya chama chetu"

    katika pitapita zangu katika mtandao wa X nimekutana na chapisho hili kumhusu Tundu Lissu Wakuu uhalisia wa chapisho hili ni upi?
  16. N

    Tundu Lissu anzisha chama tukuunge mkono

    Naandika kwa masikitiko makubwa sana kutoka moyoni mwangu,naamini baadhi ya Viongozi wa Chadema kwa makusudi wamekubali kutapeliwa na wametapelika dhidi ya matapeli wa CCM Hii inadhihilisha ni jinsi gani wako kimaslai zaidi kuliko kuwa kalibu na wananchi wao, waliokipenda chama kwa moyo mmoja...
  17. Tundu Lissu declares "The election is over" as he scrutinizes the ongoing Local Government Elections procedures

    In a highly publicized press conference meant to address Tanzania’s ongoing Local government election process, Tundu Lissu, CHADEMA's Vice Chairman for Tanzania Mainland, voiced deep skepticism about the fairness and integrity of the current electoral climate. Speaking to journalists today...
  18. Lissu aiomba Mahakama itupilie mbali Kesi ya Uchochezi dhidi ya Askofu Machumu Maximilian Kadutu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima

    Wakili wa mshtakiwa Askofu Machumu Maximilian Kadutu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Jijini Dar es Salaam, Tundu Antipas Lissu ameiomba Mahakama itupilie mbali shauri la Kesi ya Uchochezi dhidi ya Askofu huyo kwa madai kuwa halina mashiko. Kwenye shauri hilo la jinai, Namba 19525, Mwaka 2024...
  19. Tundu Lissu: Upinzani tumechanganya sana Watu, tunahitaji kiongozi ambaye akisema neno anaaminika

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akihojiwa na Kituo cha NTV cha Kenya amesema “Upinzani unahitaji kuwa na Uongozi wenye maono makubwa na yasiyokuwa na mawenge tofauti na ilivyokuwa hapo Katikati.” Aidha, Lissu amezungumza kuhusu nafasi ya kuwania Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA baada...
  20. PreGE2025 LGE2024 Same: Polisi yazuia mkutano wa hadhara wa Tundu Lissu, yasema ni kufanya kampeni uchaguzi S/Mitaa kabla ya muda

    Jeshi la Polisi wilayani Same, mkoani Kilimanjaro limezuia mkutano wa hadhara uliokuwa umepangwa kufanywa na Makamu Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA Bara, Tundu Lissu tarehe 6 Novemba 2024, na mkutano mwingine wa chama hicho uliopangwa kufanyika tarehe 8 mwezi huu Novemba. Kulingana na barua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…