lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Lissu ana hoja: DPP haheshimu amri za mahakama

    Mshtakiwa kwenye kesi ya Uhaini Tundu Lissu amelalamikia tabia ya Ofisi ya mwendesha mashitaka wa Serikali (DPP) kutoheshimu amri za mahakama. Lissu amesema mahakama mara kadhaa imewaagiza upande wa mashitaka kuleta mashahidi wa kutosha kwenye kesi hiyo, lakini upande wa mashitaka hautekelezi...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Mh. Lissu akishatoka alikozuwiwa Kwa nguvu baada ya kuyakaanga machawa inafaa akiwa rais pia awe Lecturer- Law Chuo Kikuu Cha Serikali

    Wadau napendekeza Mh. Lissu akitoka kwenye forced incarceration na kuwa Rais napendekeza awe anapiga pindi la Sheria hasa kwenye masomo yafuatayo; 1. Law of Evidence 2. Administrative Law 3. Law of Torts 4. Environmental Law 5.Criminal Law 6. Criminal Procedure Law. Au mnasemaje wadau maana...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini lissu anapenda kutumia NENO kuwakaanga mashahidi?

    wadau za mchana? naomba kuuliza kwanini lissu anapokuwa mahakamani anapenda kuwambia mshahidi wa jamhuri kuwa atawakaanga? naomba jibu wadai. Machawa yaliyozoea kufugwa kwenye makorido ya lumumba yapeleke uharo wao kwa ally happy aliyetukana wazee akiwa mkuu wa mkoa Iringa kuwa muda wao umeisha...
  4. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mauaji ya 29/10 ndio maafa makubwa zaidi kutokea ktk historia ya nchi yetu tangu Ukoloni wa Mjerumani na Mwingereza ktk miaka 42!!

    “......Mbali na mauaji ya Vita vya Maji Maji chini ya utawala wa Kijerumani, mauaji yaliyotokea 29 Oktoba 2025 ndiyo makubwa zaidi katika historia ya nchi yetu. Hakuna awamu yoyote ya utawala kuanzia Waingereza waliodumu miaka 42, hadi marais wa awali kuanzia Mwl J. K. Nyerere, Ally H. Mwinyi...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ateka Anga La Siasa Za Tanzania. Kila Sehemu ni Yeye Tu Mitandaoni. CHADEMA na Lissu Wao Hakuna Mwemye Habari Nao

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia Anakubalika ,kupendwa,kuungwa Mkono na Kufuatiliwa kila hatua apigayo . Rais Samia ndiye Habari kuu na habari ndiye yeye . Kuanzia vijiweni, mitaani, Magengeni na kila Sehemu yenye Mkusanyiko Wa watu habari Kuu ni Rais Samia tu na shughuli anazozifanya. Rais...
  6. JamiiForums Tanzania Lissu alivyomkaanga Mpelelezi Mkuu wa kesi yake

    Leo Agosti 11, 2026 katika Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam, Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anayeshitakiwa kwa kesi ya uhaini, ameendelea kumhoji shahidi wa 16, Kamishna msaidizi wa Polisi (ACP), Amini Mahamba. Kesi hiyo inasikilizwa na majaji watatu, wakiongozwa na Jaji Dastan...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Lissu kwa Heche imezima kabisa ndoto ya vigogo wa CHADEMA waliopanga kumvuruga Heche kupitia Baraza Kuu

    LIssu anasoma magazeti kama mshtakiwa wa kisiasa. Anajua fitina zinazoendelea. Lissu anajua mapandikizi ya Serikali ya CCM walioko kwenye chama chake. Kauli aliyomwambia Heche mahakamani kwamba "UNAFANYA KAZI ILIYOTUKUKA" Siyo kauli ya bahati mbaya hata kidogo. Ni ujumbe aliotafakari na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Heche unafanya KAZI nzuri iliyotukuka ila unakipara

    Tundu Lissu akimtania Heche mahakamani leo akimaanisa ana kipara hajaunga kampeni ya kudai haki kwa kutokunyoa nywele kama ambavyo wengine kina Boni Yai wamefanya kushinikiza Lissu kuachiwa kutoka gerezani anakoshikiliwa kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa.
  9. JamiiForums Tanzania Je, Rais samia na serikali yake wamekaidi maelekezo ya Jumuia ya madola kumuachia Tundu Lissu?

    Lissu bado anazidi kushikiliwa na kuburutwa mahakamani bila kosa ambalo litaweza kuthibitika.Siku thelathini walizotoa jumuia ya madola zinaisha leo.👇
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu ya uhaini kuendelea leo, Agosti 10, 2026

    Shauri la uhaini linalomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, linatarajiwa kuendelea kusikilizwa leo, Jumatatu, tarehe 10 Agosti 2026, kuanzia saa 3:00 asubuhi. Kesi hiyo inasikilizwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ya Dar es Salaam, na imepangwa kuendelea kusikilizwa mfululizo...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Siku 30 za Jumuiya ya Madola kutaka Lissu aachiwe zimekwisha, kinachofuata ni utekelezaji

    Leo ni siku ya mwisho kwa serikali ya Tanzania kutekeleza pendekezo la Jumuiya ya Madola linaloitaka kutafuta njia ya kisiasa na kisheria ya kumaliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Msijekusema hatukuwakumbusha. Pia soma: Jumuiya ya Madola yaipa Tanzania siku 30 Kutatua...
  12. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Tundu Lissu aachiwe huru, atafutwe msuluhishi huru wa kimataifa ili kulinusuru taifa

    TAARIFA KWA UMMA YA NDG. LUHAGA JOELSON MPINA KUHUSU UCHAMBUZI WA RIPOTI YA JUMUIYA YA MADOLA KWENYE KIKAO CHA 73 CHA DHARURA CHA MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE NA UONGOZI WA KIDEMOKRASIA (CMAG) KILICHOFANYIKA TAREHE 10 JULAI 2026 KUHUSU HALI YA KISIASA NCHINI TANZANIA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA...
  13. JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kutupia picha mbalimbali na video za Rais wa Tanzania ajaye, Tundu Antipas Lissu ili kumtia moyo kwenye kupambania katiba, utu na haki

  14. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya ikitoa nafasi za Ujaji kutagazwa na kupigiwa kura Lissu anaeweza kua Jaji mkuu akitaka

    Lissu kwa ushawishi alionao kwenye uwanja wa sheria katiba ikiruhusu nafasi za ujaji kutangazwa na kuomba na kupigiwa kura na wanasheria hiwe TLS ndo wawe wasimamizi Lissu anakua Jaji mkuu mapema akitaka sasa ni vema tukaishi kwa kuweka hakiba ya maneno kwa ajili ya kesho.
  15. JamiiForums Tanzania Siioni Tanzania bila Heche na Lissu

    Ndugu zangu Wana Jamiiforums nikiri kuwa mimi ni mshabiki wa siasa za upinzani siyo kosa mimi kukiri nafasi yangu kisiasa, lakini katika yote hayo mashujaa wangu ni Lissu na Heche, watu Hawa wananifanya nihisi kuwa tanganyika iliyochoka ina nafasi kubwa siku zijazo, Mungu awabariki, lengo langu...
  16. JamiiForums Tanzania Tufike kipindi wa Tanzania tuweke pembeni tofauti zetu watu wawajibishwe tujenge nchi ni aibu mtu kama Lissu kuwa jela

    Hii nchi sio kwamba ni maskini Ila ni vile tu tumeamua watu wachache wajimilikishe nchi kitu ambacho sio sawa bora hata wangejimilikisha nchi wakajua namna ya kula na kipofu. Serikali zote dunia wizi hauwezi kukosekana duniani ndo maana china na sheria kali bado kuna upigaji...
  17. JamiiForums Tanzania Taarifa maalumu ya kumpokea M/Kiti wa chama Taifa Mh Tundu A. M. Lissu kwa wana CHADEMA wote, wafuasi na wapenzi toka gereza la Ukonga - DSM

    Kutoka kwangu mwenyewe The Palm Beach 1. CHADEMA inawataarifu wana CHADEMA wote, wafuasi, wapenzi na wote wanaounga mkono mapambano dhidi ya uhuru, haki, demokrasia na utawala wa sheria ktk taifa na nchi yetu popote pale mlipo hapa nchini na duniani kote kwamba, tutakuwa na mapokezi makubwa...
  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA wapuuzeni Chaumma msijibu hoja zao. Ninyi komaeni na operation tonetone na Maandamano ya kumtoa Lissu jela

    Ukimjibu mtu ambae hana hoja katika jamii. Unampa mtu nafasi kujiona anafaa. Dili la Chauma kutumiwa na CCM lilishabuma. Andaeni maandamano ya nchi nzima Lissu aachaiwe maana akitoka nje CCM watakiona cha moto.
  19. JamiiForums Tanzania Remedy DPP anayoweza kuifanya ni kuiondoa Kesi dhidi ya Lissu Kisha kumkamata tena na ku fix ushahidi wake ambao umetupwa na mahakama zote mbili

    DPP sasa ana option ya Kuichomoa kesi kwa kutumia kifungu cha 91 cha Sheria ya mwenendo wa Makosa ya Jinai lakini kifungu hiki hakitoi kinga kwa mshitakiwa kukamatwa tena na kufunguliwa kesi ile ile au mashtaka mengine hapa naona ndiyo jambo ambalo linaweza kufanyika. Kwanini Kesi inatakiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Hili la Heche kulalama kuwa kuna watu wanamfuatilia lichukuliwe kwa umakini. Lissu nae alianza kulalama anafuatiliwa baadae

    Mzaha mzaha uota usaha. Heche amelalama zaidi ya miezi mitatu kuna watu wanamfuatlia. Yasije yakajitokeza yale ya Lissu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…