lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwenye Jopo la Mashahidi 15 wa Utetezi wa Tundu Lissu, Samia Suluhu yumo. Je, kajiandaa?

    Je Mzanzibari Samia Suluhu Hassan kaajiandaa kumtetea Lissu? Kajiandaa kupigwa Maswali ya dodoso na Tundu Lissu? KAMA MAHAKAMA ITASEMA MHE TUNDU LISSU ANAKESI YA KUJIBU, RAISI ATAPASWA KUFIKA MAHAKAMANI KAMA SHAHIDI WA LISSU? Na Emily Mwakilembe Kama mahakama itaona kesi iendelee basi Tundu...
  2. JamiiForums Tanzania Lissu alipogombana na Magufuli alikuwa anawatetea Barrick Gold

    Lissu alikuwa mwanaharakati maarufu aliyewatetea wanyonge. Alipata mafanikio makubwa Rufiji alipofanikiwa kumzuia mwekezaji tapeli asiwadhulumu ardhi wanavijiji wengi . Halafu tena katika mgodi wa Bulyankhulu aliwatetea kwa mafanikio wachimbaji wadogo wengi waliokuwa wanaonewa. Nineona ni vema...
  3. JamiiForums Tanzania SI KWELI Kikwete aomba Tundu Lissu kuachiwa ndani ya wiki hii maana Tanzania tuna amani.

    Kumekuwepo na machapisho yanayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii yenye nukuu mbalimbali zinazodaiwa kuwa zimetolewa na viongozi wa nchini Tanzania.Moja ya kurasa hizo ni mjadala tv na siasa za kweli ambazo huchapisha maudhui hayo mara kwa mara
  4. JamiiForums Tanzania Mawakili wa Serikali wanaficha nyuso zao kesi ya Lissu?

    Ni kama vile ingewezekana mawakili wa Serikali nao wangeomba kuendesha kesi dhidi ya Tundu Lissu kwa kificho. Kwenye video hii Kuna kila shaka kwamba mawakili wa serikali hawapendi sura zao kuonekana kideoni. 👇
  5. JamiiForums Tanzania CCM hatukutaka kabisa Lissu na Heche wawe wenyeviti. Hawa jamaa hawafai wataiua CHADEMA. Tunaona pengo la Mbowe.

    Mbowe ndo alikuwa anafaa sana kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Nikiangalia naona hiki chama kwa sasa kinakuwa cha misimamo mikali. Lissu na Heche hawa ni wabishi na hawataki kusikiliza ya wenzao. Wao wanataka kusimamia wanachomini tu. Wanasahau kuwa kuna wakati wanatakiwa kulegeza wanachikichia...
  6. L

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Lissu Inatakiwa Afunguliwe Mashtaka Mapya Kabisa na kufanya Uchunguzi Juu ya Kauli zake zilizotolewa Mwaka jana kabla ya Uchaguzi

    Ndugu Zangu Watanzania, Lissu inatakiwa Afunguliwe Mashtaka Mapya Kabisa na kuanza kufanya uchunguzi wa kauli zake ambazo alikuwa akizitoa Mwaka jana kabla ya Uchaguzi. Ikumbukwe lissu Alitoa kauli za Uchochezi sana ambazo kwa kiasi kikubwa zilikuwa zinajenga hofu kwa watu na kuleta...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Huyu Brian Mandubile yatamkuta ya Lowasa au CUF na Lissu.

    CCM wakishaamua jambo lao hakuna wa kupindua Tanzania. 1. Kwanza kura zitaibwa hatopata ata asilimia 40 ya kura. 2. Atapewa kesi za kigaidi kama lissu au Uasi au silaa. Cuf walishaletewa kontena lenye visu vyenye nembo yao na wakaambiwa ni magaidi. 3. Watalazimisha maridhiano au serikali ya...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Tundu Lissu kuto- surrender, kumuweka precedent ya wengine kukomaa mpaka mwisho

    Huu ndio ukweli mchungu na ksma Mbowe nae angekomaa, huenda hata Lissu yasingemkuta Kwa kifupi, kitendo cha kukomaa mpaka hapa kesi ilipofika, ni ushindi mkubwa kwa Lissu maana walichotaka kitokee hakijtokea( kuwapigia magoti). Naamini kuanzia sasa watakuwa makini katika Ku-deal na wanasiasa...
  9. JamiiForums Tanzania Mbowe hawezi kwenda mahakamani kwenye kesi ya Lissu. Msiumize kichwa, yeye ni kada na kibaraka wa CCM

    Hakutaka Chadema iwe na misimamo kama hii ya Heche na Lissu. Hapo alipo anafurahia na kuchekelea moyoni. Maana alishazoea siasa za biashara na kuitumia Chadema kama mtaji.
  10. JamiiForums Tanzania Kutoka High Court - DSM: Submission ya "No Case to Answer" ya Tundu Lissu (full text) baada ya Jamhuri kufunga ushahidi wao leo 17/8/2026

    Baada ya upande wa Jamhuri kuishia njiani kwa kuleta mashahidi 17 tu kati ya 30 waliopaswa kutoa ushahidi wao dhidi ya kesi iliyopewa Jina la "kesi ya uhaini" dhidi Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mh Tundu Lissu, hatimaye leo Tundu Lissu ameanza kujitetea. Kwa kifupi sana, utetezi wako umejikita...
  11. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Umewekewa Mtego

    Nimeona Jamhuri katika Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu Wamefunga Ushahidi, Kama majaji wakitoa ruling una kesi ya Kujibu kitu ambacho nadra kwa sababu elements za Kosa kwa kiasi kikubwa hazijawa Proved ili uchomoke faster jitetee tuu mambo ya kuanza kuwaita akina Samia, Mwigulu...
  12. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu; Mashihidi upande wa mshitakiwa tuanze na Samia

    Baada ya serikali kufunga ushahidi leo Ushauri wangu kwa Lissu na jopo lake ndio. Itakafuka wakati wa mashahidi wenu, basi tuanze na shahidi Samia Suluhu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Leo ni zamu ya shahidi wa 18 kesi ya lissu

    Kesi ya uhaini namba 19605/2026 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri, itaendelea leo Jumatatu, Agosti 17, 2026 katika Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar Es Salaam, ambapo shahidi wa 18 wa Jamhuri ataanza kuwasilisha...
  14. JamiiForums Tanzania Mzee Warioba: Kwa manufaa ya umma, kwa nini Tundu Lissu asiachiwe kama watuhumiwa wengine wa uhaini walioachiwa?

    Watuhumiwa wengine wa uhaini waliachiwa kwa manufaaa ya umma. Why not Lissu amabae hata kesi yake haina muelekeo?👇
  15. JamiiForums Tanzania MAHAKAMA hiyohiyo Kesi ya Lissu, inatoa Amri, Serikali haifuati , hamna kinachotokea. Alafu Madeleka anakamatwa kwa kutofata Amri ya Mahakama

    Ukistaajabu ya Mussa!!
  16. JamiiForums Tanzania Lissu: Kama pumzi imekata wafunge ushahidi

    Lissu: Kulikua na amri mliyoitoa mwaka jana siwezi kukumbuka tarehe, kwamba upande wa mashitaka ulete mashahidi wawili kila kesi inaposikilizwa, na hii amri mmeirudia tena juzi jumatano mmeirudia jana, kwamba upande wa mashitaka walete mashahidi wengi. Lissu: Sasa waheshimiwa Majaji upande wa...
  17. JamiiForums Tanzania Lissu ana hoja: DPP haheshimu amri za mahakama

    Mshtakiwa kwenye kesi ya Uhaini Tundu Lissu amelalamikia tabia ya Ofisi ya mwendesha mashitaka wa Serikali (DPP) kutoheshimu amri za mahakama. Lissu amesema mahakama mara kadhaa imewaagiza upande wa mashitaka kuleta mashahidi wa kutosha kwenye kesi hiyo, lakini upande wa mashitaka hautekelezi...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Mh. Lissu akishatoka alikozuwiwa Kwa nguvu baada ya kuyakaanga machawa inafaa akiwa rais pia awe Lecturer- Law Chuo Kikuu Cha Serikali

    Wadau napendekeza Mh. Lissu akitoka kwenye forced incarceration na kuwa Rais napendekeza awe anapiga pindi la Sheria hasa kwenye masomo yafuatayo; 1. Law of Evidence 2. Administrative Law 3. Law of Torts 4. Environmental Law 5.Criminal Law 6. Criminal Procedure Law. Au mnasemaje wadau maana...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini lissu anapenda kutumia NENO kuwakaanga mashahidi?

    wadau za mchana? naomba kuuliza kwanini lissu anapokuwa mahakamani anapenda kuwambia mshahidi wa jamhuri kuwa atawakaanga? naomba jibu wadai. Machawa yaliyozoea kufugwa kwenye makorido ya lumumba yapeleke uharo wao kwa ally happy aliyetukana wazee akiwa mkuu wa mkoa Iringa kuwa muda wao umeisha...
  20. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mauaji ya 29/10 ndio maafa makubwa zaidi kutokea ktk historia ya nchi yetu tangu Ukoloni wa Mjerumani na Mwingereza ktk miaka 42!!

    “......Mbali na mauaji ya Vita vya Maji Maji chini ya utawala wa Kijerumani, mauaji yaliyotokea 29 Oktoba 2025 ndiyo makubwa zaidi katika historia ya nchi yetu. Hakuna awamu yoyote ya utawala kuanzia Waingereza waliodumu miaka 42, hadi marais wa awali kuanzia Mwl J. K. Nyerere, Ally H. Mwinyi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…