lissu aachiwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Siku 30 za Jumuiya ya Madola kutaka Lissu aachiwe zimekwisha, kinachofuata ni utekelezaji

    Leo ni siku ya mwisho kwa serikali ya Tanzania kutekeleza pendekezo la Jumuiya ya Madola linaloitaka kutafuta njia ya kisiasa na kisheria ya kumaliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Msijekusema hatukuwakumbusha. Pia soma: Jumuiya ya Madola yaipa Tanzania siku 30 Kutatua...
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Tundu Lissu aachiwe huru, atafutwe msuluhishi huru wa kimataifa ili kulinusuru taifa

    TAARIFA KWA UMMA YA NDG. LUHAGA JOELSON MPINA KUHUSU UCHAMBUZI WA RIPOTI YA JUMUIYA YA MADOLA KWENYE KIKAO CHA 73 CHA DHARURA CHA MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE NA UONGOZI WA KIDEMOKRASIA (CMAG) KILICHOFANYIKA TAREHE 10 JULAI 2026 KUHUSU HALI YA KISIASA NCHINI TANZANIA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mwalimu aliyeandika Lissu aachiwe huru, adaiwa kishikiliwa na polisi wiki tatu sasa

    Mwalimu wa Sekondari Mbeya aripotiwa kushikiliwa na Polisi kwa zaidi ya wiki tatu Mwalimu wa Shule ya Sekondari Itunge iliyopo wilayani Kyela, mkoani Mbeya, Anyambilile Ibrahim Mwamwile, anayejulikana pia kama Nickodem Kitalati katika mitandao ya kijamii, anaripotiwa kushikiliwa na Jeshi la...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu ashikiliwa na Polisi kwa Wiki 3 kwa kuandika Facebook kutaka Lissu aachiwe huru

    Aliandika Facebook Mwachieni Lissu, siasa mtaani zinoge. MWALIMU WA ITUNGE SECONDARY KYELA,MBEYA ASHIKILIWA NA POLISI ZAIDI YA WIKI TATU BAADA YA CHAPISHO LA FACEBOOK Mwalimu wa Shule ya Sekondari Itunge iliyopo wilayani Kyela, mkoani Mbeya Anyambilile Ibrahim Mwamwile, maarufu kama Nickodem...
  5. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Mimi sio CHADEMA wala CCM lakini nina ubinadamu; Hivi Tundu Lissu amewakosea nini?

    Sio mwana chama wa taasisi yoyote lkn ubinadamu ninao. Huyu binadamu TAL amewakosea nini
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania John Heche nakusihi itisha maandamano Tanzania na Duniani kote ili Tundu Lissu aachiwe

    Kwanza maandamano ni haki ya kikatiba hapa nchini. Hii ni kwa mujibu wa ibara ya 20 ya katiba ya JMT Dunia nzima ilipambana kwa njia ya maandamano ili Mandela afunguliwe. Najua Watawala wote dhalimu huwa wanaogopa maandamano.
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tujihoji: Hivi kuitisha maandamano ya amani ili Lissu aachiwe ni kosa? Mbona Nelson Mandela alipokuwa Gerezani watu walikuwa wanaandamana?

    Yaani kuandamana kwa amani kushinikiza mtu asiye na kosa aachiwe ni kosa? Dunian nzima ilipinga kufungwa kwa Nelson Mandela. Na maandamano yalikuwa yakifanyika hata hapa Tanzania. Leo kusema tu tutaandamana kwa amani kushinikiza Lissu aachiwe imekuwa ni kosa?
Back
Top Bottom