linauzwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania Parachichi India linauzwa elfu tano na hayapatikani

    Kuna kijana anasoma India katika mji mmoja anasema tunda ghali hapo ni Parachichi linauzwa elfu tano ya Tanzania, sasa Sie tuna ndege inaenda India mara mbili kwa wiki hawa wajasiliamali wa sido wameshindwq kweli kuuza Parachichi India?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba kubwa linauzwa Songea

    Shamba linauzwa Lipo kijiji cha Nambendo Songea, kilomita 100 kutoka Songea mjini, lina ukubwa wa ekari elfu mbili (2000) lina hati. Shamba linafaa kwa mazao mchanganyiko kama utavyoona kwenye picha, mpunga, Alizeti, mahindi, pilipili, mikorosho, n.k picha uzionazo ni mazao yaliyolimwa kwenye...
  3. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja/ Shamba linauzwa Heka Moja Chanika Mwanzo Mgumu

    Habari za asubuhi wadau, nimeshikwa na shida nauza kiwanja changu kilichopo Mwanzo mgumu chanika. Ukubwa hekari moja Bei 2.5m maongezi yapo Mawasiliano piga simu 0718658747
  4. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba linauzwa Kibaha Mnemela Kibaoni

    Habari wadau, Kuna mama mmoja anauza eneo kibaha mnemela umbali kilometer saba kutoka hospital ya tumbi. Eneo nimeenda kuliangalia leo huko, maeneo ya kibaoni, mbele ya Boko Mnemela. Eneo ni tambarare na lina ekari mbili kasoro kidogo kutokana na kuweka njia kidogo pembeni ukingoni mwa eneo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…