ligi kuu

The Tanzania Mainland Premier League ("Ligi Kuu Tanzania Bara" in Swahili) is the top-level professional football league in Tanzania and is administered by the Tanzania Football Federation. This league was created in 1965, when it was known as the "National League". Its name was changed later to the "First Division Soccer League" and changed again in 1997 to the "Premier League".

View More On Wikipedia.org
  1. Hasheem Ibwe: Ligi Kuu inaanza kesho.

    Msemaji wa Klabu ya Azam FC Hasheem Ibwe amesema Ligi kuu inaanza rasmi kesho kwa sababu hakutakuwa na mchezaji ambaye hana kibali cha kumruhusu kucheza mechi. Azam watanza kesho kucheza Ligi Kuu ya NBC kwa kuivaa JKT Tanzania ugenini, mchezo utakaofanyika Uwanja wa Meja Isamuhyo.
  2. Nani bigwa Ligi kuu msimu wa 2024/2025 kati ya Simba Vs Yanga?

    Piga kura yako hapa
  3. Tetesi: Kocha wa Pyramid fc atishia kuondoka ikiwa Mayele atauzwa

    Kocha Mkuu Wa pyramids FC Krunoslav Jurcic [emoji1082] ameuambia Uongozi wa Pyramids kuwa ana malengo makubwa na Fiston mayele na kama watamuuza basi yeye pia ataondoka ndani ya Timu hiyo Familia ya Kaizer Motaung ambayo ndiyo wamiliki Wa Kaizer chief walituma offer Pyramids ya Tsh Billion 6.4...
  4. Je, TFF walichelewesha kutoa ratiba ya ligi kuu ili kumbeba Simba?

    Ukiangalia jinsi matches hizi za mwanzo za Simba zilivyopanga unaona kabisa zilipilangwa kimkakati ili kuwapa urahisi wa ushindi na kuwapunguzia pressure kwa mashabiki na wanachama wao. Haiwezekani match ya kwanza na Tabora wamecheza huku Tabora ukiwa haina wachezaji wake wote muhimu wa kigeni...
  5. Timu za ligi kuu zitakazoshuka daraja 24/25

    1.JKT Tanzania 2.Fountain gate 3.pamba jiji
  6. Pamba Jiji naiona kama vile ilikuwa ligi kuu misimu minne, wakikaza watasumbua sana

    Wakuu habari, Jana nimeangalia mtanange kati ya Pamba jiji na Prison Fc. Nilichokiona Beki wanajiamini sana kuliko hata Job au Mwamnyeto, wakiwa na mpira hawapigi hovyo hovyo na wwnajua kukaba Golikipa Amos Yona yupo njema anaokoa mpaka mashambulizi ya counter attack Winga zipo safi na...
  7. Young Africans SC yashika mkia ligi kuu

  8. Kulazimisha kuwategemea Zimbwe na Kapombe/Kijiri wapige Cross kama Pre-assist au Assist vinachangia kuiporomosha Simba

    Nimekuwa nikifuatilia huu mfumo unaochezwa na Simba sasa wa kuwategemea mabeki wa pembeni waje kutengeneza nafasi kwenye kufanikisha mashambulizi pale na kushuhudia unavyotufelisha kwa sasa. Kwasababu: Zimbwe tokea enzi hizo ni mbahatishaji kwenye kupiga cross sahihi na pasi za mwisho, na...
  9. Msimamo na Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2024-2025.

    Ndugu wanamichezo wote! Leo 16-08-2024, Ligi Kuu Tanzania Bara inaanza. Nawaletea kwenu uzi maalumu utakaokuwa unawapa Updates za Msimamo wa Ligi ulivyo kila baada ya Mechi ndani ya msimu mzima! Mechi ya Leo 16.08.2024 Pamba 0- 0 Prison RATIBA YA GAME ZA 1st to 4th Round. Ligi ina jumla...
  10. Ufunguzi Ligi Kuu Bara 2024/25: Pamba Jiji vs Prisons, Agosti 16, 2024, Saa 10:00 Jioni

    Agosti 16, 2024 Pamba Jiji vs Prisons 10:00 Jioni Agosti 17, 2024 Mashujaa FC vs Dodoma Jiji 10:00 Jioni Namungo FC vs Fountain Gate 1:00 Usiku Agosti 18, 2024 Kengold FC vs Singida BS 8:00 Mchana Simba vs Tabora United 11:15 Jioni
  11. Sheria mpya ligi kuu 2024/25 Uingereza hizi hapa , kapteni tu ataruhusiwa kuongea na ma referees

    Sheria mpya hizi hapa ,wale Man U fans na Chelsea lia lia mzielewe . 🔜 New rules are set to be introduced for the 2024/25 Premier League campaign: ➡️ Semi-automated offsides will be introduced but won't start until AFTER the international break in September, October or even November. ➡️ Only...
  12. Tabiri Top 4 ya EPL kuelekea Msimu mpya wa 2024/25

    Ijumaa ya 16/08/2024 pazia la EPL litafunguliwa kwa mchezo baina ya Man Utd Vs Fulham kule Old Trafford. Kuelekea msimu huu mpya wa 2024/25 tabiri Top Four yako itaishaje mwisho wa msimu. Twende kazi…
  13. Nini kimewapelekea viongozi wa Simba kumsajili mshambuliaji Mcameroon Lionel toka USM Algiers?

    Ndugu wanasoka wenzagu naomba kuuliza nini kimewafanya viongozi wa Simba kumsajili huyu mchezaji ambae kila nikisoma takwimu zake naona hazimbebi kabisa kuwa chaguo sahihi. Simhukumu ila ningependa kujua tu mapema kabla hatujampa muda klabuni? Soma Pia: Usajili wa Simba tangu 2019 hauaminiki...
  14. Nawaomba TFF wachukue mapema alama zote za Simba SC wapewe Yanga na Azam kabla Ligi Kuu ya NBC haijaanza

    Kwa UPUMBAVU niliouona nina uhakika Alama zangu zote 6 naziacha kwa Yanga SC ( nikimaanisha Nakandwa ndani nje ) na Alama zangu 4 ( nikimaanisha Azam watanifunga Mechi moja na nyingine nitajitutumua nao kwa Sare ) hivyo GENTAMYCINE niwaombe tu TFF wala wasichelewe kufanya hili kwani wenye Kuujua...
  15. Prediction: Simba(Tanzania) vs Coastal Union(Tanzania) and Yanga(Tanzania) vs Azam(Tanzania)

    1. Simba SC vs Coastal Union: Predictive score: Simba SC 3 - 0 Coastal Union Simba SC is expected to win comfortably with a strong performance. 2. Yanga SC vs Azam FC: Predictive score: Yanga SC 2 - 1 Azam FC Yanga SC is likely to secure a narrow victory in a closely...
  16. Msimu mpya wa ligi kuu Uingereza unaanza , JamiiForums fantasy league inarejea tena , karibu tufurahi

    Tarehe 16/8/2024 ,msimu mpya EPL unauanza ,hivyo Official JamiiForums fantasy league inarudi tena . Namna ya kujiunga Code to join this league: gxdwy2 Au https://fantasy.premierleague.com/leagues/auto-join/gxdwy2 Currently just for Fun tuendelee kusubiri kama msimu huu JamiiForums itaona...
  17. U

    Ratiba ligi kuu yanga kuanzia ugenini na Kagera sugar agosti 29, Simba nyumbani na KMC agosti 18

    Wadau hamjamboni nyote? Yanga ugenini dhidi ya Kagera sugar 29 August na Simba ataanzia nyumbani uwanja wa KMC 18 August dhidi ya Tabora Swali langu kwanini simba acheze tarehe 18 na kisha yanga akaevwiki 2 ndiyo acheze? Hii imekaaje? Ratiba hiyo hapo
  18. Almas Kasongo: Bodi ya ligi itatoa adhabu kwa Maofisa Habari wa timu wanaochekesha na kushindwa kuzungumzia Mpira

    Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB), Almas Kasongo amesema msimu watatoa adhabu kwa Maofisa Habari wa timu wanaochekesha na kushindwa kuzungumzia Mpira huku akizikumbusha klabu kufuata kanuni kwa kuajiri maafisa habari wenye elimu ya habari. “Kuna Muda unamsikiliza Ofisa Habari wa timu na...
  19. Kwenye ligi kuu Uingereza, ipi ni timu kubwa yenye mafanikio?

    Kuna hili swali wadau hivi timu kubwa yenye MAFANIKIO makubwa katika ligi zote ilizoshiriki pale uingereza ni timu gani hapa nikimaanisha ligi kuu na UEFA naomba kuijua ambayo ni namba moja maana hapa Kuna mtu mbishi sana tunabishana namuambia ni Liverpool ndio Ina makombe mengi
  20. Prediction: Simba vs APR; Yanga vs Green Arrow; Yanga vs Simba

    For the upcoming match between Simba SC (Tanzania) and APR (Rwanda) on August 3, 2024, let's consider the current form, previous performances, and other relevant factors to make a predictive score. Given that Simba SC is one of the top teams in Tanzania and has a strong squad, while APR is also...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…