ligi kuu

The Tanzania Mainland Premier League ("Ligi Kuu Tanzania Bara" in Swahili) is the top-level professional football league in Tanzania and is administered by the Tanzania Football Federation. This league was created in 1965, when it was known as the "National League". Its name was changed later to the "First Division Soccer League" and changed again in 1997 to the "Premier League".

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mjadala wa wachezaji 12 wa kigeni kwenye ligi kuu Tanzania bara; bado hatui tulipojikwaa?

    Kama kuna biashara inayolipa sasa hivi ni biashara ya mpira wa miguu na vyote vinavyohusiana navyo,hapa nazungumzia biashara kama kuuza na kununua wachezaji,kuuza jezi na vifaa vya klabu,kuonyesha mpira,vituo vya runinga vinalipa fedha ili kupata haki za kurusha matangazo,udhamini mbalimbali...
  2. JamiiForums Tanzania Wachezaji wengi Ligi Kuu hawana Adabu, wana kiburi sana!!

    Inawezekana wanaamini kuwa mpira ni kusukuma tu gozi uwanjani ama makocha wao hawawafundishi kuwa mpira ni sayansi na ni sanaa pia. Labda pia wanadekezwa na udhaifu wa Marefa wetu katika kusimamia sheria za Mpira uwanjani. Zaidi inawezekana wanatiwa ujinga kwa utetezi wa matendo yao ya kihuni...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Sapoti ya timu ya mpira ya Tanzania bara

    Hamna kitu sasa hivi kinaumiza watu kama timu yetu ya taifa na pia uchezaji wao na uwajibikaji.tunapaswa kuzidi kuwapa sapoti kubwa kwani kutoa sapoti kwenye klabu kama simba na yanga ni kubwa basi, na sisi tuanze kunufaika kutoa sapoti kwa timu ya mpira kwani haileti maana yani taifa letu...
  4. JamiiForums Tanzania Juma Mgunda afungiwe kufundisha mpira ligi kuu Tanzania

    Kufundisha timu mbili za ligi moja kwa wakati mmoja wa ligi haikubaliki na sio weledi. Madhara yake ni pamoja na: 1. Juma mgunda ana mapenzi/maslahi na timu mbili za ligi kuu kwa wakati mmoja. 2. Juma mgunda anaweza kupanga matokeo ndani ya ligi kuisaidia Coastal au Simba katika mazingira...
  5. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kuweka matokeo na msimamo wa Ligi Kuu Tanzania bara

    Naomba uzi huu tupeane matokeo ya ligi kuu pamoja na msimamo ulivyo kadri siku zinavyokwenda. Hapa jukwaani matokeo ya mechi za Simba na Yanga huwa yanakuwa mubashara lakini mechi nyingine inakuwa tabu kufahamu matokeo na msimamo wa ligi. Karibu tupeane taarifa.
  6. JamiiForums Tanzania Msimamo Ligi Kuu baada ya Mzungu wa Simba, Dejan Georgijevic kuwasha moto (20/08/2022)

    Hivi ndivyo msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya Simba kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye Uwanja wa Mkapa, Agosti 20, 2022
  7. JamiiForums Tanzania Naomba ratiba kamili ya Ligi Kuu Bara

    Wakuu naomba ratiba kamili ya LIGI KUU BARA Natanguliza shukrani
  8. JamiiForums Tanzania Ihefu aanza vibaya tena ligi kuu

    Leo mbungi ilikua inapigwa kule ubaruku kati ya ihefu na ruvu shooting. Kama ule msimu aliopanda daraja mechi ya kwanza alipigwa na mnyama na leo tena ruvu wamembonda tena hukohuko ubaruku. Aisee mwanzo mbovu kabisa, mechi ya kwanza tena nyumbani na unabutuliwa. Ila wamejitahidi kadri ya...
  9. JamiiForums Tanzania Uzi mpya ligi kuu

    Hivi macho yako yanaona kama mimi ? Nasikia Hadi traffic wapo
  10. JamiiForums Tanzania Ukweli usiopingika kuhusu Ligi Kuu Tanzania Bara

    Endapo mtu angepata nafasi ya kurudi mwaka 2010 na kuwahadithia wapenzi na mashabiki wa soka la Tanzania kuwa utafika muda ligi kuu Tanzania bara itakuwa kubwa na kuwa na mvuto katika ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati kwamba wachezaji wa ligi kuu ya Uingereza pamoja na Ligi Kuu ya Ufaransa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Databade/Dataset ya mechi zote za ligi kuu bata

    Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri, Kwa mwenye uelewa kido ni wapi naweza pata mechi zote zilizochezwa toka liki kuu ya Tanzania bara toka imeanza hadi sasa. Iwe kivyovyote vile au katika mfumo wowote ule, Nimejaribu kuangalia kwenye tovuti ya TFF sijapata muongozo wa moja kwa moja.
  12. JamiiForums Tanzania Simba acheni uongo, jana mmecheza na kikosi cha madereva taxi wa timu ya Ismail, timu kuu ilicheza ligi kuu

    Ismailia Wamecheza Jana mechi ya ligi ya kwao, leo mnawapiga fix mazuzu wenu mlionunua klabu yao milele kwa bilioni 20 za kwenye bango,,Eti mmecheza nao mechi. Nyieeee, Yaan Jana wacheze mechi ya ligi tena away,,kisha leo mcheze nao mechi ya kirafiki? Kuweni Serious, Waambieni ukweli Wafuasi...
  13. JamiiForums Tanzania Ukiachana na Yanga kuchukua Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC tunataka Ubingwa wa Graphics 🙌

    Hivi GRAPHICS wa YANGA SC hawezi fungua CHUO ili awape Darsa hawa wa vilabu Vidogo? Nimecheka hapa naona watu wanasema kaiba ile sehemu ya kutembea na funguo, niwatoe ushamba tu kwamba Kile kitu kinaruhusiwa kabisa katika fani ya graphics na ni sehemu ya sheria za "Fair use policies" katika...
  14. JamiiForums Tanzania Msimamo wa ligi kuu ya baridi

    Kwa namna hali ilivyo hapa nani atachukua kombe msimu huu?
  15. JamiiForums Tanzania Julio: Bingwa wa ligi kuu ya NBC bado hajapatikana

    Akohojiwa na mwandishi wa Azam Sports 1HD, kocha msaidizi wa Namungo Fc Jamhuri Kihwelo Julio anasema mpaka sasa bado bingwa wa NBC premier league hajapatikana. Anasema kama Mama Samia akisimamisha ligi leo, Simba ndio atakuwa mwakilishi wa kimataifa. Hivyo, yeye anaamini kuwa mpaka ligi...
  16. JamiiForums Tanzania Singida Big Stars tumefuzu Ligi Kuu Tanzania Bara, tupeni ushauri

    Watu wa Soka, Naitwa Hussein Massanza. Ni Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano; Pia Afisa Habari na Msemaji wa Singida Big Stars FC (zamani DTB FC). Timu yetu imefanikiwa kupanda daraja na kufuzu kucheza Ligi Kuu kuanzia msimu ujao wa 2022/2023, hivyo nitumie fursa hii kuwashukuru mashabiki...
  17. JamiiForums Tanzania Ratiba ya Ligi Kuu England 2022/23: Arsenal kutufungulia pazia dhidi ya Crystal Palace. Ratiba yote ipo hapa

    Pazia la Ligi Kuu England msimu wa 2022/23 litafunguliwa Agosti 5, 2022 ambapo Crystal Palace itavaana na Arsenal kabla ya Manchester City kuanza kutetea taji hilo Agosti 7 dhidi ya West Ham Chelsea itaanza mbio zake za kuwania Ubingwa dhidi ya Everton mnamo Agosti 6 na Kocha Erik ten Hag wa...
  18. JamiiForums Tanzania Hili Kombe la Ligi Kuu 2022 ni kama Blender ya kusagia juisi

    Kwanza nawashukuru kwa dhati NBC kwa kudhamini ligi yetu, kwakweli mwakahuu vilabu hata vile vidogo havikuwa na ukata wakutisha kama tulivyo zoea kipindi cha nyuma vilabu vilikosa mpaka nauli. Pamoja na hayo, kwakweli waliopewa kandarasi ya kutengeneza kombe la mwaka huu kwakweli sijui wana...
  19. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kuweka tetesi na Taarifa za usajili Ligi Kuu ya NBC kwa msimu ujao 2022/2023

    Salaam Wakuu, Ligi kuu ya NBC ya msimu huu 2021/2022 inaelekea ukingoni huku timu ya Yanga ikiwa na zaidi ya 99% ya kunyakua taji hili. Kama tujuavyo mwisho wa msimu mmoja ndiyo maandalizi ya msimu mwingine. Baadhi ya timu tayari zimeanza kufanya maandalizi kwa ajili ya msimu ujao. Timu nyingi...
  20. JamiiForums Tanzania Kocha Pablo: Ubingwa Ligi Kuu bado tupo tupo

    Mwanza. LICHA ya Yanga kubakiza pointi sita kutangaza ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC msimu huu, Kocha wa Simba, Pablo Martin amesema ni mapema sana kukata tamaa kwani kikosi chake kitapambana kuhakikisha inaweka matumaini kwenye ubingwa huo ikianza na mchezo wa kesho dhidi ya Geita Gold. Simba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…