Miaka ya 2010s nikiwa chuo fulani mkoani Morogoro, darasani tulikuwa wanafunzi zaidi ya 200, kulikuwa na. Freshers pamoja wanafunzi waliotoka makazini wanajiendeleza kimasomo miongoni mwao kulikuwa na askari jeshi lakini hakuna hata mmoja aliyeweza kuukataa unyanyasaji wa yule lecturer mtukutu...
Hamjambo!
Mimi Binafsi Lema Simuamini tangu siku ya kwanza nimemwona. Najua hilo halimsumbui hata yeye kwa sababu sio lazima kumuamini mtu.
Lema licha ya kutokumuamini ila ni miongoni mwa viongozi wa Chadema ambao ninaweza kusema anaongea kwa hoja. Na mimi mtu anayeongea kwa hoja hata kama...
Na sio mwanamke wa kumwamini. Na mimi kwa jinsi ambavyo nimejua sasa hivi kuhusu siasa..."
"...hata nikiona mtu wa CCM amesemwa jambo baya, naanza kuamini asilimia mia moja, alafu ndio nafanya utafiti. Nimekuja kugundua hata sisi tumeumiza sana watu kwa taarifa za uongo na tumeshea sana, yaani...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, amemtuhumu mwanaharakati Mange Kimambi kuwa anatumika kuleta mgawanyiko ndani ya chama hicho, akipinga madai yanayotolewa dhidi yake kuwa yeye ni mradi wa kukigawa chama.
Lema amesema hayo leo Novemba 1, 2026 alipokuwa akizungumza na waandishi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.