lebanon

Lebanon ( (listen), Arabic: لُبْنَان‎ lubnān, Lebanese Arabic pronunciation: [lɪbˈneːn]), officially known as the Lebanese Republic, is an Arabic speaking country in the Middle-East, located in Western Asia. It is bordered by Syria to the north and east and Israel to the south, while Cyprus lies just west of it across the Mediterranean Sea. Lebanon's location at the crossroads of the Mediterranean Basin and the Arabian hinterland has contributed to its rich history and shaped a cultural identity of religious diversity. Lebanon is home to roughly 6 million people and covers a territory of just 10,452 km2 (4,036 mi2), making it among the smallest countries in Asia by land area. Arabic speakers comprise the majority of the country's population, while Arabic is the official language, and spoken Lebanese Arabic is used alongside Modern Standard Arabic in daily life.
The earliest evidence of civilization in Lebanon dates back over seven thousand years, predating recorded history. Lebanon was home to the Phoenicians, a maritime culture that flourished for almost three thousand years (c. 3200–539 BC). In 64 BC, the Roman Empire conquered the region, and it eventually became among the empire's leading centers of Christianity. The Mount Lebanon range saw the emergence of a monastic tradition known as the Maronite Church. As the Arab Muslims conquered the region, the Maronites held onto their religion and identity. However, a new religious group, the Druze, established themselves in Mount Lebanon as well, generating a religious divide that has lasted for centuries. During the Crusades, the Maronites re-established contact with the Roman Catholic Church and asserted their communion with Rome.
Lebanon was conquered by the Ottomans in the 16th century and remained under their rule for the next 400 years. Following the empire's collapse after World War I, the five provinces constituting modern Lebanon came under the French Mandate. Upon independence in 1943, Lebanon established a unique confessionalist form of government, with the major religious sects apportioned specific political powers. Lebanon initially enjoyed political and economic stability, which was shattered by the bloody Lebanese Civil War (1975–1990) between various political and sectarian factions. The war partially led to military occupations by Syria (1975 to 2005) and Israel (1985 to 2000).
Despite Lebanon's small size, Lebanese culture is renowned both in the Arab world and globally, powered by its large and influential diaspora. Prior to the civil war, the country enjoyed a diversified economy that included tourism, agriculture, commerce, and banking. Its financial power and stability through the 1950s and 1960s earned Lebanon the name of "Switzerland of the East", while its capital, Beirut, attracted so many tourists that it was known as "the Paris of the Middle East". Since the end of the war, there have been extensive efforts to revive the economy and rebuild national infrastructure. While still recovering from the political and economic effects of the conflict, Lebanon remains a cosmopolitan and developing country, with among the highest levels of Human Development Index and GDP per capita in the Arab world outside of the oil-rich economies of the Persian Gulf.Lebanon was a founding member of the United Nations in 1945 and is a member of the Arab League (1945), the Non-Aligned Movement (1961), Organisation of the Islamic Cooperation (1969), and the Organisation internationale de la francophonie (1973).

View More On Wikipedia.org
  1. Echolima1

    Poleni sana Hezbollah kwa kipondo mnachopata huko Lebanon!!!

    Baada ya magaidi wa Hezbollah kujiingiza kichwa-kichwa kwenye vita inayoendelea huko Iran magaidi hao ambao wako huko Lebanon Jana wamepata kipondo ambacho hawataki Saha baada ya majengo yao na asset zao nyingi kushambuliwa na majeshi ya Israel. Kwa kulipiza kisasi magaidi hao walirusha...
  2. H

    Iran Yalalamikia Baraza La Usalama, Yasema Mashambulizi ya Israel Labanon Yameua Wanadiplomasia Wake 4 Walioenda Kwa Mwaliko Mwaliko wa Lebanon

    Intelijensia ya Israel ni ya kushangaza. Fikiria wanadiplomasia wa Iran, kwa siri walulienda Lebanon, bila shaka, kukutana na Hezbolla, kabla hata ya kukutana, Israel ikawaua wote wanne. Pia Iran imelaumu Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa kukaa kimya wakati nchi yake ikishambuliwa na Israel...
  3. Echolima1

    Magaidi wa Hezbollah wanaendelea kuwapukutishwa huko Lebanon.

    Magaidi wa Hezboullah waliokuwa wanasifiwa na Adiosamigo gallow bird gTurn Iceberg9 na Bwana wao Ritz sasa hivi wanacharazwa viboko na wao hawawezi kurusha hata jiwe kuelekea Israel maana wanajua kitakachofuatia. Magaidi wa Hezboullah sasa hivi wanapigwa kama Ngoma!! --------------...
  4. Echolima1

    IDF yaanza tena kuwapelekea moto Hezboullah huko Lebanon

    Msemaji wa IDF anayezungumza Kiarabu ametoa onyo la kuhama kwa maeneo mawili kusini mwa Lebanon. Tayari sasa Hezbollah wameanza kunyea ndoo!!
  5. Echolima1

    Jeshi la IDF linaendelea kuwashambulia Hamas

    Baada ya Hamas kushindwa vita waliyoianzisha wao wenyewe Oct 07,2023 sasa hivi wanafuatwa popote walipo na kuuwawa na wengine waliokuwa wamebaki kwenye mahandaki Njaa imeanza kuwatoa huko na wanaojisalimisha wanatiwa mbaroni na wanaokaidi wanaangamizwa papa kwa papo. Sasa hivi hakuna...
  6. Echolima1

    Jeshi la Israel IDF lafanya mashambulizi Kusini mwa Lebanon

    Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limefanya mashambulizi kadhaa katika maeneo ya kusini mwa Lebanon siku ya Alhamisi, likisema kuwa yalilenga kundi la Hezbollah kwa madai ya jaribio la kundi hilo kuanzisha upya shughuli zake katika eneo hilo. IDF ilisema mashambulizi hayo yalilenga maghala ya...
  7. Echolima1

    Rais wa Lebanon Joseph Aoun Ataka Mahusiano ya kibalozi na Israel!!

    Rais wa Lebanon Joseph Aoun anachapisha kwenye ukurasa wake rasmi maudhui ya hotuba ya Mbunge wa Lebanon Alain Aoun (mpwa wa Rais wa zamani Michel Aoun): Wakati umefika wa kumaliza mzozo na Israeli na kuelekea kwenye utulivu na ustawi
  8. Echolima1

    Rais wa Lebanon, Joseph Aoun ataka mazungumzo na Israel

    Baada kichapo kikali kwa magaidi wa Hezboullah Rais wa Lebanon, Joseph Aoun, alisema: 'Lazima tujadiliane na Israel, Beirut haiwezi kwenda kinyume na mwelekeo wa sasa ambapo Mashariki ya Kati inaelekea' ===================== You can share an article by clicking on the share icons at the top...
  9. Kijakazi

    when Lebanon was Christian and democratic!

    hapa zamani kidogo nchi ya lebanon huko uarabuni ilikuwa ni majority Christian na pia ya kidemokrasia, leo hii ni majority muslim ... https://www.youtube.com/watch?v=XdmCH9WC1kA
  10. Echolima1

    Magaidi wa Hezbollah waitishia Lebanon kwa Vita vya wenyewe kwa wenyewe!!!

    Kiongozi wa Magaidi wa Hezbollah Sheikh Naim Qassem aliitishia serikali ya Lebanon kwamba kundi hilo litahifadhi silaha zake na kutishia kama serikali inataka kuwanyang’anya silaha zao basi wataanzisha vita vya wenyewe kwa wenyewe “Karbala" na kuifanya serikali kuwajibika kwa migogoro yoyote ya...
  11. Echolima1

    Magaidi wa Hezbollah wanaendelea kubinywa huko Lebanon na Majeshi ya Israel

    Mkono mrefu wa Majeshi ya Israel unaendelea kuwabinya na kuwanyong’onyeza magaidi wa Hezbollah huko Lebanon baada ya kuanza kuwalenga popote walipo na kuwaangamiza. Lebanon kusin sasa hivi limekuwa kaburi wazi kwa magaidi hao wa Hezbollah.
  12. Webabu

    Hizbullah wasema mvua ya makombora kuanza kuinyeshea tena Israel isipoacha kuishambulia Lebanon

    Naim Qassem ambaye ni kiongozi wa Hizbullah amesema kundi lake halijaona umuhimu wa kusalimisha silaha zake kwa serikali ya Lebanon wakati Israel imevunja mkataba wa kusitisha vita na inaenndelea kuishambulia Lebanon. Katika hotuba yake kupitia televisheni,kiongozi huyo ameitaka serikali ya...
  13. Webabu

    Hizbullah wasema hawawezi kusalimisha silaha zao kwa shinikizo la Marekani. Kwanza Israel waondoe majeshi yao Lebanon ndipo watafikiria suala hilo

    Wawakilishi kadhaa wa Marekani wamekuwa hawatoki Lebanon kushinikiza serikali ya Lebanon ipitishe azimio bungeni la kuwanyang'anya silaha Hizbullah. Kiongozi wa kundi hilo ndugu Naim Qassim amesema serikali ya nchi yake inapaswa kwanza kuwalazimisha Israel kuondoa majeshi yao yote nchini humo...
  14. Papillon 1906

    Marine Le Pen mgombea uraisi nchini Ufaransa akataa kuvaa hijabu nchini Lebanon

    Marine led pen alisitisha mkutano na mufti mkuu wa nchini Lebanon baada ya kukata kujistiri kichwa kwa kuvaa hijabu mwaka 2017. Kipindi icho marine alikuwa ni mgombea wa kiti cha uraisi nchini ufaransa alikwenda nchini Lebanon kufanya mkutano kwa lengo la kupata kura kutoka kwa raia wenye uraia...
  15. Tauceti Rigel

    Kwanini Iran haitumi majeshi Gaza (Hamas) na Lebanon (Hezbollah)? : Ifahamu zaidi nchi hii inayopigana vita mtawanyo (asymmetric warfare)

    Kwanini Iran Haijapeleka Majeshi Moja kwa Moja Palestina na Lebanon? Ni swali muhimu kwa yeyote anayeangalia siasa za Mashariki ya Kati. Licha ya Iran kuwa na uwezo mkubwa wa kuingiza silaha, pesa, wakufunzi na hata kuathiri maamuzi ya makundi kama Hezbollah na Hamas, bado haijawahi kutuma...
  16. Mlaleo

    Israel yasema italipua ghala na kiwanda cha Drone za Hezbollah leo - Raia waanza kuhama eneo husika

    Jeshi la Israel lilidai siku ya Alhamisi kuwa “maandalizi yanaendelea kwa ajili ya kushambulia miundombinu kadhaa ya chini ya ardhi inayotumika kutengeneza ndege zisizo na rubani (UAVs) ambayo imeanzishwa” katika maeneo ya kusini mwa mji wa Beirut. Likitaja makubaliano kati ya Israel na...
  17. Webabu

    Mahmoud Abbas afika Lebanon kuhimiza malaki ya ndugu zake warudi kwao Palestina

    Katika mkutano wake na waziri mkuu wa Lebanon,Nawaf Salam kiongozi wa mamlaka ya Palestina amewahimiza raia wake warudi kwenye ardhi zao huko Palestina ambayo sasa inaitwa Israel. Malaki ya raia hao ni wale waliofukuzwa kwenye ardhi zao wakati wa kuanzishwa kwa taifa la Israel mwaka...
  18. Echolima1

    Magaidi wa Hezbollah wameangamizwa huko Lebanon!!

    Magaidi wa Hezbollah wanaendelea kuangamizwa huko Lebanon baada na kushambuliwa na drone ya Israel 🇮🇱
  19. U

    Mossad waupata mwili wa Sajenti Zvi Feldman, aliyepotea miaka 43 iliyopita kwenye Vita ya Israel na Syria bonde la Bekaa nchini Lebanon

    Wadau hamjamboni nyote? IDF na Mossad wameupata mwili wa Sgt. Daraja la Kwanza Zvi Feldman, ambaye hajapatikana tangu Vita vya Kwanza vya Lebanon vya 1982 vya Sultan Yacoub, Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu atangaza. Feldman alipotea pamoja na Sgt. Darasa la Kwanza Yehuda Katz na Sgt. Darasa la...
  20. Echolima1

    Magaidi wa Hezbollah sasa hivi wanapigika sana huko Lebanon

    Majeshi ya israel sasa hivi yanawashughulikia magaidi wa Hezbollah kwa kuzishambulia kambi zao zilizoko huko Lebanon kusini.
Back
Top Bottom