lazima

Lazima is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa nini mtu akiingia chooni kujisaidia haja kubwa lazima ageuke aangalie alikotokea?

    Hili ni swali muhimu, kwa nini haangalii kule aliokoingia akiangalia, halafu akakaa au kuchuchumaa chooni?
  2. JamiiForums Tanzania Mansion siyo lazima iwe ghorofa angalia hii alafu ukihitaji huduma call us +255624004650

    MANSION 5BEDROOMS PLOT SIZE 30X40M ALL ROOMS WITH POOL VIEW CALL/WHATSAP +255624004650
  3. JamiiForums Tanzania Sio Yanga tu Azam nao wanakuja, hiki kikombe Karia na wenzio lazima mkinywe mkitapike...

    Muda si mrefu Azam nao wamejiandaa kutopeleka timu yao kuonyesha mpira 15 jun Mpaka walipwe hasara walizotumia tar 8 Sasa bodi ya ligi a Karia wenu Nendeni mkajipange na hawa wapangieni ratiba kama mlivyojichanganya Kazi iendeleeee
  4. JamiiForums Tanzania Hata mchepuko ana ndoto ya kupata bwana aliyetulia na muelewa" Yani mwanadamu lazima ajivutie kwa upande wake hata kama yeye havutiki

    Namiini Shetani hajiiti shetani kama tunavyomuita huku, anajiita lucifer ingawa ana matendo ya kishetani. Ni kwa kiasi gani mwanadamu ni mnafiki? Sometimes tuna stahili yanayotukuta kwa maana sisi wenyewe ndio ma-engineer wa vituko hivyo. Umekula wake za watu weeeeh sasa unataka kuoa at 37 na...
  5. JamiiForums Tanzania Polisi hawawezi kusema wanachunguza kitu ambacho wananyooshewa vidole na zaidi ya nchi nzima kama wahusika lazima wananchi mbeya wajilinde

    Hatuwezi kusema na haiwezekani tuchunguze kitu ambacho watu zaidi ya maelfu wana tunyooshea videlo kama wahusika na utekaji wa mdude, alafu tuje na majibu mepesi kwamba tunachunguza hamuwezi kujichunguza. Wananchi wa mbeya wanayo haki ya kuchunguza tukio hilo na kujilinda dhidi ya wahalifu...
  6. JamiiForums Tanzania Hata CHADEMA wakichukua nchi bado wapinzani wataendelea kutekwa na kupotea. Wapinzani sio lazima wawe CHADEMA hata CCM ni wapinzani kwa CHADEMA

    Nimeona kada wa chadema singida akipigwa na kupoteza fahamu ndani ya kikao Cha ndani Cha chadema, na wanaompiga wanasikika wakisema huyu ni team Mbowe huyu mshughulikieni !! Sijajua kama CHADEMA wakichukua nchi watu wataacha kupotea! Maana najua kwa Sasa ndani ya CHADEMA kuna wapinzani...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kujilinda/ kujihami kwa sasa ni lazima

    Kutokana na vitendo vya kuvamia, kuteka na kuumiza watu hasa wakosoaji wa serikali kushamiri, kwa sasa wakati umefika ili kila Kiongozi mpigania uhuru wa kweli wa Nchi kulindwa na kujilinda kwa mbinu na njia zote. Ni muhimu kuwa na kikosi cha siri cha kuwalinda wapambanaji hasa walio katika...
  8. JamiiForums Tanzania Watanzania msiogope vitisho vya hawa wasiokuwa na akili wanao wateka watu ili wasizoee tunauwezo wote wa kuwakabili na kutoa funzo

    Naona kwa anae kosoa serikali sasa hivi anapigiwa simu za vitisho, hii hali sasa imeanza kuota mapembe kwenye utawala wa samia sikuwai kusikia kitu kama hiki hapo awali. Ninachotaka kusema kwamba watanzania tunapaswa tuipinge kwa nguvu zote isizoeleke tunazo nguvu zote kuikomesha tabia hii...
  9. JamiiForums Tanzania Lazima bidhaa zote za plastic zitakuwa zinazalishiwa hapa Tanzania. Nia ni kuteka soko la dunia la plastic

    Hatutahitaji ruhusa ya nchi yeyote ile kwenye hili swala Petrochemical plant ni kiwanda kinachotengeneza raw materials kwa ajili ya bidhaa za plastics kama Ndoo, vikombe, mifuko n.k matanki nguo asilimia kubwa sana ya nguo zinatumia polyester nyuzi za plastics Mazulia -mazulia kama makapeti...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Ni Wakati wa Freeman Mbowe Kujiunga Chama Kipya Na G55..! Lakini lazima kipewe hatamu ya Uongozi...!

    Naweza kusema hii ni Bingo kwa Freeman Mbowe, G55, COVID-19 na baadhi ya wanachadema wasioridhishwa na mfumo wa sasa kuanzisha Chama Kipya cha kisiasa au kujiunga na chama kipya, lakini sharti Freeman Mbowe awe Mwenyekiti au Kiongozi Mkuu pamoja na safu yake yote. Kwasababu: Itakuwa ndiyo nguzo...
  11. JamiiForums Tanzania Yanga walilikoroga na hapo lazima walinywe hakuna kumwaga!

    1) TFF anawatoto wengi hapa nchini pamoja na Yanga, hivyo Yanga anatakiwa amtii baba yake! 2) TFF lazima ioneshe uimara katika swala hili, wanatakiwa wazingatie Sheria wasipotokea uwanjani Sheria ifwatwe! 3) Nilichogundua viongozi wa Yanga wanapelekeshwa kwa Hisia na sio uhalisia! 4) Sasa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Chadema nawasaidia - lazima muwe na macho ndani ya serikali na vyombo vyake.

    Hamuwezi kuwa na haitoshi mnajilabu ni lichama likubwa na kinawanachama wengi sana kuliko hata CCM,tuchukulie ipo hivyo , na kama haitoshi wengi walioko huko mnafahamiana nao kwa mbali na hata kwa ukaribu mkubwa sana. Ninachojaribu kukisema mnakosaje kuwa na majasusi ndani ya chama cha CCM na...
  13. JamiiForums Tanzania Nilisoma PCB, leo niko Wildlife & Tourism—Si lazima uwe Daktari, jitambue bro!

    Sasa hivi watu wanashangaa bro, mtu kasoma PCB halafu leo anashughulika na wildlife management and tourism—wanabaki wameduwaa kama vile maisha ni formula ya chemistry. Lakini ukweli ni kwamba maisha yana njia nyingi za kufika unakotaka, na elimu ya sekondari haipaswi kuwa kifungo cha maamuzi...
  14. JamiiForums Tanzania Padri Muchunguzi ashangazwa na kauli za Rais, asema waumini wetu ni wanasiasa lazima tuwarekebishe

    https://youtu.be/KcSIOQxAh64?si=7rOHRwCBPK3Bcu2R My Take Rais asiwasikilize wapambe kina Wasira, akubali reforms
  15. JamiiForums Tanzania Elimika na Epuka madhara yasio ya lazima ya dawa hapa nitatoa ufafanuzi juu ya hili hasa matumizi yasiyo sahihi kwa Antibiotics

    Antibiotics ni dawa zinazotumiwa kutibu maambukizi ya bakteria. Hata hivyo, matumizi holela ya antibiotics yanaweza kuleta madhara mbalimbali ambayo ni muhimu kujua. Hapa kuna baadhi ya madhara hayo: 1. Ukuaji wa Uhimili (Resistance): Matumizi yasiyo sahihi ya antibiotics yanaweza kusababisha...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanamke kutaka mwanaume a'provide kwao ni lazima ila kumheshimu na kumtii mwanaume ni option

    Ukitazama kwenye mahusiano ya watu wengi utagundua kuwa wanawake hudhania kumtii mwanaume,kusikiliza maagizo yake na kuyafanyia utekelezaji bila kuhoji maswali yasiyo ya lazima,kuwa msikilizaji mzuri na sio mzinguaji au mpinzani, kuwa mshirika na sio hasimu, hivi vyote kwao hudhania ni option...
  17. JamiiForums Tanzania Raisi samia utulivu unao hamasisha hauwezi kufanya uchaguzi kuwa huru na wa haki lazima mabadiliko ya kiuchaguzi yafanyike kwanza

    Nilimsikia samia anakwepa mabadiliko ya kiuchaguzi anahamasisha tu itulivu kwamba utapelekea uchaguzi wa haki bila mabadiliko yoyote ya kiuchaguzi bado hakuwezi kuwa na uchaguzi huru na wa haki. Nasisitiza hakuna yoyote aliye hamasisha vurugu kwenye nchi wala aliye shika silaha yoyote mpaka...
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Ukikaidi amri halali ya polisi lazima ushughulikiwe, hutochekewa, imo hata Marekani, duniani kote

    Kikundi cha Chadema ambacho kimedhamiria kufanya fujo na kukaidi amri halali ya Jeshi la polisi kinadhani kitachekewa na Jeshi la Polisi. Hakuna kitu kama hicho. Polisi wapo kwaajili ya kulinda usalama wa raia na mali zao, ikitokea wakaidi lazima watqchezea kichapo cha mbwa koko. Sasa Chadema...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu wa Wilaya CCM Kondoa: Muislam wa kweli huwezi kwenda kuswali bila kumtaja Rais Samia

    Wakuu, Sitaki kuongeza maneno mengi maana naweza kuharibu uzi huu. Ila huyu anaitwa Abdulrahim Hamidu ni Katibu Mkuu wa CCM (W) Kondoa. Uchawa kwenye nchi yetu umefika kwenye viwango vya juu sana. Yaani kama Taifa inabidi Harvard waje hapa Bongo, Maprofessor wao waje kufanya thesis kuhusu...
  20. JamiiForums Tanzania Mzee asiye na Chama na Mtumishi wa Mungu, aionya CCM , adai Mabadiliko ni Lazima !!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…