lazima

Lazima is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwanini kila ikifika Mwaka mmoja kabla ya Uchaguzi Lazima kutokee Mikwaruzano Ya Kisiasa CHADEMA Ya FAM Hii ndo SIRI ILIYOJIFICHA

    Kiistoria, kila unapobaki mwaka mmoja au miwili kuelekea uchaguzi mkuu wa rais na wabunge nchini, ndani ya chadema kunaibuka minyukano. Hii ilikuwa kweli mwaka 2008 na 2009, kuelekea uchaguzi mkuu wa 2010 Na Ikawa kweli 2013 na 2014, kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 Na sasa ni kweli pia...
  2. Dkt. Janabi akijaribu hii kitu lazima aombe radhi

    Sato mkubwa mwenye kilo 3 abanikwe naviungo na chumvi ya wastani mpaka akauke vizuri, halafu atengwe kwenye meza ya Dr Janabi na kaugali kadogo kama ngumi, pilipili iwepembeni iliyotengenezwa kwa ustadi. Nawatakia usiku mwema.
  3. Ili TBC wawe mubashara lazima wajue unachokwenda kuongea. Mbowe kapewa ya kuongea na waliolipia TBC

    Television ya Taifa au Radio ya Taifa hasa Taifa hili la Tanzania halirushi kitu live bila kuwa programmed. Mbowe alishapangwa na walishakubaliana nini akaongee. Hata Masheikh na Maaskofu ili Dua zao zirushwe live lazima waonyeshe kwanza hizo dua ndio waruhusiwe. Nikiwa jeshini nilikuwa mmoja...
  4. Vijana tunafeli wapi?Kwani lazima kubet?

    Inshu ya betting inathiri kizazi,aisee huwezi amini hali ni mbaya watoto wa Miaka 14 wanabet,huu mchezo umekuwa kimbilio kwa rika ya vijana lakini athari zake ni mno. Kuna matatizo ya kisaikolojia kwa wachezaji after couple of years watapata madhara makubwa,ikiwemo Ugonjwa hatari wa...
  5. Unafikiri kwa nini mara zote uchaguzi mkuu unapokaribia wapinzani lazima wapoteane?

    Great thinkers. Shida ya wapinzani wetu nini?. 1.Milungula kutoka CCM? 2.Urafi wa madaraka?. Mara zote Hakuna mkate.mgumu mbele ya chai. Acha CCM watunyooshe kama tutaemdelea kuwategemea wapinzani chumia tumbo kutusemea matatizo yetu huku tumelala
  6. G

    Mawazo ya ndugu kujiona entitled ni lazima wasaidiwe na waliofanikiwa husababisha kuridhika, uvivu, umasikini zaidi. Nazipongeza jamii zenye mipaka.

    Ni tabia iliyo kwenye default settings kwa baadhi ya watu kwamba ndugu akifanikiwa basi ni lazima wasaidiwe mpaka kiama. Yani kinyume na hapo hata ukipunguza msaada aidha kwa matatizo yako ya kifamilia, marejesho ya mkopo, n.k. kelele zinaanza anajitenga, anaringa, mke wake kamnunulia gari...
  7. Ukiachwa ni lazima ukubali kuachika

    Moja kati ya maamuzi ya kipuuzi ambayo utayafanya baada ya kuachana na mwanaume, halafu huyo mwanaume akaenda kuoa mwanamke mwingine ni kutaka kumkomoa huyo mwanamke aliyeolewa. Inawezekana kakunyang’anya, alikupindua au uliachwa vibaya na unahisi kuwa yeye ndiyo sababu ya wewe kuachwa, lakini...
  8. Duniani Hakuna kitu cha bure chochote utakacho itaji lazima ukitolee kitu

    Vya Bure Duniani Hakuna. Lazima utalipa/ Unalipa iwe DIRECT PAYMENT/ IN DIRECT PAYMENT
  9. K

    Tanzania inaenda njia panda: Demokrasia vs Udikteta lazima kila mtu mzima achague tupende tusipende

    Huu uchaguzi kufanyika vibaya na udanganyifu wa maridhiano umemaliza enzi za sasa za nchi yetu kutokujielewa. Kama nchi Tanzania ni nchi inayoendeshwa kwa udanganyifu na uongo uongo. Sasa baada ya haya utakuja muda wa Watanzania kulazimishwa kuchagua kwa vitendo mfumo mmoja kati ya haya...
  10. Kwanini CCM Mwenyekiti wake Taifa, lazima awe Rais wa Nchi?

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa na ushawishi mkubwa katika siasa za Tanzania tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977. Katika mfumo wa kisiasa wa nchi, Mwenyekiti wa CCM amekuwa akichukuliwa kama lazima awe Rais wa nchi. Hii ni kwa sababu ya uhusiano wa karibu kati ya chama na serikali, ambapo CCM...
  11. M

    Usalama barabarani Tanzania, iwe mada ya lazima kufundishwa na maswali yake yajibiwe kwa lazima na kila mtahiniwa kwa ngazi zote za elimu nchini

    Kutokana na ongezeko kubwa la vyombo vya moto, vyombo vya usafirishaji na mitambo mbalimbali inayotumia barabara, ipo sababu ya mitaala na miongozo ya ufundishaji au utoaji mafunzo yoyote nchini kujumuisha mada ya usalama barabarani ili kupanua wigo katika uelewa wa matumizi sahihi ya barabara...
  12. Hii ndio sababu kwanini kila MARIOO akitoa nyimbo na DIAMOND lazima atoe?

    ..MARIOO ni msanii ambaye anatoa hits nyingi sana ambazo zinafanya vizuri kila kona ya mtaa, na endapo DIAMOND akimwachia upenyo MARIOO wa kuendelea kusikika mtaani basi lazima atachukua nafasi yake, hivyo diamond ameshamshtukia MARIOO ni msanii anaye kubalika sana na ni rahisi kurithi kiti...
  13. LGE2024 Wapinzani lazima wakubali kwamba Uchaguzi umekwisha

    Kama Wapinzani wakiendelea kulalamika basi wajue uvumilivu wa Serikali utafika mwisho halafu jambo baya litatokea. Wapinzani wajikite katika Uchaguzi wa mwaka kesho. Kama lipo tatizo lolote katika Uchaguzi huu,basi CCM inaweza kufanya internal review. CCM inaweza kujipeleleza Wapinzani...
  14. Watoto sio lazima eti

    "Mimi na mke wangu tumekubaliana kwamba hatutakuwa na watoto. Tunataka kufurahiya maisha yetu, Kuwa na watoto kutatuzuia." — John Cena "Ni sawa kabisa watu kutaka watoto, lakini mke wangu na mimi hatuko tayari kuchukua jukumu hilo. Ninataka kufurahiya maisha yangu na kuwa na furaha bila mzigo...
  15. S

    LGE2024 CCM: Lazima mkubali mambo yanabadilika na humuwezi kuwadanyanya watu siku zote

    CCM ni chama kikubwa chenye historia kubwa ndani ya nchi na nje ya nchi lakini nashauri yafatayo! CCM kwenye chaguzi kuanzia 2019 imekuwana na woga kushindana na vyama vingine na kupelekea watu wengi kuona zoezi la uchaguzi halina maana CCM itambue kizazi kinabadilika na kusema kweli watu...
  16. LGE2024 Mbunge Ghati Chomete: CCM Imejipanga Vizuri, Lazima Itashinda kwa Kishindo Uchaguzi Serikali za Mitaa

    MBUNGE GHATI CHOMETE: CCM IMEJIPANGA VIZURI, LAZIMA ITASHINDA KWA KISHINDO UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete, tarehe 26 Novemba 2024 ahitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kuwaombea kura wagombea wa CCM Wilaya ya Musoma...
  17. Ni kosa gani au kitu gani mpenzi wako akifanya lazima umpige chini hata kama unampenda kiasi gani?

    Wakuu habari.... Iko hivi nimelata hiyo maada hapa juu sababu naona huyu mwanamke ana kila dalili ya kutofaa/ sio wife material kabisa. Mimi ndiye niliyemnunulia simu na kumfungulia hizi akaunti za social media kama instagram na Facebook. Sasa huwa sina tabia ya kushika simu yake sababu...
  18. Sitashiriki kamwe chaguzi yoyote nchini Tanzania kwa sababu ya Viongozi wa Serikali za Mitaa na Wizara ya Ardhi

    Kipimo kikuu cha akili na ustaarabu wa binadamu yeyote yule ni namna anavyopangilia maeneo yake anayoishi na kufanya shughuli zake. Haijalishi kama anajenga nyumba za kitajiri au za kimaskini ila namna gani alivyopima na kupangilia makazi yake ndicho kielelezo pekee kinachoweza kukwambia kuwa...
  19. Ukiongea na mtu wa hisia zako, anayeutawala moyo wako lazima mwili usisimke

    Ukiongea na mtu wa hisia zako, anayeutawala moyo wako lazima mwili usisimke, akili ihame yaani wa hisia zako hat sauti yake tu inakupa namna ya kuuhisi upendo na kuwaza mbali💞 Hakikisha unahusiana na mtu ambaye hata ukisikia sauti yake tu unapangawa, ukimuwaza unakosa utulivu bila kusikia sauti...
  20. Kukaa Mjini sio lazima

    Ukiona mambo hayaendi Mjini, rudi kijijini ukajipange upya. Wakati ukiendelea kupambana na online hustles, kumbuka kuwa na vitu vingine vi2 au zaidi utakavyofanya kujipatia kipato kama online pakiwa pakavu. Najua utakataa, ila kijijini unasave sana matumizi ya pesa na unapata muda mzuri wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…