landcruiser

  1. Kiongozi anasimama anasema foleni inasababishwa na magari machafu yasiyo na AC

    Leo nilikutana na clip moja ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Chalamila. Katika clip hiyo Chalamila anasema moja ya sababu inayosababisha foleni zisiishe ni uwepo wa magari yenye namba A, na mengine ambayo ni machafu na hayana AC (kiyoyozi). Halafu bado mna matumaini ya kuletewa maendeleo na...
  2. PreGE2025 Video: Ndinga la CHAUMMA linatarajiwa kutumika ziara za mikutano 38 katika kanda 4 tofauti nchini

    Wakuu Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kinajiandaa kuanza rasmi ziara yake ya kisiasa katika awamu ya kwanza itakayohusisha mikoa 14, majimbo 34 na kufanyika mikutano 38 katika kanda 4 tofauti nchini. Katika ziara hiyo, viongozi waandamizi wa CHAUMMA wanatarajiwa kushiriki kwa ukamilifu...
  3. Car4Sale Toyota LandCruiser ZX 2023

    Toyota LandCruiser ZX Year: 2023 Cc: 3.4L Diesel Interior: Cream (Biscuit) Mileage: 12,600km Fuel: Diesel Transmission: Auto Color: Pearl White Executive Features •Fridge •Leather Seats •Sunroof •Modelista BodyKit •Brand New condition 💰Price 400m Free registration ✅ ☎+255626682228
  4. Car4Sale INAUZWA Landcruiser V8 inauzwa matajiri, karibuni sana

    LANDCRUISER V8 DJH YEAR 2011 UPGRADE TO 2016 ENGINE SIZE 4.5L ENGINE CODE 1VD-FTV DIESEL ENGINE✅ AUTOMATIC TRANSMISSION LEATHER SEATS✅ OPEN ROOF✅ NEW TYRES✅ PRICE 138M
  5. Toyota waja na toleo jipya Landcruiser 300

    Landcruiser 300
  6. Car4Sale LANDCRUISER PRADO 2022

    LANDCRUISER PRADO Mwaka 2022 Engine 2750cc-Diesel 1GD Rangi Pearl White Mileage 39,900km Bei 185m 📌7 Seats 📌Sunroof 📌Full Body Kit ☎+255626682228
  7. Car4Sale **FOR SALE: TOYOTA LANDCRUISER HZJ-79 SERIES. FOR DALE**

    Type: Pickup Double Cabin Model Year: 2017 Engine: 1HZ 12-Valve Black Top Cover Diesel Features: - Immaculate Interior 🔥 - Snorkel ✅ - New BF-Goodrich Tyres & Rims ✅ - Fully Serviced ✅ Price: 165 million TZS, includes free registration 💰🤝 For viewing, please call 0784225000.
  8. Car4Sale Toyota LANDCRUISER PRADO FOR SALE*

    * TRJ 150. Brown color. 2690cc.Petrol. Automatic. Number T...DDE. In good condition. Price 90mil Mawasiliano 0784225000
  9. Developing Story: Magomeni, Gari Toyota Landcruiser Hard Top No. DFP 8106 Yagonga na Kuua Mwanamke. Gari yadakwa, Dereva Asepeshwa na Polisi!

    Wanabodi This is a developing story Yaani story muendelezo Jana jioni katika eneo la Magomeni Usalama, Gari Toyota Landcruiser Hard Top No. DFP 8106 Yagonga mtu na kumua kwa ajali, mwanamke mmoja. Mwanzo gari na dereva wake walidakwa na kuhifadhiwa kituo cha polisi cha Magomeni Polisi. Leo...
  10. RC Makonda: Oktoba 2024 tuna maonesho ya Landcruiser, Range na Landrover 1000

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema mwezi Oktoba mwaka huu kutakuwa na maonesho ya magari yatakayovunja rekodi ya Guiness iliyowekwa na Ujerumani kwa kuwa na magari aina ya Land Rover 613 kwa wakati mmoja, ambapo kwa mkoa wa Arusha unaenda kuwa na magari aina ya Land Rover 1,000 kwa...
  11. Nauza spea used za magari haya kwenye picha

    ANGALIA PICHA ya gari yako unichek kwa hitaji la spea. WhatsApp 0712 148001. Pia nanunua magari chakavu . Ukiniunganisha nikanunua gari posho MLIMA. Pia nitakua natoa vocha mara moja moja kwenye uzi huu.(simu ziite jamani). Mods uzi usiunganishwe.
  12. INAUZWA Nauza spea used za magari haya kwenye picha

    ANGALIA PICHA ya gari yako unichek kwa hitaji la spea. WhatsApp 0712 148001. Pia nanunua magari chakavu . Ukiniunganisha nikanunua gari posho MLIMA. Pia nitakua natoa vocha mara moja moja kwenye uzi huu.(simu ziite jamani).
  13. Range rover na land cruiser 300 za bei rahisi

    Unavuta hizi alafu unavimba nazo mjini.
  14. R

    Ushauri kati ya Toyota landcruiser yenye engine ya 1HZ au 1GD-FTV

    Ushauri kati ya Toyota landcruiser yenye engine ya 1HZ au 1GD-FTV Habari wana JF Naombeni ushauri wenu je kati ya Toyota landcruiser yenye engine ya 1. 1HZ-manual cc 4,164 CC au 2. 1GD-FTV automatic 2755 CC ni ipi bora kwa maana ya 1. matumizi ya barabara ambazo sio za lami kwa...
  15. Huyu Dereva wa Gari la Toyota Landcruiser Hardtop Nyeupe lenye Plate Number ya T216 DHH ya Tundu Lissu uthubutu wa Kuitumia kautoa wapi?

    Yaani mwenye Gari kapigwa risasi ambazo zilitaka Kumuua halafu bila hata huruma bado kuna Mtu sijui kwa Jeuri yake au Jeuri anayopewa kaona haitoshi akaamua kabisa kwenda na Kung'oa Plate Number ya Gari la Tundu Lissu ya T216 DHH na kuamua Kuitumia kama yake Dodoma hadi kuwa na Deni ya Kuegesha...
  16. J

    Toyota Landcruiser hardtop ya mwaka 2015 inauzwa

    👉2015 TOYOTA LANDCRUISER HARDTOP 🚂ENGINE TYPE:-1HZ DIESEL 🦜BEI 140 MILLIONI 👉IMETEMBEA=80,000 KM 👉GARI ILINUNULIWA MPYAA ZERO KM 👉LOCATION:-DODOMA 👉TUWASILIANE 📞 +255622599002 DODOMA
  17. R

    Natafuta Toyota Landcruiser - Bajeti milioni 40

    Habari wakuu.. Natafuta Toyota landcruiser station wagon au pickup kwa ajili ya kuifanyia conversion kuwa safari car ya kubeba watalii. Tuma picha za nje, ndani na engine pamoja na details za gari kwa whatsapp 0656388678. Iwe model ya kuanzia mwaka 2000 na kuendelea. Bei isizidi milioni 40...
  18. 2024 Toyota LandCruiser 70 Series inapata injini ya dizeli ya lita 2.8, lakini V8 inabaki

    Bei za Toyota LandCruisers zenye uwezo wa 1VD zimepanda hivi karibuni wakati Toyota ilipotangaza aina ya 2024 LandCruiser 70 Series itakayoendeshwa na injini ya dizeli ya 1GD 2.8-lita yenye cylinder nne inayoungwa automatic gear box, lakini habari njema ni kwamba V8 inabaki kwa ajili ya wakati.
  19. L

    Car4Sale Landcruiser Prado (manual inauzwa) kwa bei nafuu- 0747379399

    Contact: 0747379399 Price: 60,000,000 (negotiable) Make: Toyota Model: Landcruiser Prado Model number: JTEBD9 Body type: Station wagon Colour: White Year of manufacturing: 2016 Engine capacity:2986 Fuel used: Diesel Transmission: MANUAL, MANUAL, MANUAL MANUAL, MANUAL Engine number: 5L6278
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…