Hivi Sasa ni saa 2:30am sijalala kwasababu ya hizi kelele.
Ni kweli tunatamani nyumba zilizo karibu na barabara kwasababu ya huduma ndogo ndogo za kijamii, lakini Sasa hivi biashara nyingi ni baa, yaani kila baada ya nyumba nne ni baa.
Nilipohama ilikuwa ni kelele kuanzia mda ninaorudi...