kwani

Kwani? (Sheng for so what?) is a leading African literary magazine based in Kenya that has been called "undoubtedly the most influential journal to have emerged from sub-Saharan Africa", although that tribute might more accurately go to Transition Magazine, which was founded in Kampala, Uganda, in 1961. The magazine grew out of a series of conversations that took place among a group of Nairobi-based writers in the early 2000s. Its founding editor, Binyavanga Wainaina, spearheaded the project shortly after winning the 2002 Caine Prize for African Writing. The first print issue of the magazine was published in 2003. Kwani? has been called "the most renowned literary journal in sub-Saharan Africa". It is produced by the Kwani Trust, which is "dedicated to nurturing and developing Kenya’s and Africa’s intellectual, creative and imagination resources through strategic literary interventions".Kwani?, which receives significant funding from the Ford Foundation, has become a major platform for writing from across the African continent. It has served as a launching pad for the careers of several writers, including Yvonne Adhiambo Owuor, winner of the 2003 Caine Prize; Uwem Akpan, author of the bestselling short-story collection Say You're One of Them, and Billy Kahora, now the magazine's managing editor. Each edition of the journal contains up to 500 or more pages of new journalism, fiction, experimental writing, poetry, cartoons, photographs, ideas, literary travel writing and creative non-fiction. The seventh edition of Kwani? "is subtitled 'Majuu' – a sheng (street slang) reference to 'overseas' – and is a 570-page testament to the journal's diasporic roots."

View More On Wikipedia.org
  1. Ndg zetu waislamu kwani Adhana ni lazima?

    Ndg zetu waislamu bila adhna asubuhi hamuwezi kuamka na kuswali au hata Ile mida y mchana kwamba Hadi mkumbushwe miaka na miaka? Yaani hata kuweka alarm ya kuwaamsha kwamba muda wa swalaa umefika mkaswali ni hamna? Mkumbuke hata Ile lugha mnayotumia wengi wetu ni sawa na kelele tu maana...
  2. Z

    Ushauri kwa vyombo vyetu vya Ulinzi na usalama viwe makini sana na hawa wahuni wa Chadema kwani wana nia ovu ya kuchafua amani na utulivu wa Nchi yetu

    Ushauri kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama waendelee kuwafuatilia hadi chooni hawa wahuni, genge la kihalifu ambao wamejificha kwa mwamvuli wa kisiasa Chini ya Chama Cha Chadema. Genge hili kila kukicha lina panga na kuratibu mipango miovu ya kuchafua amani ya nchi, kufanya matukio ya...
  3. Mayele najua unataka kurudi Tanzania kwakuwa huko una Furaha ila nakuomba baki piga Hela usirudi Bongo kwani Utatuzidishia tu Machungu Sisi Lia Lia SC

    Baada ya kumsikia Mtu wako wa Karibu akisema unataka Kurudi Tanzania namtafuta Mganga akufunge Akili usirejee TZA.
  4. Kwani Clatous Chota Chama Yanga SC wamekukosea nini ndani ya Msimu Mmoja tu nao hadi kila Siku uwe Unawananga na kuwashusha Thamani?

    Kiungo mshambuliaji wa zamani wa Young Africans Sports Club Clatous Chama, ameibuka na kudai kuwa hakuna mchezaji ambaye hatamani kuichezea klabu ya Simba SC, kutokana na ukubwa na ushawishi wa klabu hiyo ndani na nje ya Tanzania. Chama ambaye kwa sasa ni mchezaji huru baada ya kuachana na...
  5. Nikiwa kama 'Mtanzania Mganda' naomba Dua zenu leo Watanzania ili Uganda Cranes nayo ifuzu, kwani leo ina Mtihani mkubwa sana Mandela Stadium

    Yaani Timu zote Tatu zina nafasi ya kupita ila iIiyo tu Mtegoni hasa Kimahesabu ni Uganda (Uganda Cranes) mtuombee.
  6. Video: Askari Magereza wakiimarisha Ulinzi leo wakati kesi ya Lissu iliposikilizwa

    Wakuu, Naomba kufahamishwa kwa nini hawa maaskari wamevaa kininja namna hii? Hapa ni kwenye kesi ya Lissu leo Changamoto ni nini? Kwanini hawataki kuonekana? Pengine mimi sijui mambo mengi kwa anayefahamu naomba anijuze.
  7. K

    Baiskeli za mama !!!! kwani watanzania ni watoto

    Jamani umasikini umefika huku hata baiskeli ni za kizamani
  8. Kama kweli Simba SC wanamtaka Nyota wa sasa Uganda Cranes Allan Okello waniambie nimalizane nae hapa hapa Kampala kwani nammudu

    Na hata Timu yao ya Uganda Cranes ilipoweka Kambi yake si mbali na Kwangu na isitoshe Rafiki yake mkubwa wanayecheza nae Vipers FC Hillary Mukindane ni Mwanangu na alishanikutanisha nae miezi kadhaa. Na ndiyo Mchezaji huyu huyu hapa hapa JamiiForums niliwaambia Simba SC nimemwona na atatufaa...
  9. Hali hii ikikutokea jua kwa Mungu hutakiwi na hata kwa Waganga wa Kienyeji pia hutakiwi kwani ni dalili kuwa wote mna Nuksi ya Karne ya Kifamilia

    TABORA: Aliyekuwa Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla ameshindwa katika mchakato wa ndani ya Chama Cha Mapinduzi...
  10. A

    Wizara ya fedha iangalie Vizuri Bank ya NMB

    Inakata kiasi kikubwa wakati wa kuomba mkopo. Mfan: unakopa Mil 15 hadi kupatiwa huo mkopo unapokea Mil 11. Hiyo Mil 4 yote ni Processing fee ambayo inavipengele vyake. Tunaumia huku ngazi za chini.
  11. Kwani baadhi ya wanawake ni nini mnataka kwenye mahusiano? Punguzeni kuwaumiza wanaowekeza kwenu

    Mwanamke umekutana na me, kakuelewa mkakubaliana muwe kwenye mahusiano, mwanaume ana kuhudumia kama mke hata hajakuoa (wenzenu huo ni uwekezaji wanafanya) wewe sasa kumbe bado unapuyanga na vya duniani, mwisho wa siku unafumwa na usaliti mtu anabaki kujiuliza kwani huyu alipungukiwa nini mbona...
  12. PM kwani sio Mjumbe wa Kamati Kuu?

    Mwamba unamuona Serbia mara Abu Dhabi. Huku Dodoma wakichinja syndicate yake bila huruma. Siasa zetu ni shidaa
  13. Kwani PolePole alianza kuwa mwana CCM Lini?

    Wenye CCM Yao wameanza kuhoji Je huyu aneyejiita mwana CCM aliyesema ameshashika vyeo vikubwa ndani ya CCM. JE ni lini alijiunga na ÇCM? Je ni kweli anataka tumuamini eti anaijua katiba,mienendo na tamaduni za CCM Kuliko wengine?
  14. Mjadala: WAAJIRI(HRs) KWA TANGAZO KAMA HILI MNATAKA NINI KWANI?

    Hebu soma hizi kelele MASHARTI NA VIGEZO KIBAO NA VIKUBWA VISIVYO NA UHALISIA na UONE JINSI LINAVYOFOKA (kuwa utajitegemea kwa kila tu)...Kumbe ni VOLUNTEER tu... Internship and Volunteer Opportunities at ECSA-HC The ECSA Health Community (ECSA - HC) is pleased to announce internship and...
  15. Eeenhe Ndio hivyo sasa kwani Nini?

    Soma mwenyewe uone mimi sina haja ya kukuandikia kila kitu
  16. Na Wewe pia unaondoka lini Simba SC Kwetu kwani licha kwamba una Nuksi Isiyotibika kwa Mizimu yote lakini binafsi nakujua Wewe ni mwana Yanga SC 100%

    Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amesema kocha wa kikosi hicho Fadlu Davids anahusika moja kwa moja na kutoongezwa au kuvunjwa kwa mikataba kwa baadhi ya wachezaji wa klabu hiyo wakati huu ambao wanajiimarisha kuelekea msimu ujao Akizungumza leo jijini Dar es Salaam, Ahmed...
  17. Emil Mpanzu kwa Upuuzi ulioko Simba SC nakushauri kwa hizi Timu tatu kubwa ambazo zimeleta Ofa Kwako nenda na usibaki Simba SC kwani unapoteza muda tu

    Hizi ndizo Timu tatu ambazo tayari zimeshaonyesha Nia ya Kumsajili Mchezaji Emil Mpanzu tena kwa Fedha nono sana.... 1. KRC Genk 2. Brest FC 3. RS Berkane Ila Mimi kama GENTAMYCINE mwenye Jicho la USHAURI na kuona mbali kama Ndege Tai nakushauri uende KRC Genk ok?
  18. Kigogo Kigogo kwa hili ulilosema siongezi neno lolote, kwani umemaliza kila kitu na ndiyo Watanzania tunadharaulika mno na Majirani na Duniani pia

    Taifa ambalo redioni ahsubuhi wanajadili michezo.Mchana hadi jua linapo zama wanarudi kwenye michezo,usiku wanajadili ngono hadi pakuche.hakuna vipindi vya taaluma ujasiriamali,Kilimo,Midahalo. Hilo ni Taifa ambalo lipo kaburini kitambo...! (Kigogo Kigogo) Na kutokana na hii Aibu ndiyo maana...
  19. Kesi ya Babu Seya inaniumiza sana kichwa

    Katika vitu ambavyo vinanipa sana shida katika ubongo wangu ni ukweli kuhusu kesi ya Babu Seya, nakuwa natamani nijue ni kweli yeye na familia yake walihusika kulawiti watoto au ni kesi ya mchongo kutoka kwa mtu mkubwa.. Ni nani ambaye anaweza kunitatulia kitendawili hiki nafikiri hakuna mwenye...
  20. Kwani waislamu ndiyo wenye hatimiliki ya mpira wa Tanzania?

    Waislamu ndiyo wenye hatimiliki wa mpira wa Tanzania? Mbona wakristo ni wachache kwenye vile vyombo vinavyoongoza mpira kwenye nchi hii kwa maana TFF aisee na hizi timu mbili za kariakoo Simba na Yanga viongozi wake wengi au karibu wote ni waislamu Kwenye uchaguzi huu wa TFF watia nia wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…