kwani

Kwani? (Sheng for so what?) is a leading African literary magazine based in Kenya that has been called "undoubtedly the most influential journal to have emerged from sub-Saharan Africa", although that tribute might more accurately go to Transition Magazine, which was founded in Kampala, Uganda, in 1961. The magazine grew out of a series of conversations that took place among a group of Nairobi-based writers in the early 2000s. Its founding editor, Binyavanga Wainaina, spearheaded the project shortly after winning the 2002 Caine Prize for African Writing. The first print issue of the magazine was published in 2003. Kwani? has been called "the most renowned literary journal in sub-Saharan Africa". It is produced by the Kwani Trust, which is "dedicated to nurturing and developing Kenya’s and Africa’s intellectual, creative and imagination resources through strategic literary interventions".Kwani?, which receives significant funding from the Ford Foundation, has become a major platform for writing from across the African continent. It has served as a launching pad for the careers of several writers, including Yvonne Adhiambo Owuor, winner of the 2003 Caine Prize; Uwem Akpan, author of the bestselling short-story collection Say You're One of Them, and Billy Kahora, now the magazine's managing editor. Each edition of the journal contains up to 500 or more pages of new journalism, fiction, experimental writing, poetry, cartoons, photographs, ideas, literary travel writing and creative non-fiction. The seventh edition of Kwani? "is subtitled 'Majuu' – a sheng (street slang) reference to 'overseas' – and is a 570-page testament to the journal's diasporic roots."

View More On Wikipedia.org
  1. Kuna Mwenye Dawa ya Presha popote kwani naanza Kujiona sijielewei elewi japo najua Saa 3 Usiku baadae leo nitafurahi mno

    Bila bila Rafiki yangu mkubwa JF hakuna Dawa yoyote ile ya Presha unayoifahamu kwani naona sasa inapanda sana.
  2. Hili jibu la TABOA hakika nimelipenda sana kwani hata na 'Mwenyewe Mwenyewe 2025 Tena' nae anachukua kweli kweli Rushwa bila ya Huruma

    Katibu Mkuu wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (Taboa), Priscus John amedai rushwa barabarani kwa wakaguzi wote wa magari ni ya kiwango cha kutisha. Amesema wanaopokea wanaonekana kuwa ni Jeshi la Polisi pekee kwa sababu wanavaa nguo nyeupe lakini ipo kwa wakaguzi wote. John amesema hayo...
  3. Haya wale Wazee wa Link hebu nipeni Link ya Kuangalia Mtanange wa Leo kwani Mtaalam wangu wa Zanzibar kaniambia nifurahi kuanzia sasa

    Kama unaijua Link yoyote ile ambayo itaonyesha huu Mtanange niwekee hapa kwani tayari Kazi imeshakwisha Zenji.
  4. KWANI HAPPY BOYFRIEND DAY NI LINI?

    No
  5. D

    Kwani urais Tanzania unatokea kama zari? Kwa nini mtu akijiandaa nao anaonekana amekosea sana! Which is which, zai ka la jpm au kuniandaa?

    Hii tamadani inayojijenga tanzania siyo nzuri kabisa. Mtu akijiandaa kwa mda mrefu kwa ajiri ya urais ataundiwa zengwe mpaka ataonekana ni jambazi. Ninachofahamu mimi kila position huwa ina maamdalizi kwa anayetaka siyo kumlazimisha kama alivyolazimishwa jpm. Na ndo mana uongozi wake kulikuwa...
  6. Kazi ni Ile inayokuingizia Kipato. Mama au Baba wa nyumbani siô Kazi kwani Hakuna kipato kinachozalishwa.

    KAZI NI ILE INAYOKUINGIZIA KIPATO. MAMA AU BABA WA NYUMBANI SIÔ KAZI KWANI HAKUNA KIPATO KINACHOZALISHWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Amri ya Mungu ya kufanya Kazi. Inahusu kufanya Kazi za uzalishaji Mali, kujipatia kipato ili uweze kuishi. Yàani Mûngu anapokuambia Fanya Kazi...
  7. Haji Manara acha Dharau na Dhihaka kwa Ali Kamwe kwani hata Kitaaluma tu kakuacha mbali mno na Yanga SC imefaidika nae 'Kibrandi' kuliko ulivyokuwepo

    DAR ES SALAAM - Msemaji wa zamani wa klabu ya Yanga, Haji Manara amesema haoni shida kurejea yanga kwa kuwa kazi yake ni ya Usemaji na aliyepo ni Afisa Habari. “Hii sio mara ya kwanza. Nilikuwa na Bumbuli pale na hakua rafiki yangu ingawa tulikuwa wote tunafanya kazi,” amesema Manara wakati wa...
  8. Kagame Cup: Maombi yangu Red Arrows awe Bingwa ili lengo lao la Dar Kagame Cup ife rasmi kwani Rwanda ni Puppet wa US,UK na France yule mkimbizi JWTZ

    Kagame Cup: Maombi yangu Red Arrows awe Bingwa ili lengo lao la Dar Kagame Cup ife rasmi kwani TAzara na Tazama ni muhimu zaidi kuliko wao, Rwanda ni Puppet wa US,UK na France yule mkimbizi JWTZ wamalize mchezo.Watoto wa St Petersburg nani awafute machozi? Ni kheri kumuenzi Keneth Kaunda na...
  9. Hii nakubaliana nayo 100% kwani nilipokuwa siweki / sina hata 10,000Tsh katika Akaunti nilikuwa Silali kama Mlinzi, ila sasa naweka Nalala kama Pono

    Utafiti mpya unaeleza kuwa tabia ya kuweka akiba haitakuacha tu na pesa taslimu bali kunaweza kukusaidia kulala vizuri pia. - Kuhifadhi pesa kiasi kidogo tu mara kwa mara, kunaweza kuboresha afya ya akili, watafiti katika Chuo Kikuu cha Bristol nchini Uingereza wanasema. - Watu wa kipato cha...
  10. Kwani kunautofauti gani?

    Kati ya secret service na mashirika mengine ya ujasusi?
  11. Kwani kuna Tishio lolote Zanzibar? Kama hakuna kulikoni 'Dogo' ana Ulinzi mkali ulio makini mno?

    au nae ameshanusa kuwa mbio za mwakani 2025 zinaweza kuwa na kile kilichotokea Iran Watu wakamaliza Shughuli?
  12. Tafadhali nauomba Uongozi wa JamiiForums usifute hizi Threads za Posts zote za wana Yanga SC wanaobeza Usajili wa sasa wa Simba SC, kwani hawatoamini

    Yaani wenye Simba SC tumerejea na kuombana Msamaha na kulishana Yamini halafu Msimu ujao isibebe Vikombe?
  13. Uongozi wa Simba SC tafadhali upesi sana amueni moja katika hili kwani Msimu ukianza haya Mapungufu yaliyotuponza hatuyataki tena na tumeyachoka

    Uongozi wa klabu ya Simba umempa mkataba wa miaka miwili aliyekuwa kocha msaidizi wa Raja Casablanca, Fadlu David ambaye inaelezwa atatua nchini Ijumaa sambamba na wasaidizi wake. Kocha huyo ambaye amethibitisha ujio wake Tanzania baada ya kutumia ukurasa wake mtandao wa kijamii ‘Instagram’...
  14. Mchukueni kabisa basi na Msaliti mwingine Inonga kwani tulishawajua Siku nyingi kuwa mlikuwa mkiwatumia Kutuumiza

    Hongereni ila mwambieni tu kuwa asiwe anasahau kutumia Dawa zake za VRA kwani yule Demu wake yuko Hoi sasa.
  15. Wana Yanga SC Wenzangu tumkataeni Rais wetu Injinia Hersi Said kwani hajatueleza Yanga SC imepata Kiasi gani nje ya Kufurahia Makombe mbalimbali

    Kama vipi nipeni Saini zenu Wote ili tuitishe Kikao cha Kumjadili na Kumtoa na ikiwezekana tumuombe Mo atudhamini.
  16. Wana Yanga SC Wenzangu hapa JamiiForums hawa Wachezaji hawatufai hivyo tuuombe Uongozi uachane nao upesi kwani ni Wabovu sana

    1. Khalid Aucho 2. Dickson Job 3. Ibrahim Baka 4. Djigui Diarra 5. Yao Kwasi 6. Aziz K 7. Pacome Zouzou Na sijui kwanini mpaka sasa bado hawajaachwa wakati Sisi wana Yanga SC wenyewe hatuwataki na tumewachoka.
  17. Mwanamke au Mkeo huyo akiwa Mtukufu, yule aliyemuumba huyo Mkeo ambaye ni Mungu Yeye ataitwa nani?

    "Kwa Sisi baadhi ya Wanaume wa kiafrika tunadhani kumpa heshma Mkeo kama hii ni ufala au uzuzu,,kumbe hata Dini zetu na mafundisho yake yanatutaka tufanye hvyo!! Mke anahitaji utukufu", amesema Haji Sunday Manara Mhamasishaji Klabu ya Vibaka Tupu Kariakoo na Ilala. Sasa Mwanamke au Mkeo huyo...
  18. Nataka kununua simu kwa mtu je nifate utaratibu gani? Mtu huyo simfahamu

    Kuna jamaa ngu alipelekwa jela kirahis sana. Lisa alinunua simu kwa rafiki yake bila kujua kuwa hiyo simu iliibwa
  19. Tonombe Mukoko akisajiliwa Simba SC kwa mwaka Mmoja tu nitafurahi na atatusaidia kwani anacheza ile Midfield yangu enzi hizo ya Kazi Kazi daima

    Kama tulithubutu Kumsajili Babu Ntibazokiza mwenye Miaka 51 sasa kwanini tushindwe kwa Mukoko mwenye 19 sasa?
  20. Murtaza Mangungu leo ni Countdown yangu ya Kwanza Kwako kukutaka uachie Ngazi Simba SC na usije kusema Sikukuonya kwani huwa sibahatishi kwa lijalo

    Tafadhali aliye Jirani nae amwambie kuwa aachie Ngazi Simba SC kwani GENTAMYCINE huwa Sibahatishi kwa Taarifa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…