Kwaherini, ndugu zangu wapendwa wa JamiiForums
Kwa takriban miezi saba, nimefanya bidii kuwaletea habari njema za uzima wa milele. Habari hizi, zimekuwa chemchemi ya furaha kwa baadhi ya watu; lakini kwa wengine, zimeonekana ni kero. Kwa wale mliosononeka au kukasirishwa na nyuzi zangu...