SEHEMU YA PILI
Namna ya kuzuia maji katika jengo
1.Mfumo wa kuchepusha maji mbali na jengo
2.Uwepo wa gutter
3.Matilio zenye kuzuia maji
1.MFUMO WA KUCHEPUSHA MAJI KATIKA KIWANJA
Njia hii inatakiwa kutumika katika kukabiliana na maji yanayogusa sehemu za chini katika jengo lako,sehemu hizo ni...
SEHEMU YA KWANZA
A. Maji ndiyo kitu namba moja kinachoongoza katika uharibifu na kudhorotesha uimara wa jengo.
Basi leo nitaangazia juu ya uzuizi wa maji kuweza kuharibu jengo alimaarufu kama "water proofing"
B. Madhara ya maji katika jengo
kabla ya kujadili waterproofing, kwanza hebu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.